Kwa uelewa huo !!!!! Nikuache maana najishushia staha bure.Unaniuliza mimi? Kamwulize Ndalichako, mimi ninachojua ni kwamba Msigwa na mataahira wenzake hana chuo tena!!
Kwani nani ameridhia unyama huo??? Lakin pamoja na hilo kusikiliza kisa pia nayo ni busara na wala haita kutoa kwenye kuamini kile unacho aminu kuhusu kipigo hicho.Mtoa mada usitumie mihemko. Hakuna sababu yeyote ile ya ku-justify shambulio la mwili period. Jipange. Hoja iliopo mezani ni shambulio la mwili.....kwa walimu wa kweli na waliofunzwa wakafunzika wanajua fika hakuna somo wala mafunzo waliopitia juu ya kushambulia mwanafunzi au jaribio la kutaka kuua hakuna hiyo ...labda walimu wa mwendokasi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Watu wa Dar ni wa hovyo sana yaani mtu anapigwa kibao imekuwa habari ya mjini na kufunika ya scorpion kutoboa macho.ngoja waaje ..niliwaambia yule dogo hajapigwa kaaabisa hawa wadada wa daslama wanaleta unafki tu
Inawezekana tu, si kila afanyiaye kazi NMB ni meneja aisee.Mfanyakazi wa nmb anaishi nyumba haina umeme?
HahahahAAAA....Watu wa Dar ni wa hovyo sana yaani mtu anapigwa kibao imekuwa habari ya mjini na kufunika ya scorpion kutoboa macho.
Afisa wa Bank anakaa nyumba ambayo haina umeme...tafakali vizurWafa maji wanaeneza uzushi kwamba kutokana na ununda dogo alifikia hadi kuvunja TV home kumbe hata nyumba wanayokaa yenyewe haina umeme...!! Au siku hizi kuna TV zinazotumia mafuta ya taa!!!
Eti ameonewa kuonywa!Hii nchi wanaume tumebaki wachache sana yaani vibao vile kwa mwanafunzi watoto wa kiume wanapiga kelele[emoji15] [emoji15]
Oh.. kwa sababu mimi ni mwanaume wa Daslam, siyo?Kutandikwa kwako hakuhalalishi mwingine atandikwe.
najua unataka kuonyesha kua wale walimu wamekosea,umshinda kwa hilo lkn kubali kua adhabu alioipata huyo dogo hata km walimu walikua watano c kubwa. na unaelewa wanafunzi wabishi ndio siku zote hupigwa hivohivo sehemu zote tz,totauti ni wingi wa walimu tu. kwani wkt wa kuadhibiwa alikua peke ake?!! mbona wanafunzi wenzie waliokua na adhbu km yake hawajafanyiwa vile?!! usitetee walimu lkn usitetee watoto watukutu km huyo. adhabu alioipata ni ndogo na tuache zogo na kupretand.Mkuu kupigwa kwenyewe tulipigwa lakini siyo kwa magumi na kukandamizwa chini kama jirani yangu Abdallah anachinja mbuzi aisee!!! Ulimwona mwalimu tarajali Msigwa alivyokuwa analibana lile bega la kijana ili kichwa kiwe wazi? Mimi nakumbuka nilikamatwa nimetoroka school baraza nikaenda mjini, wakati narudi nikakutana na second master nilipigwa mpaka nikapoteza hesabu ya viboko, maana mwanzo nilikuwa na ujasiri wa kuhesabu kimoyomoyo eti 1,2,3,4,5,.........50, 51, baada ya kisago kuzidi mpaka hesabu ikapotea kichwani. Sasa Msigwa anapiga ngumi kuchwani??? Hebu tuache utetezi mfu jamani!!
Kama unajua kusoma vizuri, amesema kwenye hiyo nyumba ujenzi bado unaendelea... sasa kinachokushangaza nini nyumba kutokuwa na umeme wakati ujenzi unaendelea?!Afisa wa Bank anakaa nyumba ambayo haina umeme...tafakali vizur
Jamaa kamkamata mgoni wake akamla kiboga. Baada ya hapo akasambaza picha kalamba jela maisha. Tafakari naujuwe nikweli umekosea ila hupaswi kuvunja sheria.
Kwenye sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, pamoja na mengine; yapo ya aina mbiili ambayo moja wapo linaweza kuingia tukio la wale jamaa dhidi ya mwanafunzi! Aina ya kwanza, ni shambulio la kawaida na aina ya pili ni shambulio linalosababisha madhara ya mwili. Kwa maoni yako, shambulio lile linaingia wapi kati ya hayo mawili?!mkuu mfano wako ni sawa lakn ilichukua muda kuadhibiwa huyo jamaa japo ushahidi ulikuwa wazi. hili la mwanafunzi adhabu ilitolewa kwa mihemko. ilitakiwa iundwe tume kuchunguza. mm nilivyoona ile video nilijua kuna kisababishi si bure. lets be fair, ile hukumu kwa walimu sio sahihi, labda kwa hizi picha zilizoletwa badae kuwa ni mwanaM4C ndio zitagongelea msumari kwn jeneza la hukumu hiyo
Kufa ni kitu kingine!hapa hatuongelei "Kama"hapa tunaongelea tukio la kuopigwa mwanafunzi na mwalimu wake!watu mnavyowatetea hao waliompiga what if angekufa uyo mwanafunzi?? maana sikuiz tunatembea tumeoza