#7. Utamu wa mapenzi huzidi maradufu kutoka kwa mwanamke aliyekusotesha sana kumpata.1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Sahihi, kwamba mtu fulani anabeba dhamana ya maisha yako nje ya Hewa na Maji."Siwezi ishi bila wewe" ni utapeli.
Kama unaweza kufanya hivyo, I'm in - mazima mazima 😆Kama ameamua kugeuka hewa utaishije bila yeye😅
Una uhakika lakini, unaweza fanya hiyo trick?😅Afadhali
Challenge accepted! 😎Try me
kwahiyo hivi ndio unamfundisha mume wa dada yako?Kosa kubwa mwanaume utakalofanya ni kumpenda mwanamke mmoja ! Na kuweka hisia zako kwa mwanamke mmoja, jitahidi ubalance uwe na faraja zaidi ya moja tena kwa usawa na ukihisi kuna mwanamke unampenda Sana jitahidi kupunguza upendo hata kwa visa ili akija kustuka kumbe ulishamwacha kitambo
Nilipe nisepe 😅Achana nayo mkuu fanya mambo mengine.
Ata uingie na style gani kuachwa ni constant 😂mkuuKanuni ni zilezile;
- Ukiwa kwenye uhusiano, jua saa yoyote linaweza kutokea lolote
- Usiwe serious sana, penda kwa kiasi
- Muda wowote kuwa na passive replacement (wa kumpandisha kutoka friendzone kuwa lover)
Ndio mkuu, ila mimi sipendi kuach. Aniache mwenyeweAta uingie na style gani kuachwa ni constant 😂mkuu
Kwani kuni shido,,,,,,,!?Au sio😎
Ndio mkuu, ila mimi sipendi kuach. Aniache mwenyewe
Sitaki zile lawama umenichezea ukaniacha