Ukweli mchungu: Hutavuka mpaka wa Tanzania bila kupata chanjo ya COVID-19

Mwenye kujua utaratibu wa kupata huyo Certificate ya CORONA na hospitali zinazopima aniambie. Nataka kusafiri soon.
Ahsanteni.
Umeambiwa zinahitajika huko unakoenda? Uingereza wameagiza kits mil 40 ila mpaka mwisho wa mwaka huu watakuwa wamepokea kits laki 8 tu! Sasa nyie viherehere hivyo vya vyeti mnavitoa wapi?
 
Umeambiwa zinahitajika huko unakoenda? Uingereza wameagiza kits mil 40 ila mpaka mwisho wa mwaka huu watakuwa wamepokea kits laki 8 tu! Sasa nyie viherehere hivyo vya vyeti mnavitoa wapi?
Labda hunajielewa. Naenda Kenya na Ili Mtanzania aingie Kenya lazima apime Corona huku huku Tanzania na kuonyesha cheti mpakani Namanga kabla ya kuendelea na safari....ikiwa ni Pamoja na kuvaa barakoa na ku keep social distance ndani ya magari
 
They’re self-conflicted folks. Ukiwauliza hewa wanayovuta imetoka wapi, watakuambia ni natural air. Wanasema kuna nature (a subconscious way of acknowledging God) na wakati huo huo wanasema hakuna Mungu.

Knowledge yao inapoishia ndipo existence ya Mungu inapoanzia!
Na ukiwauliza waamini kuhusu chanzo cha Mungu wanakujibuje?
 
Labda hunajielewa. Naenda Kenya na Ili Mtanzania aingie Kenya lazima apime Corona huku huku Tanzania na kuonyesha cheti mpakani Namanga kabla ya kuendelea na safari....ikiwa ni Pamoja na kuvaa barakoa na ku keep social distance ndani ya magari
Samahani kwa wrong perception mkuu. Ndiyo ubinadamu wenyewe.
 
Kwakuwa wazungu ndio walioathirika zaidi acha wachanjane wenyewe kwanza halafu sisi tufuate

Halafu kuna kitu kimoja watu wamekisahau. Kuna magonjwa (hasa ya virus) hayana vaccine inayotoa kinga ya kudumu dhidi yake. Seasonal flu, kwa mfano, haina vaccine inayotoa kinga ya kudumu. Kila msimu revaccination inafanyika! Sitashangaa kama vaccine dhidi ya coronavirus nayo haitampa mtu kinga ya kudumu!

Kwa kawaida, ukiugua ugonjwa unaoweza kuwa na vaccine inayoweza kukupa kinga ya kudumu, haugui tena ukishapona. So far, COVID-19 imeshakaidi hiyo sifa. Watu wanaugua zaidi ya mara moja!
 
Biblia inaonya ashupazae shingo ikivunjika haitapona tena.

Sawa hatukuweka lockdown tukavuka ila sio chanjo, hili sio swala la kidola ni suala la dunia (WHO) linasimamiwa na dunia na mataifa yenye nguvu duniani na uwezo mkubwa.

Wazungu corona inewapa kichapo kikali hawatataka wewe uwapelekee tena ugonjwa huo, USA inapitisha billion 900$ hii pesa itawauma sana hawatakubali uwapelekee tena gonjwa hili baya.

Tunaweza kushuhudia viongozi wa ngazi za juu wa taifa letu wakizuiliwa airport kwa kutokuwa na vyeti/muhuli/alama za chanjo ya covid 19 tena umetoka Tanzania wanakodai tulipuuzia mbinu zao.

Tunagomea kinga kwa sabau gani mbona hatukugomea za ndui, mabusha, tetenasi, polio, tezi na hata kinga za mimba inamaana hii ndio yenye madhara tu.

USSR
Kinga inamsaidia aliyekingwa kutokuugua au kupata maambukizi ya ugonjwa fulani.
Mfano: kinga ya minyoo ( hata nikipita maeneo yenye minyoo sintodhurika.
Sasa, mzungu amepata chanjo ya kinga dhidi ya warusi wa Corona, hofu yake kutoka Tanzania ni nini?
Je Mtz siwezi kuwa na kinga ya asili?
 
Kama wameshakuambia hakuna Mungu, watakujibu nini tena kwa swali kama hilo?
Sijakuuliza wasioamini Mungu, nimekuuliza wanaosema Mungu yupo ukiwauliza chanzo cha huyo Mungu wanakujibuje?
Nimekuuliza hivi sababu comment yako ilikuwa ikiwananga wasioamini uwepo wa Mungu
 
Sijakuuliza wasioamini Mungu, nimekuuliza wanaosema Mungu yupo ukiwauliza chanzo cha huyo Mungu wanakujibuje?
Nimekuuliza hivi sababu comment yako ilikuwa ikiwananga wasioamini uwepo wa Mungu

Wanaoamini wana misahafu yao inayoelezea chanzo cha Mungu. Kwa wakristu watakuelekeza ukasome kitabu cha Mwanzo (Genesis)!
 
Sijakuuliza wasioamini Mungu, nimekuuliza wanaosema Mungu yupo ukiwauliza chanzo cha huyo Mungu wanakujibuje?
Nimekuuliza hivi sababu comment yako ilikuwa ikiwananga wasioamini uwepo wa Mungu
Miungu hana mwanzo wala mwisho he is beyond time and space vyenye time span ndivyo vyenye mwanzo yaani calendar
 
Majibu yaliyoko humo yanachekesha na hayana mantiki. Bora wasioamini Mungu alafu wakaishia kusema ni nature

Ukishasema nature maana yake unakiri subconsciously uwepo wa Mungu. Maelezo yaliyomo kwenye Kitabu cha Mwanzo hayana tofauti sana na jibu la kusema nature!
 
Miungu hana mwanzo wala mwisho he is beyond time and space vyenye time span ndivyo vyenye mwanzo yaani calendar
Screenshot_20201226-114302.png

Nilimuuliza jamaa swali kulingana na comment yake ya kuwananga wasioamini uwepo wa Mungu kutokana na majibu yao ingali pia majibu ya waamini Mungu yakiwa ya utata zaidi
 
Biblia inaonya ashupazae shingo ikivunjika haitapona tena.

Sawa hatukuweka lockdown tukavuka ila sio chanjo, hili sio swala la kidola ni suala la dunia (WHO) linasimamiwa na dunia na mataifa yenye nguvu duniani na uwezo mkubwa.

Wazungu corona inewapa kichapo kikali hawatataka wewe uwapelekee tena ugonjwa huo, USA inapitisha billion 900$ hii pesa itawauma sana hawatakubali uwapelekee tena gonjwa hili baya.

Tunaweza kushuhudia viongozi wa ngazi za juu wa taifa letu wakizuiliwa airport kwa kutokuwa na vyeti/muhuli/alama za chanjo ya covid 19 tena umetoka Tanzania wanakodai tulipuuzia mbinu zao.

Tunagomea kinga kwa sabau gani mbona hatukugomea za ndui, mabusha, tetenasi, polio, tezi na hata kinga za mimba inamaana hii ndio yenye madhara tu.

USSR
Hakuna mwenye COVID - 19 atakayegomea CHANJO! Wote wenye COVID - 19 lazima wachanjwe, kama ilivyo kuwa kwenye ndui, polio, matezi na mabusha na magonjwa mengine YALIYOKUWEPO! Kama ugonjwa haupo CHANJO YA NINI!? Wachanjwe tu wenye ugonjwa!
 
Kama Tanzania hawahitaji chanjo logic ni kwamba huo ugojwa siyo tishio kwao, wazungu wanatoa hadi chanjo za mafua na hii siyo kwa watoto na akina mama wajawazito pekee, kwa hiyo swala la chanjo litabaki kwa nchi husika kuamua..
Global pandemic needs global cooperation
 
Back
Top Bottom