Na zaidi awe ni ndugu au rafiki yako wa karibu, ndio utaelewa UKIMWI ni niniAhsante
Ila UKIMWI unaogopesha hasa ukimwona muathirika ambae umeshamzidia
Na zaidi awe ni ndugu au rafiki yako wa karibu, ndio utaelewa UKIMWI ni niniAhsante
Ila UKIMWI unaogopesha hasa ukimwona muathirika ambae umeshamzidia
I can guess the right possibility, HAJAWAHI kutia lady pepeta huki kunako.Ushawahi kuvaa condom zenu za kike kwa ajili ya kujikinga na maabukizi ya magonjwa ya zinaa?
Wala tatizo la msingi sio unyanyapaa, jiulize kwa nini unyanyapaa?? Anza na hilo kwanza.Mantiki yangu ni kuwa kwanini bado hatujawa wawazi katika maambukizi ya ukimwi. Wazungu wamekuwa wa wazi sana, hawaoni shida kusema mimi ni muathirika. Kwakuwa jamii inanyanyapaa wenye VVU au ni kuwa wenzetu wamefanikisha tiba mpaka wanaona hili sio tatizo kubwa tena.
Kutokuelewa, rafiki yangu aliniambia siku alimfahamisha kaka yake kuwa yuko kwenye ARV, kaka alimpiga stop kutumia choo kimoja na watoto wake.Wala tatizo la msingi sio unyanyapaa, jiulize kwa nini unyanyapaa?? Anza na hilo kwanza.
We acha tu yakikukuta utaitafuta hii sredLeo mbona mada za UKIMWI zinatamba!
Kulikoni?
Hahahaaa kweli kbs elimu ni ndogo, na kutokana na jinsi ukimwi ulivyo na madhara makubwa kiafya, kiuchumi na kijamii ndio mana huyo kaka aliogopa sana kushare hata choo!Kutokuelewa, rafiki yangu aliniambia siku alimfahamisha kaka yake kuwa yuko kwenye ARV, kaka alimpiga stop kutumia choo kimoja na watoto wake.
Hahahaaa kweli kbs elimu ni ndogo, na kutokana na jinsi ukimwi ulivyo na madhara makubwa kiafya, kiuchumi na kijamii ndio mana huyo kaka aliogopa sana kushare hata choo!
Hapa tuelewe kuwa wanaotumia ARV wanachance kubwa ya kuishi miaka kati ya 30-40 kwa nguvu ya dawa. Hawa watu wasipopewa haki sawa ya elimu, mafunzo na ajira inamana wataishi kimasikini kwa miaka 30-40. Pia wasipopewa elimu na tiba inamaana wataambukiza wengine na serikali itatumia pesa zaidi katika kununa ARV's
Hata hivyo kaka zangu wengi hawapendi mipira. Ndiyo maana nimeona niliseme hili hapa.
mipira inazuia na kupunguza utamu....kingine ni kua kuna wanawake wakikuvulia chupi hautatamani kuvaa mpira,,,,hivi kwa mfano nimekutana na na mtu kama masogange au shilole nivae mpira kweli ina maaana sitaki kujua ladha yake au
Weka kwenye akili yako kuwa ile benzi yako mpya umeitoa tu bandarini na hii barabara ukipita tu benzi inakata shock absorber na benz will never be the same again.
Ninachotaka kueleza ni kuwa katika maisha yeyote unayoishi hatari ya maambukizi ni kubwa. Iwe ngono zembe, umepata mchumba unataka kuoa hamjapima. Uelewe ukipata maambukizi hakuna reverse.Dada kuna tofauti ya mapenzi na ngono, hapo umezungumzia ngono zembe. Kubadilika mpaka mtu ajipate akonyo ndio utamuona ameamini uwepo wa Mungu na kugeukia nyumba za ibada na kuwa mtoa nasaha.
aibu ndo ndo tatizo ukishwakua on bed ila hamu ya kutombna inakua juu hata shida zote za dunia unasahau.
kusema iko wapi condom kwa watu wenye ukimwi ji shida sana na ndo wengu wanapofia.
inasikitisha sana lakin watu wawe jasiri bana hata kama wameathirika basi wasitishe zoez la kutmbna ili kulinda wengine wawe na uchungu jaman wasiwe na roho mbaya.
Dada inaonekana wewe unahofu, sipingani na wewe, nataka tu ujue kuna watu UKIMWI kwao sikitu cha kutisha, hawaufikirii, hawauogopi wala kujali. Kijijini kwetu kuba Uncle mmoja alifariki kwa Ukimwa akaacha mke KISU haswa, wanaume wenye familia zao walijitoa ufahamu na wanaendelea kujitoa ufahamu mpaka sasa wakati wanajua kila kitu. Hawakuanza wakati Uncle ameshakufa bali wakati yupo hoi wao walishaanza kujimegea.Ninachotaka kueleza ni kuwa katika maisha yeyote unayoishi hatari ya maambukizi ni kubwa. Iwe ngono zembe, umepata mchumba unataka kuoa hamjapima. Uelewe ukipata maambukizi hakuna reverse.
Ni wakati jamii ieleweshwe kuwa afya njema ni best asset unayoipata bure kutoka kwa Mungu, unatakiwa kuilinda. Inasikitisha kama kunawatu wanaweza kucheza na afya zao namna hiyo. Hakuna mwanamke au mwanaume mwenye sura nzuri atakae kuwa na thamani kuliko afya yako.Dada inaonekana wewe unahofu, sipingani na wewe, nataka tu ujue kuna watu UKIMWI kwao sikitu cha kutisha, hawaufikirii, hawauogopi wala kujali. Kijijini kwetu kuba Uncle mmoja alifariki kwa Ukimwa akaacha mke KISU haswa, wanaume wenye familia zao walijitoa ufahamu na wanaendelea kujitoa ufahamu mpaka sasa wakati wanajua kila kitu. Hawakuanza wakati Uncle ameshakufa bali wakati yupo hoi wao walishaanza kujimegea.
Dah, mpendwa huenda wewe ni muoga kama waoga wengine ila kumbuka kuna mashujaa ktk matukio, mfano huwezi tenganisha ngono zembe na pombe, mtu anaenda baa kabla hajalewa haoni mwanamke wa kumvutia ila akishalewa anakokota yoyote atakaekuwa jirani, pombe ikikata keshahitimisha zoezi, je km mtu huyu anafamilia akifika kwa mkewe atamwambiaje?