Ukweli kuhusu Pyramids

Umeongea facts tupu.. Shida ni waafrika wengi wamejazwa akili za kizungu kupitia movie
 
Biblia imeruhusu utumwa na Pia Quran imeruhusu utumwa.. Hivyo vitabu ni vimejaa uongo
 
Watu ww zamani walikuwa na MAUMBO MAKUBWA.warefu na wenye nguvu .sio kama wa sasa..
Unaambiwa adam alikuwa na urefu wa nguzo mbili za umeme uziunganishe pamoja ndo urefu wake
Watu wa zanani walikua na maumbo madogo mzee baba
 
Hayo machimbo huamini kama waafrika waliweza. Unajua wapare walikua wanaujuzi WA stainless steel mjerumani akawaua wahunzi wote
 
Quran ni kitabu cha uongo tuu.. Kwanzaa hamna record yoyote ya mtu anaitwa musa kwenye historia ya kemet, then kipindi yanajengwa hata yehova hajaongea na Abraham au allah hâta hajakuwepo
 
Quran ni kitabu cha uongo tuu.. Kwanzaa hamna record yoyote ya mtu anaitwa musa kwenye historia ya kemet, then kipindi yanajengwa hata yehova hajaongea na Abraham au allah hâta hajakuwepo
Kwa mtizamo na elimu uliyonayo upo sawa. Kwa elimu niliyonayo mimi, na vitabu mbalimbali nilivyofanikiwa kuvisoma na mpangilio wa hoja maandishi na ujumbe unaotolewa, sina shaka Quran na hata Biblia si vitabu vya uongo. Ni ufunuo kweli kutoka kwa somebody from somewhere with power, knowledge, wisdom and capability beyond human horizon. Ila kuna mfumo wa kihesabu unaotofautisha baina ya hivyo vitabu viwili. Lakini sina hofu na ujumbe unaotolewa.
 
inasemekana mawe yale hayakuwa ya eneo lile kwa sabab sio eneo la miamba, inaonekana yaliletwa site. Unazungumziaje hilo mkuu
 
Hayo machimbo huamini kama waafrika waliweza. Unajua wapare walikua wanaujuzi WA stainless steel mjerumani akawaua wahunzi wote
mkuu ielewe logic yangu sijakataa kama yalichimbwa na Africans ila namaanisha wakati wa ancient civilization inaanza kuwepo duniani miaka mingi iliyopita hao annunaki ndio waliokuja kufawafundisha binadamu kuhusu ustaarabu yaani binadamu akafundishwa elimu ya nyota,ujenzi,madini,sanaa nk
Kabla ya hao annunaki hawajaja binadamu tulikua primates yaani watu pori tukiishi mapangoni tu hatuna ustaarabu hao viumbe walimbadilisha binadamu na kua classic akaanza kujitambua na ndipo zikazaliwa himaya kubwa kama Assyrian, misri,Aztec, Babylon,Maya,Indonesia na nyingine nyingi na mbaka Leo ukienda huko utaona huo utamaduni na magofu ya kale zaidi yanayofanana maana pyramid hazipo misri tu hata mexico na Indonesia zipo
Pia kuna watafiti walichunguza na kugundua bara la Antarctica lenye barafu Kali nako kuna majengo ya pyramid sasa kwanini hayo madude yafanane kote huko ndo swala la hao annunaki ndio linakuja kua ndo waanzilishi wa ustaarabu duniani hapo kale!
 
inasemekana mawe yale hayakuwa ya eneo lile kwa sabab sio eneo la miamba, inaonekana yaliletwa site. Unazungumziaje hilo mkuu
Hakuna ushaidi kama yaliletwa mkuu, "inasemakana" bado ni dhana tu isiyo na ushaidi wowote mkuu!

Na kama waliyajenga?! Nipe ushaidi au mantiki waliyaletaje hapo hayo mawe yenye tani 2500?! Na waliyatoa wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…