THE NEW WORLD ORDERWanasayasi wamejitahidi sana na kugundua vitu vingi sana duniani. Lakini walikuwa wakijijita sana kwenye physical environment. 1% ya vitu ndio vipo katika physical yaani vinaweza vikapatika kwa kutumia mind. Lakini 99% vinapatikana pale tu mtu anapoanza kutumia consciousness yake. Nisije nikaenda mbali sana.
Pale mtu atakapojitambua yeye ni nani ndipo ukombozi wake uakapofika. NWO ni total liberation of human being, mtu anakuwa na uhuru kamili kutoka kwa wakandamizaji mabepari, watu wa dini waliounda msingi tena mgumu wa OWO. Ubepari huo ulitokana na automatic season ya evolution ya human consciousness. Wengine wanadhani labda OWO imeanza miaka ya karibuni no no no OWO inazaidi ya miaka 3000 imaanza mda mrefu sana kabra ya Ibrahimu baba wa imani ya (Kiislam, Kiyahudi na Kikristo). Kipindi hicho kilitokea baada ya evolution kutoka kwenye very stupid age ambapo watu waliishi kama wanyama. Ndipo ikatokea OWO ambapo kipindi kile ilikuwa New. Watu wakapata evolution kwenye consciousness na kujikuta wakiwa na uwezo wa kuabudu. Nafsi zao zikawa zinatafu kujua source yake.
Kwa sababu consciousness ilikuwa iko chini uwezo wa kujua source ilikuwa ngumu sana. Na hatimaye kuanza kuumba kitu fulani kwenye fikra zao ili kuonesha tu wametokana na hicho. Ndio stori nyingi za uumbaji na vitu vinavyofanana na hivyo vikaanza kutokea. Mtu akajitengenezea vitu vya kuabudu. Lengo lake ni kwamba anatafuta source ya nafsi yake. Lakini kwa sababu evolution ya kipindi kile ilikuwa ya kiwango cha chini cha consciousness.
Kipindi hiki ni new beginning ambapo watu wanatumia kiwango cha juu consciousness zao. Ni kipindi cha Liberation mtu anajitambua yeye ni nani. Anakuwa na uwezo wa kujua asili yake ni nini. Ni kipindi ambacho mtu anajitambua. Ndio NWO inaanzia hapo. Watu wote duniani wanaungana na kuwa kitu kimoja. Hakuna unyanyasaji wote tunakuwa kitu kimoja.
Tunajua asili yetu ni cosmic Energy, tunajua mungu ni nini, tunajielewa. Sasa hivi tupo kwenye transition period. Bado watu wengi hawajafahamu. Ni lazima wa elewe.
Is the time of Liberation for all human kind in our planet. Be illuminated upate mwanga
Unajua huwa ni vizuri sana kuwa huru katika mitazamo yetu. Na ni vizuri sana kujua wewe ni nani na umekuja duniani kwa lengo gani. Na nini hasa huwakinatokea unapokuwa umekufa.
Wakati mwingine kujua ukweli ni vizuri sana. Lakini baadhi ya watu wanakuwa hawako huru. Hebu jaribu kuwa huru.
Nitaanza kuongelea kuhusu Reality. Na tutafanya hivyo kwa practical.
mkuu unaonekana una uelewa ila kabla hii Nwo haijaanza rasmi malaika wa Mungu watapita duniani kote kuwatia ishara ktk paji la uso watu wa Mungu na nafas itakayobaki ni kwa wale kondoo ambao hawajawah kuwa ktk zizi la kristo ila waliyashika na kuyatii aliyoyafundika. Kitabu cha ufunuo, mathayo 24 na Daniel vina maelezo zaidi
Mkuu bado unaamini tu drama za kupaa mawingu kwa watenda mema...! Hakuna maisha after Death
Lakini mkuu vurugu zote hizi duniani unataka kuniambia kwamba ipo siku dunia itakuwa moja?au mwenzetu upo sayari nyingine na niliyopo mimi,umesikia kilichotokea jana Garissa Kenya,unayasikia yanayotokea Iraq na Syria waarabu wa #ISIS kwa visasi vyao wanawachinja mateka wa kizungu,wenyewe kwa wenyewe wanachinjana yaani ni kusema kwamba Palestine itokee siku akae na Israel wawe kitu kimoja bila vurugu zozote,America na vitisho vyote vya kigaidi aruhusu unknowns people waingie na kutoka bila searching yoyote airport na ktk vituo vya treni? Annael labda uniambie hao unaosema sijui NWO wataleta gharika kama aliyoileta Mungu kipindi cha Nuhu iangamize dunia nzima then hao watakaoishi baada ya hapo ndo wataiishi hiyo NWO yao ila sio kizazi hiki ni kujidanganya kaka.
Nadhani nimeshaeleza kila kitu kwenye thread hii. Hebu jaribu kuifuatilia
Nawasoma hawa illuminants na wamenisaidia sana kuhakiki Biblia ni Hakika na Kweli!
Hata wachawi wengi nimesoma habari zao nikatambua pia mambo yaliyonenwa katika Kitabu cha Mungu ni hakika na kweli!
Fungua akili yako. Tunavuka sasa kuelekea ndunia mpya yenye furaha. Mbinguni ni hapa hapa duniani. Kunawatu wameiharibu lazima tuzime Old World Order (OWO)
THE NEW WORLD ORDERWanasayasi wamejitahidi sana na kugundua vitu vingi sana duniani. Lakini walikuwa wakijijita sana kwenye physical environment. 1% ya vitu ndio vipo katika physical yaani vinaweza vikapatika kwa kutumia mind. Lakini 99% vinapatikana pale tu mtu anapoanza kutumia consciousness yake. Nisije nikaenda mbali sana.
Pale mtu atakapojitambua yeye ni nani ndipo ukombozi wake uakapofika. NWO ni total liberation of human being, mtu anakuwa na uhuru kamili kutoka kwa wakandamizaji mabepari, watu wa dini waliounda msingi tena mgumu wa OWO. Ubepari huo ulitokana na automatic season ya evolution ya human consciousness. Wengine wanadhani labda OWO imeanza miaka ya karibuni no no no OWO inazaidi ya miaka 3000 imaanza mda mrefu sana kabra ya Ibrahimu baba wa imani ya (Kiislam, Kiyahudi na Kikristo). Kipindi hicho kilitokea baada ya evolution kutoka kwenye very stupid age ambapo watu waliishi kama wanyama. Ndipo ikatokea OWO ambapo kipindi kile ilikuwa New. Watu wakapata evolution kwenye consciousness na kujikuta wakiwa na uwezo wa kuabudu. Nafsi zao zikawa zinatafu kujua source yake.
Kwa sababu consciousness ilikuwa iko chini uwezo wa kujua source ilikuwa ngumu sana. Na hatimaye kuanza kuumba kitu fulani kwenye fikra zao ili kuonesha tu wametokana na hicho. Ndio stori nyingi za uumbaji na vitu vinavyofanana na hivyo vikaanza kutokea. Mtu akajitengenezea vitu vya kuabudu. Lengo lake ni kwamba anatafuta source ya nafsi yake. Lakini kwa sababu evolution ya kipindi kile ilikuwa ya kiwango cha chini cha consciousness.
Kipindi hiki ni new beginning ambapo watu wanatumia kiwango cha juu consciousness zao. Ni kipindi cha Liberation mtu anajitambua yeye ni nani. Anakuwa na uwezo wa kujua asili yake ni nini. Ni kipindi ambacho mtu anajitambua. Ndio NWO inaanzia hapo. Watu wote duniani wanaungana na kuwa kitu kimoja. Hakuna unyanyasaji wote tunakuwa kitu kimoja.
Tunajua asili yetu ni cosmic Energy, tunajua mungu ni nini, tunajielewa. Sasa hivi tupo kwenye transition period. Bado watu wengi hawajafahamu. Ni lazima wa elewe.
Is the time of Liberation for all human kind in our planet. Be illuminated upate mwanga
Angalia hapa kwa kuanza
https://www.youtube.com/watch?v=zMqzLrT1kQY
"Nature is written in that great book which ever is before our eyes - I mean the universe - but we cannot understand it if we do not first learn the language and grasp the symbols in which it is written. The book is written in mathematical language, and the symbols are triangles, circles and other geometrical figures, without whose help it is impossible to comprehend a single word of it; without which one wanders in vain through a dark labyrinth."
Galileo
If you want to debate the existence of God with scientists, you do not go armed with a "holy" book. You have to bring your knowledge of the science of the soul. Your science has to be better than theirs. You have to show them where they are in error.
The first motto of the Illuminati (under Grand Master Pythagoras) was: "Number rules the universe." Mathematics is the basis of organization, hence of life, hence of mind. A universe that did not operate according to mathematics would be incomprehensible, irrational, and nothing but random chaos from which no life and no consciousness could ever emerge.
So, the ultimate question, as Pythagoras realized, was: where does mathematics come from? How and why does the cosmos understand mathematics? Moreover, if the cosmos is based on mathematical rules and humanity can understand mathematics then it follows that humanity can unlock the secrets of the cosmos and read the Mind of God. Science is how humanity uses mathematics to comprehend the universe. But science historically made one catastrophic mistake: it let empirical data be its sole guide rather than empirical data and mathematical logic.
huu ni wakat wa kushika ulichonacho kwa makin kisije chukuliwa maana anayoyasema siku 1 yatakuwa rasm na yatatiliwa mkazo na utawala utakaokuwepo