Ukweli kuhusu tukio la walimu waliompiga mwanafunzi Mbeya

NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE

Na Mathias Canal

Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde 38, ambayo tangu nilipoiona kabla ya kujua serikali itafanya maamuzi gani kwa Walimu waliofanya unyama huo mimi niliwatazama takribani watu hao watano wakiwa wanaonekana kumshambulia mvulana mmoja ambaye ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa ya Mbeya ambaye baadaye alianguka chini kwa kupigwa ngumi pamoja na mateke.

Hakika tangu jana nimekuwa nikihangaika kujua chanzo cha Walimu kuwa na hasira za aina hiyo kama Chui Mwenye njaa, Machache haya nimebaini.

KISA CHA KUPIGWA...!

Mwanafunzi huyo kabla ya kuonekana kwenye kanda hiyo alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzake wote ambao hawakufanya zoezi darasani.

Aliipohojiwa akamjibu vibaya mwalimu ambapo Mwalimu yule alitaka kumuadhibu kwa kumchapa viboko kama adhamu ya kuimarisha nidhamu yake.

Mwalimu alipojaribu kutaka kumchapa ghafla mwanafunzi huyo alirusha ngumi nzito ambayo ilituama kwenye mdomo wa Mwalimu huyo.

Baada ya kadhia hiyo ambayo haikumaliza hata sekunde moja walimu wengine walioshuhudia tukio hilo waliamua kumchukua mwanafunzi huyo ili kumpelekea ofisini huku Mwalimu aliyepigwa ngumi akiwa ameamua kurudi darasani kutuliza wanafunzi wengine ambao walitaka kufanya vurugu kwa sababu ya kukerwa na Matukio ya ubabe yanayofanywa na Mwanafunzi huyo na Alipoona wanafunzi hao wametulia alianza kurudi ofisini.

Baada ya Mwanafunzi huyo kufikishwa ofisini akaona Walimu wamebaki wawili tu aliwapiga ngumi kiasi kwamba Walimu hawakuwa na namna ya kumkabili.

Mwanafunzi huyo baada ya kuwamudu Walimu wale wawili Akaanza kutoka nje ya ofisi huku akiwa anakimbia yule mwalimu ambaye alipigwa ngumi ya mdomo na akaenda kuwatuliza wanafunzi darasani akamuona mwanafunzi huyo akiwa ametoka anakimbia ndio alipomuwahi kukawa na majibizano ya ngumi na mateke kidogo.

Mwalimu alifanikiwa kumudu majibizano ya kipigo na hatimaye akafanikiwa kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Kumbuka Walimu walikuwa na hasira za Kupigwa tena na mwanafunzi wao...! Na kubaki wakiwa wanaugulia maumivu.

TAARIFA NYINGINE MPENYEZO

Mwanafunzi huyu yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu hao baada ya kufanikiwa kummudu akiwa kwenye ofisi ya walimu ndio maana siku 11 toka tukio limetokea hakwenda kuripoti mahala popote, yaaani Hata nyumbani kwao hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe shule.

Achilia mbali hayo Mwanafunzi huyo alishawahi kuvunja TV ya baba yake nyumbani kwao kama wiki mbili zilizopita.

Pamoja na mambo yote hayo Wiki hili amekamatwa na walimu akiwa anavuta bangi shuleni na wenzake. baba yake mzazi hamtaki huyo Mwanafunzi lakini hana namna ya kumkabili.

MTAZAMO YAKINIFU

Serikali umefanya Kazi Mkubwa kwanza kubaini hiyo video imerekodiwa katika shule gani na Walimu hao ni kina nani, hakika ni jambo la kupongezwa sana lakini imesahau kwamba maamuzi yote yaliyofanyika dhidi ya Walimu yameshindwa kuzingatia chanzo Chake Bali imejikita kukabili matokeo, Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo lakini wakaenda mbali zaidi kwa kusema Samaki mkunje angali mbichi. Mwanafunzi huyu ni samaki aayetaka kukunjwa akiwa amekauka Kamwe haiwezekani.

Watanzania, Wanafunzi, jamii kwa ujumla itambue kuwa binafsi nimesikitishwa sana na kadhia hiyo iliyofanywa na walimu karibu wa tano kwa mujibu wa Video iliyosambaa mtaani tena imenikera mno mno lakini vyema zaidi kama tutajikita kuhangaika na chanzo cha tatizo ili kumaliza mzizi wake kuliko kukabili matokeo huku tukiacha mambo hayo yaendelee kukutikana mitaani.

Kuteleza si kuanguka lazima tukiri kwa pamoja kwamba hapo tumeteleza kabla hatujaanguka basi vyema tukatazama mahala pa Kushika ili kuhakikisha hatuanguki Tunapotoa maamuzi ni vyema sana tuangalie mambo kwa ujumla wake tusitazame tu wapi kumesisimua Jamii...?

Tutambue kuwa tukio hilo la Mbeya ni la wanafunzi wa Chuo kumchangia na kumpiga mwanafunzi wa shule ya kutwa ya Sekondari Mbeya tukiwaita Walimu maana yake tutajadili pia Chama Cha Walimu Mkoa wa Mbeya (CWT) kinafanya Kazi gani...?

Kuna mwandishi mmoja huwa anasema hawezi kuwa adui kwa kusema Ukweli nami sitarajii hilo.

Naaam, Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal (Sauti ya Wanyonge)
0756413465
Igunga-Tabora
 
Bado mnaendelea kuipamba maiti tu... Tulichokiona ndicho tunachokijadili... Mwanafunzi kapigwa saaana karibia kufa. Ova!
 
Baba mzazi wa mwanafunzi huyo, John Chinguku
alisema amesikitishwa na ujumbe unaosambaa
katika mitandao ya simu kuwa Sebastian aliwahi
kumjibu vibaya mbele ya walimu alipokuwa
amekwenda kumtetea asifukuzwe shule. Pia tuhuma kuwa aliwahi kuvunja televisheni na
kwamba baba yake hamtaki nyumbani. “Maelezo hayo si ya kweli ni upotoshaji...kwangu
sina hata umeme. Bado naendelea na ujenzi wa
nyumba yangu. Na huo ujumbe wa kuwa simtaki
Sebastian si kweli kwa kuwa ni kijana
ninayemtegemea kwa kazi za nyumbani, hasa
kusimamia ujenzi wa nyumba,” alisema. Pia aliukana ujumbe mwingine ambao alisema
umesambaa mitandaoni kuwa anaomba msada wa
matibabu na kutaja namba ya simu na akaunti ya
benki. “Sihusiki na ujumbe huo wala hakuna mahali
popote nilipoomba msaada kwa kuwa mimi ni
mtumishi wa benki ya NMB. Kama masuala ya
matibabu kwa mtoto wangu, yamefanywa na
mwajiri wangu,” alisema.

Source : Mwananchi Online
 
Duh mitandao ya kijamii na nguvu zake, yetu macho walioshughulikiwa wameshughulikiwa majibizano ya nini,? Nadhani hii ndyo sababu ya jpm kuomba an Angel aje aifunge, watu wanapoteza muda huko baada ya kuzalisha duh
 
Tena anavyojikanganya ,walimu watatu walishindwa kumdhibiti halafu mwalimu mmoja aliyeko nje ndio akamdhibiti na kumrudisha ili ale kipondo!
Hoja hapq yule mtoto ni mshenzi na hakufaa kuwepo shuleni na pia haobwalimu ni washenzi zaid kwa kutotambua nafasi zao na kuwajibika! Haiwezekani wao kucheza tune za mtoto mshenzi halafu wasiadhibiwe vikali !hatuhitaji wanafumzi wa aina hiyo kama tusivyohitaji walumu wa aina ile kqtikq mashule yetu!
Halafu cha ajabu kingine mkuu umeona, eti huyo aliyemdhibiti mara ya pili baada ya kuwachapa makonde hao walimu wawili kule ofisini eti ni yule yule aliyekuwa amechapwa konde la mdomoni na huyo mwanafunzi! Uongo mwingine bwana!!
 
yule dogo kapapaswa watu wanawehuuka!! mnajua kupigwa ninyi?!! tumepigwa watu mpk akili zikarudi na sasa tunawashukuru waliotupiga kwa elimu tuliyonayo.tusijifanye wadhuungu elim yetu na watoto wetu tanawajua ikibid wapigwe tu. sheria kando kwanza
Mkuu kupigwa kwenyewe tulipigwa lakini siyo kwa magumi na kukandamizwa chini kama jirani yangu Abdallah anachinja mbuzi aisee!!! Ulimwona mwalimu tarajali Msigwa alivyokuwa analibana lile bega la kijana ili kichwa kiwe wazi? Mimi nakumbuka nilikamatwa nimetoroka school baraza nikaenda mjini, wakati narudi nikakutana na second master nilipigwa mpaka nikapoteza hesabu ya viboko, maana mwanzo nilikuwa na ujasiri wa kuhesabu kimoyomoyo eti 1,2,3,4,5,.........50, 51, baada ya kisago kuzidi mpaka hesabu ikapotea kichwani. Sasa Msigwa anapiga ngumi kuchwani??? Hebu tuache utetezi mfu jamani!!
 
Tumia akili kidigo hata mama hufikia hatua humkunja shati baba lakin haimaanishi kuwa baba hana uwezo wa kumpiga mama lakinlakin huwa ni hofu na mashaka endapo atampiga ,
Wewe unaoneka ungali mtoto hivyo huna uwezo wa kuitafakari busara kwa maana huna busara ya kutafakari ndio mana umeanza na kejeli kwa mtoa mada hakuna unalo jua zaidi ya ujuaji usio faida usio kubali kujifunza na kutafakari

Wale wote wenye hekima na busara na wanao ielewa vyema elimu ,mwalimu na mwanafunzi na maisha yao kwa ujumla wamemuelewa vyema sana mtoa mada , lakin kwa watoto kama wewe wenye fikra za mihemko bila tafakari ni dhahiri watakuja na majibu kama yako,
Kama uliweza kusikiliza upande mmoja na ukauamini kwanini hutaki kuuamini upande mwingine ili upate scene kamili??? Ni hakimu gani anaye msikiliza mtuhumu pekee na kutoa adhabu pasipo kusikiliza upande wa mtuhumiwa?? USIWEHUKE,
Unaniuliza mimi? Kamwulize Ndalichako, mimi ninachojua ni kwamba Msigwa na mataahira wenzake hana chuo tena!!
 
Stupid thread na wewe ni mwalimu na huu ndio utetezi wenu pambaaaffff
 
Walimu wa Mbeya mpoo?? Poleni sana, mi nadhani kuanzia sasa huyu mwanafunzi afundishwe na jamii na wote wanaomtetea, kuanzia sasa mkiingia darasani huyu mwanafunzi muwe mnamtoa nje na wote wenye tabia kama yake nadhani hii kidogo itasaidia kuwapunguzia machungu.
 
kuna walimu Na wauaji,serikali iwafungulie mashtaka ya mauaji Na ugaidi wa kiwango cha juu
 
we jamaa pumba
NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE

Na Mathias Canal

Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde 38, ambayo tangu nilipoiona kabla ya kujua serikali itafanya maamuzi gani kwa Walimu waliofanya unyama huo mimi niliwatazama takribani watu hao watano wakiwa wanaonekana kumshambulia mvulana mmoja ambaye ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa ya Mbeya ambaye baadaye alianguka chini kwa kupigwa ngumi pamoja na mateke.

Hakika tangu jana nimekuwa nikihangaika kujua chanzo cha Walimu kuwa na hasira za aina hiyo kama Chui Mwenye njaa, Machache haya nimebaini.

KISA CHA KUPIGWA...!

Mwanafunzi huyo kabla ya kuonekana kwenye kanda hiyo alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzake wote ambao hawakufanya zoezi darasani.

Aliipohojiwa akamjibu vibaya mwalimu ambapo Mwalimu yule alitaka kumuadhibu kwa kumchapa viboko kama adhamu ya kuimarisha nidhamu yake.

Mwalimu alipojaribu kutaka kumchapa ghafla mwanafunzi huyo alirusha ngumi nzito ambayo ilituama kwenye mdomo wa Mwalimu huyo.

Baada ya kadhia hiyo ambayo haikumaliza hata sekunde moja walimu wengine walioshuhudia tukio hilo waliamua kumchukua mwanafunzi huyo ili kumpelekea ofisini huku Mwalimu aliyepigwa ngumi akiwa ameamua kurudi darasani kutuliza wanafunzi wengine ambao walitaka kufanya vurugu kwa sababu ya kukerwa na Matukio ya ubabe yanayofanywa na Mwanafunzi huyo na Alipoona wanafunzi hao wametulia alianza kurudi ofisini.

Baada ya Mwanafunzi huyo kufikishwa ofisini akaona Walimu wamebaki wawili tu aliwapiga ngumi kiasi kwamba Walimu hawakuwa na namna ya kumkabili.

Mwanafunzi huyo baada ya kuwamudu Walimu wale wawili Akaanza kutoka nje ya ofisi huku akiwa anakimbia yule mwalimu ambaye alipigwa ngumi ya mdomo na akaenda kuwatuliza wanafunzi darasani akamuona mwanafunzi huyo akiwa ametoka anakimbia ndio alipomuwahi kukawa na majibizano ya ngumi na mateke kidogo.

Mwalimu alifanikiwa kumudu majibizano ya kipigo na hatimaye akafanikiwa kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Kumbuka Walimu walikuwa na hasira za Kupigwa tena na mwanafunzi wao...! Na kubaki wakiwa wanaugulia maumivu.

TAARIFA NYINGINE MPENYEZO

Mwanafunzi huyu yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu hao baada ya kufanikiwa kummudu akiwa kwenye ofisi ya walimu ndio maana siku 11 toka tukio limetokea hakwenda kuripoti mahala popote, yaaani Hata nyumbani kwao hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe shule.

Achilia mbali hayo Mwanafunzi huyo alishawahi kuvunja TV ya baba yake nyumbani kwao kama wiki mbili zilizopita.

Pamoja na mambo yote hayo Wiki hili amekamatwa na walimu akiwa anavuta bangi shuleni na wenzake. baba yake mzazi hamtaki huyo Mwanafunzi lakini hana namna ya kumkabili.

MTAZAMO YAKINIFU

Serikali umefanya Kazi Mkubwa kwanza kubaini hiyo video imerekodiwa katika shule gani na Walimu hao ni kina nani, hakika ni jambo la kupongezwa sana lakini imesahau kwamba maamuzi yote yaliyofanyika dhidi ya Walimu yameshindwa kuzingatia chanzo Chake Bali imejikita kukabili matokeo, Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo lakini wakaenda mbali zaidi kwa kusema Samaki mkunje angali mbichi. Mwanafunzi huyu ni samaki aayetaka kukunjwa akiwa amekauka Kamwe haiwezekani.

Watanzania, Wanafunzi, jamii kwa ujumla itambue kuwa binafsi nimesikitishwa sana na kadhia hiyo iliyofanywa na walimu karibu wa tano kwa mujibu wa Video iliyosambaa mtaani tena imenikera mno mno lakini vyema zaidi kama tutajikita kuhangaika na chanzo cha tatizo ili kumaliza mzizi wake kuliko kukabili matokeo huku tukiacha mambo hayo yaendelee kukutikana mitaani.

Kuteleza si kuanguka lazima tukiri kwa pamoja kwamba hapo tumeteleza kabla hatujaanguka basi vyema tukatazama mahala pa Kushika ili kuhakikisha hatuanguki Tunapotoa maamuzi ni vyema sana tuangalie mambo kwa ujumla wake tusitazame tu wapi kumesisimua Jamii...?

Tutambue kuwa tukio hilo la Mbeya ni la wanafunzi wa Chuo kumchangia na kumpiga mwanafunzi wa shule ya kutwa ya Sekondari Mbeya tukiwaita Walimu maana yake tutajadili pia Chama Cha Walimu Mkoa wa Mbeya (CWT) kinafanya Kazi gani...?

Kuna mwandishi mmoja huwa anasema hawezi kuwa adui kwa kusema Ukweli nami sitarajii hilo.

Naaam, Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal (Sauti ya Wanyonge)
0756413465
Igunga-Tabora
sana,unamtetea uhalifu wakibinadamu,sasa hichi kimwalimu chako tunakipeleka ICC,maana inaonekana walimu mmejipanga kufanya uhalifu wa namba hii
 
Kwani ni wangapi wanapigwa na hamji juu kuongea??
 
Duh mitandao ya kijamii na nguvu zake, yetu macho walioshughulikiwa wameshughulikiwa majibizano ya nini,? Nadhani hii ndyo sababu ya jpm kuomba an Angel aje aifunge, watu wanapoteza muda huko baada ya kuzalisha duh
we umeandikaje nini,mbona una upeo mdogo kiasi hicho
 
Walimu wa Mbeya mpoo?? Poleni sana, mi nadhani kuanzia sasa huyu mwanafunzi afundishwe na jamii na wote wanaomtetea, kuanzia sasa mkiingia darasani huyu mwanafunzi muwe mnamtoa nje na wote wenye tabia kama yake nadhani hii kidogo itasaidia kuwapunguzia machungu.
Jamii tutawafundisha tena walimu fataani watakaojaribu kumtengs huyu talented kijana wa kunyoosha walimu wasiojitambua
 
NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE

Na Mathias Canal

Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde 38, ambayo tangu nilipoiona kabla ya kujua serikali itafanya maamuzi gani kwa Walimu waliofanya unyama huo mimi niliwatazama takribani watu hao watano wakiwa wanaonekana kumshambulia mvulana mmoja ambaye ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa ya Mbeya ambaye baadaye alianguka chini kwa kupigwa ngumi pamoja na mateke.

Hakika tangu jana nimekuwa nikihangaika kujua chanzo cha Walimu kuwa na hasira za aina hiyo kama Chui Mwenye njaa, Machache haya nimebaini.

KISA CHA KUPIGWA...!

Mwanafunzi huyo kabla ya kuonekana kwenye kanda hiyo alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzake wote ambao hawakufanya zoezi darasani.

Aliipohojiwa akamjibu vibaya mwalimu ambapo Mwalimu yule alitaka kumuadhibu kwa kumchapa viboko kama adhamu ya kuimarisha nidhamu yake.

Mwalimu alipojaribu kutaka kumchapa ghafla mwanafunzi huyo alirusha ngumi nzito ambayo ilituama kwenye mdomo wa Mwalimu huyo.

Baada ya kadhia hiyo ambayo haikumaliza hata sekunde moja walimu wengine walioshuhudia tukio hilo waliamua kumchukua mwanafunzi huyo ili kumpelekea ofisini huku Mwalimu aliyepigwa ngumi akiwa ameamua kurudi darasani kutuliza wanafunzi wengine ambao walitaka kufanya vurugu kwa sababu ya kukerwa na Matukio ya ubabe yanayofanywa na Mwanafunzi huyo na Alipoona wanafunzi hao wametulia alianza kurudi ofisini.

Baada ya Mwanafunzi huyo kufikishwa ofisini akaona Walimu wamebaki wawili tu aliwapiga ngumi kiasi kwamba Walimu hawakuwa na namna ya kumkabili.

Mwanafunzi huyo baada ya kuwamudu Walimu wale wawili Akaanza kutoka nje ya ofisi huku akiwa anakimbia yule mwalimu ambaye alipigwa ngumi ya mdomo na akaenda kuwatuliza wanafunzi darasani akamuona mwanafunzi huyo akiwa ametoka anakimbia ndio alipomuwahi kukawa na majibizano ya ngumi na mateke kidogo.

Mwalimu alifanikiwa kumudu majibizano ya kipigo na hatimaye akafanikiwa kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Kumbuka Walimu walikuwa na hasira za Kupigwa tena na mwanafunzi wao...! Na kubaki wakiwa wanaugulia maumivu.

TAARIFA NYINGINE MPENYEZO

Mwanafunzi huyu yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu hao baada ya kufanikiwa kummudu akiwa kwenye ofisi ya walimu ndio maana siku 11 toka tukio limetokea hakwenda kuripoti mahala popote, yaaani Hata nyumbani kwao hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe shule.

Achilia mbali hayo Mwanafunzi huyo alishawahi kuvunja TV ya baba yake nyumbani kwao kama wiki mbili zilizopita.

Pamoja na mambo yote hayo Wiki hili amekamatwa na walimu akiwa anavuta bangi shuleni na wenzake. baba yake mzazi hamtaki huyo Mwanafunzi lakini hana namna ya kumkabili.

MTAZAMO YAKINIFU

Serikali umefanya Kazi Mkubwa kwanza kubaini hiyo video imerekodiwa katika shule gani na Walimu hao ni kina nani, hakika ni jambo la kupongezwa sana lakini imesahau kwamba maamuzi yote yaliyofanyika dhidi ya Walimu yameshindwa kuzingatia chanzo Chake Bali imejikita kukabili matokeo, Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo lakini wakaenda mbali zaidi kwa kusema Samaki mkunje angali mbichi. Mwanafunzi huyu ni samaki aayetaka kukunjwa akiwa amekauka Kamwe haiwezekani.

Watanzania, Wanafunzi, jamii kwa ujumla itambue kuwa binafsi nimesikitishwa sana na kadhia hiyo iliyofanywa na walimu karibu wa tano kwa mujibu wa Video iliyosambaa mtaani tena imenikera mno mno lakini vyema zaidi kama tutajikita kuhangaika na chanzo cha tatizo ili kumaliza mzizi wake kuliko kukabili matokeo huku tukiacha mambo hayo yaendelee kukutikana mitaani.

Kuteleza si kuanguka lazima tukiri kwa pamoja kwamba hapo tumeteleza kabla hatujaanguka basi vyema tukatazama mahala pa Kushika ili kuhakikisha hatuanguki Tunapotoa maamuzi ni vyema sana tuangalie mambo kwa ujumla wake tusitazame tu wapi kumesisimua Jamii...?

Tutambue kuwa tukio hilo la Mbeya ni la wanafunzi wa Chuo kumchangia na kumpiga mwanafunzi wa shule ya kutwa ya Sekondari Mbeya tukiwaita Walimu maana yake tutajadili pia Chama Cha Walimu Mkoa wa Mbeya (CWT) kinafanya Kazi gani...?

Kuna mwandishi mmoja huwa anasema hawezi kuwa adui kwa kusema Ukweli nami sitarajii hilo.

Naaam, Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal (Sauti ya Wanyonge)
0756413465
Igunga-Tabora
Mtoa mada usitumie mihemko. Hakuna sababu yeyote ile ya ku-justify shambulio la mwili period. Jipange. Hoja iliopo mezani ni shambulio la mwili.....kwa walimu wa kweli na waliofunzwa wakafunzika wanajua fika hakuna somo wala mafunzo waliopitia juu ya kushambulia mwanafunzi au jaribio la kutaka kuua hakuna hiyo ...labda walimu wa mwendokasi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Msiwe na huruma za ajabu namna hiyo, kwanza ukiangalia wapigaji walikuwa selective sana jambo linaloonyesha weledi katika kutoa adhabu.
Walilenga kuyachapa mashavu/taya na wala sio kichwa ambacho kilikuwa wazi kabisa, hawakumpiga tumbo, wala hawakupiga chini ya mkanda! Ni mabegani na mashavuni tena kwa mkono uliofunguka sio ngumi!!!

Kijana alikua anaonywa kwa onyo elekezi iwe fundisho kwa wengine wanaoshuhudia.
 
TAARIFA NYINGINE MPENYEZO

Mwanafunzi huyu yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu hao baada ya kufanikiwa kummudu akiwa kwenye ofisi ya walimu ndio maana siku 11 toka tukio limetokea hakwenda kuripoti mahala popote, yaaani Hata nyumbani kwao hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe shule.

Achilia mbali hayo Mwanafunzi huyo alishawahi kuvunja TV ya baba yake nyumbani kwao kama wiki mbili zilizopita.

Pamoja na mambo yote hayo Wiki hili amekamatwa na walimu akiwa anavuta bangi shuleni na wenzake. baba yake mzazi hamtaki huyo Mwanafunzi lakini hana namna ya kumkabili.

Naaam, Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal (Sauti ya Wanyonge)
0756413465
Igunga-Tabora
Acha uzushi wewe... yaani unaongea maneno ya uzushi dhidi ya dogo ili kuhalalisha unyama wenu? Baba ake huyu hapa akihojiwa kuhusu huo uzushi wenu:

Aidha, akihojiwa na Gazeti la Mwananchi, maelezo ya baba mtu haya hapa:

Wazushi.png

Wazushi wakubwa nyinyi... yaani watu wazima hata aibu hamuoni... siku ya tatu leo mmekazana kueneza uzushi na kumchafua kijana mdogo ili kutetea udhalimu wenu? Hivi watu wakianza kuanika uovu wenu nyinyi hata hiyo thamani ndogo mliyonayo mtaendelea kuwa nayo?!

Mtazusha sana mwaka huu lakini wenye akili zao wanajua hakuna hoja yoyote mtakayotoa inayoweza kuhalalisha ule udhalimu bila kujali kama mnachosema ni kweli au si kweli!
 
Wafa maji wanaeneza uzushi kwamba kutokana na ununda dogo alifikia hadi kuvunja TV home kumbe hata nyumba wanayokaa yenyewe haina umeme...!! Au siku hizi kuna TV zinazotumia mafuta ya taa!!!
 
Back
Top Bottom