Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja.
Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi.
Waliofaidi ni wale waliokwenda kuanzia 2005 kushuka chini.
Rate ya uhalifu ni kubwa sababu ajira ni za kugombania na mwisho wa siku kama unatoka nyumbani unaweza kucheka kazi kuuza sweet mtaani ukaenda kuifanya kule.
Uhuru ambao kama sio self control kule unaweza kuwa mwizi, muuza sinkaka, mchomoko na mengine.
Vijana wengi wanajipa moyo sana wakifika huko mwisho wa siku kuna mawili final uzeeni bado ujatoboa.
Mauwaji ni ya kugusa kule yani kuna chuki za ajabu.
Kama mnaona south Africa kuna maisha siwapangii mnaojipanga ila mtaenda kufanya kazi ambazo mlikuwa mnashangaa hapa nyumbani.