Mm naona ni matokeo ya millenial kuingizwa mkenge na malezi ya kizungu pasipo kujua misingi bora wanayoitumia wao
KabisaMm naona ni matokeo ya millenial kuingizwa mkenge na malezi ya kizungu pasipo kujua misingi bora wanayoitumia wao
Ndo hawa. Washenzi wanao lilia 50 kwa 50Millenials ndo wametuharibia wanawake zetu, Wamewalea vibaya na walivo kua wakaanza kuwa dekeza na ma iphone.
Maskini anaoperate from a lack mentality..Kweli Pussy na Mapenzi ndio huwaangaisha masikini. Lakini mwanaume mwenye uwezo wa kifedha ma mali huwa haangaikii hizi mambo.
Wanaume tunatatizi moja la kuona kuwa mkeo ni wewe tu ndiye uliyepoLabda niwape code tu ndugu zangu mnaoteswa na wanawake.
Issue inayo kufanya mpaka leo mwanamke akutumie na kuku dharau ni kwasababu wewe ni kapuku,period.
Toka nianze ku advance kifedha nimekuja kuona siri nzito ya kisaikolojia iliyopo nyuma ya wanaoumizwa na mapenzi.
Issue ni kuwa huna maokoto ya wewe kuwa versatile, yaani unategemea mwanamke wako pekee, what do I mean?
Kijana mpambanaji, anatafuta kwa jasho ili aweke familia yake au mahusiano yake stable, let alone survival.
Ila baadae anakuja kugundua ukweli Mchungu kuwa mwanamke anawigo Mpana wa machaguzi, akiona unacho mpea hakimtoshi anauwezo wa kutafuta mwanaume mwingine kujiegesha akiwa anajua fika kuwa, value yako kwake ni hamna kabisa.
That's a paniful truth ambayo watu huikwepa ila kwa sababu ya maisha ya kileo hauwezi kwepa hiyo fact, with life being expensive.. Lazima uchapiwe tu ndugu....
One fact ni kuwa, mwanaume mpambanaji na mwenye kipato cha chini hutegemea mpenziye ndo awe driving force kumpa moyo ili aweze kufanikisha hata zaidi katika mihangaiko yake.
Ila ubaya wa hawa wadada wasio na malezi ndo hivyo wanakutumia na kikunyonya kile kidogo ulicho nacho maana unakuwa vulnerable kwao, you depend on her to be a comfort in your struggle.
My friend, achana na pussy, jipate uone jinsi pussy hazina maana kabisa. Ni vyombo vya starehe kwa wenye nazo.
Mtu mwenye mawe huwezi kuta anahangaika because all Power iko mkononi mwake, pisi zinajilengesha kwake na ile kuzitafuna unagundua hakuna jipya kabisa. Unakuja kuona kumbe mapenzi na kulia lia ni vya watu maskini tu. Watu masikini hawana option,. Mwanamke asiye na foundation hugeuka kuwa kama bidhaa. Na huyo mwanamke uliye fikiri ana uspesho kipindi filulani ukisha jipata unaona ulikuwa unafuga parasite, na uka disguise wa kufa na kupona.
So my friend amka, Achana na wanawake kama unajua hakuna reciprocity kwenye relationship jichenge na ujenge maisha kwanza. Vitobo na mawezele yapo ya kutosha sana ukiwa nazo.
Happy weekend.
Kuna demu tulisoma wote O level, alikuwa ana figure nzuri, bright ila hakuwa na bahati kwenye mahusiano, kuna mshkaji wangu ndo alikuwa anakamata, ila kichwa yake ilikuwa haijatulia kabisa, alimbikiri yule dem halafu akaanza kumsumbua.Labda niwape code tu ndugu zangu mnaoteswa na wanawake.
Issue inayo kufanya mpaka leo mwanamke akutumie na kuku dharau ni kwasababu wewe ni kapuku,period.
Toka nianze ku advance kifedha nimekuja kuona siri nzito ya kisaikolojia iliyopo nyuma ya wanaoumizwa na mapenzi.
Issue ni kuwa huna maokoto ya wewe kuwa versatile, yaani unategemea mwanamke wako pekee, what do I mean?
Kijana mpambanaji, anatafuta kwa jasho ili aweke familia yake au mahusiano yake stable, let alone survival.
Ila baadae anakuja kugundua ukweli Mchungu kuwa mwanamke anawigo Mpana wa machaguzi, akiona unacho mpea hakimtoshi anauwezo wa kutafuta mwanaume mwingine kujiegesha akiwa anajua fika kuwa, value yako kwake ni hamna kabisa.
That's a paniful truth ambayo watu huikwepa ila kwa sababu ya maisha ya kileo hauwezi kwepa hiyo fact, with life being expensive.. Lazima uchapiwe tu ndugu....
One fact ni kuwa, mwanaume mpambanaji na mwenye kipato cha chini hutegemea mpenziye ndo awe driving force kumpa moyo ili aweze kufanikisha hata zaidi katika mihangaiko yake.
Ila ubaya wa hawa wadada wasio na malezi ndo hivyo wanakutumia na kikunyonya kile kidogo ulicho nacho maana unakuwa vulnerable kwao, you depend on her to be a comfort in your struggle.
My friend, achana na pussy, jipate uone jinsi pussy hazina maana kabisa. Ni vyombo vya starehe kwa wenye nazo.
Mtu mwenye mawe huwezi kuta anahangaika because all Power iko mkononi mwake, pisi zinajilengesha kwake na ile kuzitafuna unagundua hakuna jipya kabisa. Unakuja kuona kumbe mapenzi na kulia lia ni vya watu maskini tu. Watu masikini hawana option,. Mwanamke asiye na foundation hugeuka kuwa kama bidhaa. Na huyo mwanamke uliye fikiri ana uspesho kipindi filulani ukisha jipata unaona ulikuwa unafuga parasite, na uka disguise wa kufa na kupona.
So my friend amka, Achana na wanawake kama unajua hakuna reciprocity kwenye relationship jichenge na ujenge maisha kwanza. Vitobo na mawezele yapo ya kutosha sana ukiwa nazo.
Happy weekend.
Hakika, ila kuchetiwa is directly proportional to ikosefu wa maokotoWanaume tunatatizi moja la kuona kuwa mkeo ni wewe tu ndiye uliyepo
Nikuambie tu mke ni wako ukiwa naye tu akiwa hayupo ni wa wengine
Ukikaa nayo hiyo huwezi umia maishani mwako
Kwamba kuna wanaume nao wanachezea wanawake?Kuna demu tulisoma wote O level, alikuwa ana figure nzuri, bright ila hakuwa na bahati kwenye mahusiano, kuna mshkaji wangu ndo alikuwa anakamata, ila kichwa yake ilikuwa haijatulia kabisa, alimbikiri yule dem halafu akaanza kumsumbua.
Miaka ikaenda kipindi tupo advance nilikuwa na mawasiliano na demu, alikuwa akinipa mikasa ya jamaa kutoka na mademu wengine.
Miaka ikaenda demu akafanikiwa kwenda chuo, na huko ndo ukurasa wa maisha mengine ukaanza.
Nakumbuka kipindi tunawasiliana demu alinisimulia kwamba kuna mshikaji very talented kwenye mambo ya sanaa ya kuchora(alikuwa anasomea DM hapohapo chuo) alikuwa amefall kwa demu.
Nikamwambiya awe makini asije akawa kama mshikaji wangu. Kiufupi jamaa alishamuoa na wana mtoto, pia wanapendana sana.
Hii stori ina fundisho sana kama utaielewa mkuu, Ngono ni adui wa akili na Mali.