COMMENT BORA YA KUFUNGIA MWAKA...All in all, focus on money, foods and hobbies love is a scam
Usettle kwa mwanamke ili iweje wewe siku ya kwanza mnaonana moyoni hesabu huyu nimepita tayari, akianza visa ushaondoka kitambo unamwachia maumivu kidogo aishi nayo awe anakukumbuka Tu , hakuna muda wa kuwekeza kwa mtu uliyemuona ukubwaniUtapata Kuna mtu anataka kusettleš jinga kabisa
Mmepitia mengi huku nješ turudini kwa Mungu sasaUsettle kwa mwanamke ili iweje wewe siku ya kwanza mnaonana moyoni hesabu huyu nimepita tayari, akianza visa ushaondoka kitambo unamwachia maumivu kidogo aishi nayo awe anakukumbuka Tu , hakuna muda wa kuwekeza kwa mtu uliyemuona ukubwani
Well said.1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Maneno mujaraab kabisa haya.Usiwekeze maarifa yako yote, muda, fedha na Mali kwa mwanamke mmoja likitokea jambo ndio utajua yeye ana akili au wewe ni kilaza
1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Katika uongo mkubwa ni hiyo kauli.1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Umekopi mahali nimeiona hii š š š š1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Nipitie, Twende huko,,,,,,,,!! Ni wapi?Mmepitia mengi huku nješ turudini kwa Mungu sasa
Basi mkuuš¤£š¤£š¤£šššWacha umbea š ntakuchoma visu
Nakuja ššæāāļøāā”ļø,,,,,,,,,,,,,,We sasa njoo tuyajenge