Ukweli Mchungu Kuhusiana na wanawake

Kwani hufahamu kuwa thamani ya mwanamke ni purity?
 
Hya
Hayanaga formula bhana tajiri wa mwanza pamoja na kuwa na Kila kitu mkewe akienda kuangalia real Madrid mwisho ni fired. So hamna formula ya mapenz
 
Hya

Hayanaga formula bhana tajiri wa mwanza pamoja na kuwa na Kila kitu mkewe akienda kuangalia real Madrid mwisho ni fired. So hamna formula ya mapenz
Haya kosa hela uone kila aina ya picha
 
Explain mkuu
Mwanamke pure anakuwa hajaexperience emotional trauma kutokana na break ups na pia emotionally anakuwa yuko stable.
Na hao kadiri ya tafiti mbalimbali wana low divorce rates.
Sikuzote wanawake wengi mioyo yao inaharibiwa na mwanaume wa kwanza aliyemtoa ubikra, so kuheal that trauma inachukua muda na pia mwanamke kukubali kurekebisha eidha makosa yake au kulet it go.
 
Facts, ila ndo dunia tuishiyo kwa sasa, wanawake pure hawapo ni almost impossible kuwapata
 
Yote hayo ya nini?
Em acha kutisha wenzio, mapenzi ni burudani..!!
 
Yote hayo ya nini?
Em acha kutisha wenzio, mapenzi ni burudani..!!
Burudani ni kwa mwanaume mwenye nazo, ila kwa asiye na kitu anakuwa fursa tu.

Lazima tuoeane kodi na kuambiana ukweli
 
Mkuu unanitisha aiseee huyu mwanamke nilienae sasa ananiambia kaliwa na mtu mmoja tu hivi kweli hatakuja kunisumbua mbeleni?
 
Facts, ila ndo dunia tuishiyo kwa sasa, wanawake pure hawapo ni almost impossible kuwapata
Uko sahihi maana hata makanisani nowadays, wanawake wanaojitokeza wana past mbaya, hata kama ameanza kubadilika ila inahitaji juhudi kubwa kutoka kwake.
Ndo maana mwanaume ukishagundua umeoa mwanamke si bikra, inatakiwa yeye ndo awe na juhudi kwenye mahusiano na sio wewe. Wewe mpende ila yeye ndo aonyeshe juhudi na umueleze kabisa mapema.
Wanawake wa sasa kuishi nao unaishi nao kama ambavyo Mungu anaishi na sisi , ukimkaribia kwa juhudi utamuona, ukiwa na kiburi, hutamuona. So treat mwanamke vizuri kadiri anavyoongeza juhudi kukuheshimu na kukutreat vizuri kukuzidi, akianza kiburi, usimwache kumpenda ila withdraw your attention na pia basics ulizokuwa unampa .
 
Je mkuu unavyomuona huyo demu je siku mshkaji wako aliembikiri akihitaji tena mali unaona kutakuwa na ugumu?
 
Mkuu unanitisha aiseee huyu mwanamke nilienae sasa ananiambia kaliwa na mtu mmoja tu hivi kweli hatakuja kunisumbua mbeleni?
Bado ana low count, ila swali la muhimu: kwa mtu wa aina hiyo je anakuonyesha kwa vitendo kuwa anakupenda?
Je anakuwaje akikasirika?
Note only two things
 
Bado ana low count, ila swali la muhimu: kwa mtu wa aina hiyo je anakuonyesha kwa vitendo kuwa anakupenda?
Je anakuwaje akikasirika?
Note only two things
Anaonyesha kabisa ananipenda ila hofu yangu ni huyo aliembikiri aisee kwasababu mimi nimemchukua wakati yupo nae huyo mshkaji
 
Pesa inampa mwanaume njozi ya udhibiti(illusion of control). Unajihisi umekuwa wa thamani sana kumbe hiyo pesa ndo ya thamani sio wewe. Ikiondoka tu kwisha.

Hakuna cha ajabu kuhusu wanawake, wao ni watu tu. Mambo ya kuumizana ni ubinadamu na humpata kila mtu hata nje ya mahusiano kwenye maisha ya kila siku.

Chamsingi ni kujifunza kuzikubali hizo hisia hasi za kukataliwa. Lazima ukataliwe. Kuwa mtu bora; Heshimu watu, jitume, epuka hila, na utampata wako tu.
 
Akili ndo kitu pekee kinahitajika, ujue namna ya ku dance according to the beat
 
Haya I giza hii mindset oune cha mtema kuni.

Unachosema illuision of power ndo kitu pekee kinacho iendesha hii dunia..

Mr nice guy, dunia haijali kuhusu wewe. Kama huna mali na pesa utaendelea kusugua gaga kihisia na kimaisha kwa ujumla
 
Mkuu unanitisha aiseee huyu mwanamke nilienae sasa ananiambia kaliwa na mtu mmoja tu hivi kweli hatakuja kunisumbua mbeleni?
Kama anaweza kukuambia kiujsiri kaliwa na mtu mwingine jiandae kuchapiwa
 
Haya I giza hii mindset oune cha mtema kuni.

Unachosema illuision of power ndo kitu pekee kinacho iendesha hii dunia..

Mr nice guy, dunia haijali kuhusu wewe. Kama huna mali na pesa utaendelea kusugua gaga kihisia na kimaisha kwa ujumla
Pesa ni rasilimali inayoisha. Haiwezekani kila mtu akawa tajiri. Unapounganisha furaha yako na rasilimali inayoisha unakosea. Usipoipata rasilimali hiyo ama ikikuishia utakosa furaha.

Tafuta rasilimali zisizoisha ambazo ni upendo na amani.
 
Amani gani na upendo gani mwanaume utapata endapo hautakuwa na uwezo wa ku provide?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…