Ukweli mchungu: Hutavuka mpaka wa Tanzania bila kupata chanjo ya COVID-19

Sijawahi ona wala kusikia kuhusu chanjo ya lazima kwa binadamu.
Suala la tiba ni maoni na uhuru wa kibinafsi. Hamna mtu atakaye kushurutisha kutumia aina fulani ya kinga au tiba.
 
Huu sio ujinga tu mkuu, huu ndio upumbavu wenyewe.

Sasa hapa utadhani nimekutukana; la hasha, huo ndio ukweli wenyewe.
Tatizo hampendi ukweli mimi binafsi sijawahi kuona mgonjwa wa korona kabisa , magari tunabanana , kkoo tunabanana, hakuna korona Tz huo ndio ukweli, ata wachezaji wa Simba walioko Zimbabwe hakuna mgonjwa, mnataka nini sasa, wacha wazungu wapambane kivyao
 
Wewe kutoona mgonjwa wa corona haina maana hakuna corona. Jaribu kujielimisha kidogo kuhusu maswala haya. Si jambo la kuamka usingizini tu na kujitangazia wewe mwenyewe kwamba hakuna corona. Kuna taratibu za kufanya hivyo, na kwa vile nyinyi sio wafuata taratibu, basi dunia itaanza polepole kuwatenga.
 
Serikali imesema hakuna Korona tuchape kazi, mimi mtaani sijawai kuona mtu wa korona, wewe hizo data za wenye korona unapata wapi? Simba wameenda nigeria hakuna mwenye korona, wameenda Zimbabwe hakuna mwenye korona, mnataka nini sasa, watu wengine mnapenda kweli kulazimisha tabuu
 
Mawazo yako siyo mawazo ya nature.
Huko ughaibuni ni korona tu. Wako kwenye flu season, mpaka March. Wewe kama uko bongo hilo halikuhusu. Usipende kuingilia mambo yasiyo kuhusu.
 
Kwenye Korona hakika Tanzania ni zaidi ya Ulaya, tunaenjoy free hakuna Mask wala nini , Mungu ashukuriwe

Bro kuna watu wanaumia kuona hali ni shwaari tu. Wabongo wanajifanyia shughuli zao bila ya hofu yoyote. Tisho halipo. Watu wanachukua tahadhari kwa njia ya kawaida tu, si kwa panic.
Sasa kuna watu wakiona hivyo, wanafura kwa husuda. Sijui hao tuwaite wanga!!!?
 
Umejuaje hawana korona,umewapima?

Maana kujua mtu ana vidudu au hana ni kwa kupima pekee yake.

Niambie lini mmepima binadamu yeyote TZ?

Siyo pekee kuwapima. Hata dalili pia zinaweza kukupa picha ya ugonjwa ambao mtu anaumwa.
 
Magufuli hoyeeeeeeee!

Magufuli kwa mikono yake kaondoa vidudu vya korona kwenye miili ya wanadamu...

Hoyeeeee

Tanzania kama URAYAAAAAAA!

Kumi tena kwakeeeeeeeee!

Hoyeeeeeee
Kwenye Korona hakika Tanzania ni zaidi ya Ulaya, tunaenjoy free hakuna Mask wala nini
Umejuaje hawana korona,umewapima?

Maana kujua mtu ana vidudu au hana ni kwa kupima pekee yake.

Niambie lini mmepima binadamu yeyote TZ?
1.wagonjwa wote wa korona walipona
2.vituo vya kupokea wagonjwa vimefungwa , havina kazi kabisa maana hakuna wagonjwa
3.JPM alipokuwa anahutubia CCM kule dodoma alisema, korona imekwisha ata humu ndani hakuna mwenye barakoa, na JPM ndio serikali, sasa wewe nani na kwa vigezo gani unambishia JPM ambaye yuko jikoni?
 
Bro kuna watu wanaumia kuona hali ni shwaari tu. Wabongo wanajifanyia shughuli zao bila ya hofu yoyote. Tisho halipo. Watu wanachukua tahadhari kwa njia ya kawaida tu, si kwa panic.
Sasa kuna watu wakiona hivyo, wanafura kwa husuda. Sijui hao tuwaite wanga!!!?
Hakuna korona mkuu, ulaya Christmas wanakula ndani wanaogopa korona , waje Tanzania waenjoy maisha , kuna watu wanapinga kila kitu achana nao
 
Tulia bwana mdogo acha kuruka ruka ninavyokudunga sindano. Nani aliyekuambia kale ka themometa wanakompima mtu kanaweza kuonesha maambukizi?
Nani aliyekuambia kuwa kila mwenye joto above the normal reading ana korona?
Umepewa Kichwa ili utumie katika kufikiri, siyo pambo la kuvaa kofia, miwani, nk.
 
Dalili zipi mkuu?

Corona inakua manifestated na magoinjwa yetu ya kila siku kama mafua,joto,nk

Watu kila siku wanaumwa hivyo na wanapona na wengine kufa

Sasa kujua mwili wa mtu una vidudu huwezi kujua bila kupima

Naomba nieleze lini mmepima watu mkapata 100% hawana corona?
Unataka tupime watu wakati hawaumwi?ata ukimwi ni.hiari ya mtu kupima itakuwa ugonjwa wa kawaida kama Korona!! Nakwambia Korona nchi hii imebaki story, na nyie wachache endeleeni kujitisha wenyewe
 
Mitanooooooo

Tenaaaaaaaa

Yaani sasa hivi akili zetu tumetia mfukoni, kila tunachofanya ni kumfurahisha Jiwe yaani
 
Dalili zipi mkuu?

Corona inakua manifestated na magoinjwa yetu ya kila siku kama mafua,joto,nk

Watu kila siku wanaumwa hivyo na wanapona na wengine kufa

Sasa kujua mwili wa mtu una vidudu huwezi kujua bila kupima

Naomba nieleze lini mmepima watu mkapata 100% hawana corona?

Lingine ambalo hulijui. Si kila mtu akifa akifanyiwa post mortem na cadaver kukutwa na korona, basi hiyo ndiyo sababu ya kifo chake. Bro jielimishe zaidi kuhusu korona ili usiwe mtumwa wa hiyo. Kweli itakuweka huru.
 
Unahangaika nini wakati wanaokufa ni less than 1%? Na wote ni wale wenye (critical) pre existing health issues.
 
Asiye na kinga akiingia nchini mwako na ugonjwa itabidi umtibu ni kupotezeana muda na gharama zinazoepukika.
Kama kukaa guarantee peke yake ni gharama za abiria aliyeingia inchi husika,,
Itakuwa gharama za hospital?

Hawana hoja ya msingi..

Pengine wamechoka kukaa guarantee na lock down ,,

hapo dunia itawaelewa.
 
Back
Top Bottom