Emmanuel Njulumi
Member
- Sep 2, 2016
- 27
- 19
Acha umbumbumbu walimu ni kada ya walio soma kuliko wote mf ngazi ya cheti kada zingine wanachukua kuanzia d 4 na kuendelea lkn ualimu ngazi ya cheti wanachukua division 3 we vipi unashindwa kujiongezaNi nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Acha zarau za kijinga,rais wa kwanza Mwalimu ,wa pili Mwalimu ,wa tano Mwalimu pamoja na wazir Mkuu.je kuna kada nyingine ilishatoa rais zaidi ya ualimuUkweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeli
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Acha zarau za kijinga,rais wa kwanza Mwalimu ,wa pili Mwalimu ,wa tano Mwalimu pamoja na wazir Mkuu.je kuna kada nyingine ilishatoa rais zaidi ya ualimu
Hiyo PCM AU PCB umeipataje pataje?ulifundxhwa na vilaza co?mbna ninyi wnafnz mna dharau xna!!akiwa anajufundxha darasan unamwita jembe.ukifanikiwa unamwita kilaza!!!Hya 2ambie,ina maana ww tangu drs la awali hadi hapo ulipo hesabu ulifundishwa na hao mainjinia co?Sio siri kila mtu anajua vichwa wote waliosoma PCM wanaenda engineering na wale wa PCB wanaenda udaktari.
Ndio mm ni mwl wa chemistry bt hw nafundisha form 1 & 2, sizidi hapo,,,STEREO CHEM,,ELECTRO CHEM,,ENVIROMENTAL CHEM N.K. hizo zote nimeachana nazo lakini niko TGTS *E* nimepanda kutoka *D* so tukishapigizana kelele huku mitandaoni badae natulia shm napiga vitu.. UNAWEZA KUTAFUTA TAKE HOME YA TGTGS *E* ujue raha niliyonayo mjini.Wewe BOD umeandika kiswahili au kimatumbi, Hujui kuandika wala kuunganisha sentensi unaleta kichefuchefu. Wewe unajiita mwalimu pia shame on you
Hvi hao walimu waliwakoseaga nn? Yan kila siku walimu hivi.. walimu vileee, muwaache watulie bas wafanye kazi kwa amaniWatu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
stres za kukosa ajira unamalizia kwa walimu...we jamaa vp?Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Hahahahaha nimeipnda hiiUnafikiria kwa kutumia kiungo gani?Ubongo upo likizo?
Ndio mm ni mwl wa chemistry bt hw nafundisha form 1 & 2, sizidi hapo,,,STEREO CHEM,,ELECTRO CHEM,,ENVIROMENTAL CHEM N.K. hizo zote nimeachana nazo lakini niko TGTS *E* nimepanda kutoka *D* so tukishapigizana kelele huku mitandaoni badae natulia shm napiga vitu.. UNAWEZA KUTAFUTA TAKE HOME YA TGTGS *E* ujue raha niliyonayo mjini.
sijivuni but nimeridhika nayo sn na inatosha mahitaji yangu ya msingi na hiyo ndio tafsiri sahihi zaidi ya utajiri according to ** psychologists**Ndugu,unajivunia take home ambayo hata bwana mdogo intern lab scientist aliyesoma miaka mitatu anakuzidi?
Watu tunatofautiana sana...Nikajua unakunja hata 2M kumbe laki saba
Hongera mkuu
Wewe ni wa kupuuzwa tuSerikali iachane na hawa walimu wa science
Hao unaowaitta vichwa wamefundishwa na nani?Unataka kulazimisha hoja yako.Sio siri kila mtu anajua vichwa wote waliosoma PCM wanaenda engineering na wale wa PCB wanaenda udaktari.
Hahahahahaah jamaa wewe sikuwezi! Ipo siku kama sio wewe nwenyewe basi mwanao atakuja kukuhadithia madini adimu niliyonayo ila hutajua kuwa ndio huyu unayebishana naye! Ahsante kwa changamoto unayotupa walimu wetu!Concept gani za kukariri wewe hata hujui application zake, chezea elimu ya kimerekani kuileta Tanzania, kama ungekuwa na concept usingelalamika kuhusu huu uzi, ungetumia concept hizo za physics kuleta mabadiliko na kupeleka kwenye vitendo, Hiyo science ya Teku au Tumaini hata kuandaa practical ni shiidaaa utawezaje fundisha watoto kama sio kuharibu Taifa
Mtoa mada naomba nikusahihishe hapa kidogo! Unahabari kuwa kuna wahitimu wa 2015 wa kada mbali mbali ikiwemo na ualimu wameshaingia tayari kwenye payroll ya serikali na wanaendelea kufurahia kuhitimu kwao?Usipanic kwa kukaa mtaani miezi sita mwalimu, There is life out of employment, kuna maisha mengine nje ya ajira, Ila kama ulimaliza chuo una miaka 23 mwaka 2015 Leo ni mwaka 2017.Tafuta kitu cha kufanya, mwaka huu kuna wengine watamaliza tena Just a reality joke