Edward lazaro
Member
- Jun 1, 2015
- 48
- 37
Mpigie simuhivo ndivo zilivo akili za Team Wema
hawachagui viongozi makini ,bali wanachagua ilimradi wakomeshe ccm...
na kuendeleza siasa zisizo na mpango!
huku kwetu kubenea hajaja hadi leo. na kampeni hakupiga
namba zakeMpigie simu
akhu...Owkay! Wakati ni huu mwanangu! Hebu tubadilike. Tanzania ni moja ila ina mchwa balaa. Badilika
Acheni kumfananisha Mandela na watu wa hovyo tafadhali! Mandela spent nearly 27 years in the jail, your boy has just spent 4 months halafu mnataka nyie wazee mnataka kumvisha majina ya African legends??.....
.....Mfalme wa Arusha Simba wa Yuda Mandela wa Tanzania Leo anaunguruma Ngarenaro shule ya msingi ....Nyomi tayari....
hiyo ndo siri kaliTanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Arusha jiji la wavutaji hhhaaa!Ww ccm usiyejielewa Arusha hawapendi shobo za ccm sasa ww jitekenye tu ukimaliza jikune
Hizi ni fikra mbovu za CCM hujiulizi vitu anavyofanya Magufuli kushindwa kuleta elimu bure kwamba itamsababisha ashindwe uchaguzi ujao.umeng'ang'ana na Lema.Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Toa dole mdomoni hiloTanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao