Ukweli kuhusu samaki mtu "mermaid"

Varbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,117
856
Guys nimekua nikisikia habari za samaki mtu tokea nikiwa mdogo nikawa interested kujua ukweli, nimefatilia lkn jibu sahihi kama duniani kuna kiumbe wa aina hio bado ni utata mtupu.. Naomba tujadiliane kidogo je kuna ukweli wowote au ni porojo tu
 
Back
Top Bottom