kookaburra
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 562
- 1,420
Hapana. Niliwahi kusikiliza documentary youtube inasema hivyo. The Great Pyramids at GizaWewe ni mtaalamu wa earthquakes?
Hahahaha...hapa nimekuelewa unajua kuna mdau mmoja alisema imeanza kujengwa juu..sasa nikawa sipati picha vizur juu kivipi! ila umenipa maarifa sasaPyramid..well.
Kuna nguvu ilitumika kuinua hayo mawe juu na kuyapanga. Ni hisabati za ulimwengu na taaluma za kijadi za siri. Kuna sehemu watu waliangusha ukuta tu kwa kutumia baragumu..(kama kupuliza vuvuzela tu) na ngome/ukuta ulianguka watu wakapita.
Ni hesabu tu, kuna free energy nyingi tu zimetuzunguka kila pande kila mahali. Ni namna ya kuzitumia tu ndio hesabu zilipo. Pyramid pia zilijengwa kwa kutegemea sound and wave energy. Zilipigwa ngoma sana hapo mawe yakawa yananyanyyka tu.
Pyramid kitu muhimu kabisa ni lile jiwe la juu kabisa. Ile top, kama kofia. Ile ndio jiwe kuu. Ndio limeshikilia balance ya pyramid yote. Ndio maana wengine wanasema ilianza kujengwa juu! Ndio jiwe kuu lile. Pembe zote na kuta zote za pyramids balance yake iko juu pale. Ukitoa juu pale pyramids itabomoka. Hesabu yote ya ujenzi iko pale. Ni kama utatu ukitazama picha ya pyramid. Kushoto, kulia na juu. Pale juu ndio pameshikilia kila kitu. Nguvu zote zimeunganishiwa pale.
Sasa ndio maana kuna alama zenye pembe tatu nyingi tu za vyama mbali mbali na cult symbols za namna hiyo. Na hata nyingine ile pyramid imewekewa jicho pale juu. Kwamba ndio watchers of every corner and angle. Kuona vyote na visivyoonekana.
Ndio wajenzi huru hao. Muunganiko wa nguvu zote unazojua kuzichanganya na kuzitiisha kuwa kitu kimoja. Hata wenye imani nyeusi au nyeupe kadri wanavyo practice na kuzama ndani zaidi ndio wanajikuta wanakaribia kwenye ncha hii ya pyramid.....hivyo...niishie hapa...
Kuna bosi wangu mmoja alikua mmisri nae hajui licha ya kutoka hapo hapo mji wa GIZA!! Nao hawajui..labda mafarao wangekuwepo labda wangetupa elimu hiyoKwani waimisri wao wanasemaje?
kuna mmisri mmoja kanambia jamaa walikata gravitational force!! kwamba waliojenga hizo walikua wanahesabu kali!! Alafu mkuu unajua egypt ni wataalamu wa hesabu tangu kalehata mimi sijamuelewa kwa hiyo walianza kupauwa badala ya msingi je hayo mawe ya juu force ya GRAVITATIONAL ilikuwa, usingizini?
Vipi kuhusu exploring ya wazungu Africa ambayo imetokea hivi karibuni tu miaka mingi baadae baada ya Yesu kuzaliwa, Je walipataje hyo civilization kiasi cha kumzidi muafrica aliefundishwa hyo civilization? Historia inaonesha mrumi alianza kujitambua kitambo sana nae alikuwa na annunaki. Halafu kwann nisiamini bible yenye nguvu zaidi na uvumbuzi wa mambo mengi zaidi yaliyojificha ya dunia nikaabudu wamali na maandishi yao. Ukipata nafasi soma bible hata agano jipya tu ujue binadamu wa kweli alikuwaje na true civilized person ni nani? Jesus as person ndiye truly civilised person to ever lived in the world.uwe unakubali kujifunza mkuu ubishi mwingine hauna faida,nenda Mali kuna kabila linaitwa Dogon wao wametunza historia kuhusu accient civilization wanakwambia Annunaki toka sayari ya Sirius B walikuja duniani na wakawapatia binadamu ujuzi na elimu kubwa ya nyota,uhandisi,uchimbaji madini na sanaa,
Huo ndo ukawa mwanzo wa binadamu kujua ustaarabu na ndio hapo tawala nyingi kama Assyrian, misri,kush,Aztec,Maya,Indonesia zikaibuka na ukienda hizo nchi utakuta ustaarabu wao na ujenzi zilifanana,
Kabla hao viumbe hawajaja duniani binadamu tulikua primitive a.k.a wapori pori tu!
Kwamba waliyeyusha mawe na kujenga kama tujengavyo lenta!?Mi naamini hayo ma-pyramids yamejengwa na wanadamu, tena wanadamu wa kawaida kabisa,
Maana wanefili (majitu) waliangamizwa na waisrael kule caanan, japo zilibakia mbegu chache sana kama yule Goliath mfilisti .
Nani waliojenga na kwanini walijenga?!
Bila shaka pyramids zilijengwa na wamisri (wakale) au waisrael (watumwa wao) kwa kufuatisha elimu na ufundi wa hali ya juu waliokuwa nao enzi hizo!
Walijengaje?!
Mimi naamini sikweli kwamba eti walibeba tofali moja ambalo lina uzito wa tani 2500, bali inawezekana pia hao watu waliojenga enzi hizo walijenga hayo matofali huko huko juu,
Yaani walijenga tofali juu ya tofali lingine wakiyaacha mpaka yakauke, kama vile tunavyojenga linta ya nyumba! Walienda kwa mtindo huo mpaka kumaliza pyramid zima wakifuatisha mahesabu yao na ufundi wao.
Maana tukikazania na kung'ang'ania kwamba eti walibeba tofali la tani 2500 haileti sense, hawakuwa na mitambo (winchi) wala vifaa vya kubebea, wala hawakuwa na nguvu za kuyabeba physical hayo matofali,
Bali kuna uwezekano kuwa yalijengewa huko huko juu kama tunavyojenga linta za nyumba, hilo pia linawezekana, kwanini lisiwezekane??????!!!!!
Ndio hyo hyo..hakuna sayar isiyokua nayo...any space body lazima iwe na hyo force...znatofautina nguvu tuu..nyingne ni 9.8,....nyingne ni 6.2 ....nyingne ni 98.6 et etc....bila hyo force hakuna sayar hapoGravitation force
aisee wewe jamaa nimegundua unaendeshwa na hisia za kidini kuliko uhalisiaVipi kuhusu exploring ya wazungu Africa ambayo imetokea hivi karibuni tu miaka mingi baadae baada ya Yesu kuzaliwa, Je walipataje hyo civilization kiasi cha kumzidi muafrica aliefundishwa hyo civilization? Historia inaonesha mrumi alianza kujitambua kitambo sana nae alikuwa na annunaki. Halafu kwann nisiamini bible yenye nguvu zaidi na uvumbuzi wa mambo mengi zaidi yaliyojificha ya dunia nikaabudu wamali na maandishi yao. Ukipata nafasi soma bible hata agano jipya tu ujue binadamu wa kweli alikuwaje na true civilized person ni nani? Jesus as person ndiye truly civilised person to ever lived in the world.
Sio kuyeyusha na kuyabeba mkuu,Kwamba waliyeyusha mawe na kujenga kama tujengavyo lenta!?
Hicho unachokisema wewe ndio kigumu zaidi ya kubeba hizo tons za tofali.
Pyramids mawe yake yamepangwa tu, sio labda kuna cement iliotumika ets.
Haha chai. Mnara wa babeli ulijengwa uligusa mawingu tafuta jengo refu zaidi duniani sahv afu angalia linafika wapi?
Kujenga International Space Station maajabu ×10000 kushinda hizo Pyramid ila kKinachozungumziwa ni Timeline kwamba katika kipindi hiko technology hiyo waliitoa wapi ingekuwa imejengwa sasahivi ingekuwa ushuzi tu.Halafu shida binadamu tunaishi kwa mazoea sana hivi Sayansi kwasababu tunasoma darasani basi haya mambo ni ya kawaida. Hv kweli kujenga hizo pyramid na kupeleka vyombo mwezini kuna tofautiana maajabu hapo?
Hayo majina ya kigirki yanafuata nini hapo hayo makaburi Yana umri mkubwa kuliko mungu wewote wa kiarabu au kiyahudiHAYA NDIYO MAPIRAMIDI YA GIZA,LA UPANDE WA KUSHOTO LINAITWA MYKERINOS, KATIKATI KHEFREN NA KULIA NI CHEOPS
View attachment 1726350
Piramidi za giza ni kati ya majengo yanayojukana zaidi duniani, Yapo kando kando ya bonde la mto Nile karibu na mji wa Giza,takribani kilometa 15 kutoka Kairo katika Misri.
Piramidi hizi ni mabaki ya eneo kubwa la makaburi ya enzi za Misri ya Kale.Wafalme na maafisa wa juu walizikwa hapa.
Mapiramidi 3 makubwa yamepewa majina kufuatana na mafarao au Wafalme wa Misri waliozikwa ndani yao,Mapiramidi hayo ni Cheops, Khefren na Mykerinons
Uti wa mgongo wa nchi ya Misri ulikuwa ni mto nile. Sehemu kubwa ya nchi ni jangwa lakini umwagiliaji wa mashamba kwa njia ya maji ya mto,utaratibu ambao ulileta mazao mazuri yaliolisha watu wengi. Mahitaji ya kupanga na kutunza mifereji pamoja na mitambo ya umwagiliaji,na kusimamia ugawaji wa maji yaliyosababisha kutokea kwa vyanzo vya Hisabati na Mwandiko. Mwandiko wa Misri ulikuwa hiroglifi ulikuwa ni mwandiko uliokuwa kwenye mfumo wa picha
Cc. Shadow7
Aisee!Hayo majina ya kigirki yanafuata nini hapo hayo makaburi Yana umri mkubwa kuliko mungu wewote wa kiarabu au kiyahudi
Huamini Ibrahim kipindi anaongea na yehova pyramid zilikua zimeshaishaAisee!
its a deep history!Habari wana JF ni muda mtefu sijashiriki nanyi Ila nimerudi na suala linalo sumbua dunia kuhusu pyramids zilizoko Egypt zilijengwa na nani? Mwaka gani? Na kwasababu gani?
BAADHI YA WATU WASEMAVYO:
1. Pyramids zilijengwa na viumbe kutoka anga za juu, ambao waliwahi kuja duniani miaka 5,000 iliyopita na kuishi Mashariki ya Kati.
Mapiramidi hayo yalitumika kama mnara wa kuongozea ndege zao kuona wapi Mashariki ya Kati ilipo, wakati zikishuka kutoka anga za juu.
Viumbe hao maarufu kwa jina la Annunaki walikuja duniani na kugundua kuna madini mengi ya dhahabu na kuanza kuchimba kisha kusafi kwenda kwenye sayari yao iitwayo Nibiru.
Maana ya 'Annunaki' ni walioshuka kutoka juu, na 'Nibiru' ni sayari ipitayo yaani Crossing Planet.
Mapango yote yaliyopo duniani, ikiwemo yale ya Amboni mkoani Tanga waliyachimba wao hao Annunaki.
Baada ya viumbe hao Annunaki kuondoka kurejea kwao Nibiru, ndipo Wafalme wa Misri waliamu kuyatumia kama makaburi ya wao kuhifadhiwa humo.
Ujenzi wa pyramids ulifanyika kwa ufundi na ustadi mkubwa, kiasi kwamba mpaka sasa hakuna mtambo wa kuweza kupandisha au kunyanyua mawe yaliyotumika kujenga.
Mfano, jiwe moja lina uzito wa tani 2,500 sawa na kilo 2,500,000.
Yalijengwa kwa kuoanishwa au kuwa sanjari na yota za orion ambazo zimejipanga huko anga za juu.
View attachment 1726340
2. Ujenzi wa Pyramids ulifanyika kwa ustadi wa kulinganishwa na nyota za Orions, kama hivi.
View attachment 1726341
3. Michoro ya Pyramids sanjari na nyota za Orions. Je, mfalme au mhandisi gani wa dunia angeweza kujenga Pyramids kwa ueledi uliotumika enzi hizo?
View attachment 1726342
4. wengine wanasema hayo ni makaburi ya watawala wa zamani wa Misri yaan mafarao so kwa sasa yamebaki Kama kumbukumbu Na ni moja Kati ya vivutio vvikubwa huko Egypt hasa katika masuala ya dini.
Je,, UKWELI ni UPI juu ya hizi pyramids na ujenzi wake na Kazi yake ...?
Naomba kuwasilisha wakuu
Kitabu gani hichoHuamini Ibrahim kipindi anaongea na yehova pyramid zilikua zimeshaisha
Mawazo yako ndiyo matunda ya historia iliyochakachuliwa na maandiko ya kwenye vitabu vya imani.Lete vithibitisho kuwa hyo nd haijachakachuliwa? Halafu mtu unacriticise bible imeongea neno gani baya ambalo limeiathiri dunia? Kuwaambia watu wasiibe, wasiue, wasizini, wasiseme uongo, wapendane, wamuabudu Mungu mmoja, waheshimu baba na mama, shika sababato, usiabudu sanamu na mengine mazuri mengi uje uipe dosari kisa tu imesema kuwa pyramids walijenga waisrael chini ya utawala wa misri walipokuwa utumwani. Yani kweli binadamu Mungu atachoma aisee yani sidhani kama kutakuwa na msamaha mwepesi hivi. Halafu unakuja na mipaka waliokuchorea hao hao wazungu unataja nchi ambazo zinapakana na Misri hyo hyo. Je unajuaje kama kabla ya mkutano wa berlin ilkuwa nchi moja? Sorry kama nimeongea kwa uchungu sana na Mungu atusaidie sana tuje tuokoke huko mbinguni.
Ndiyo umegunduliwa na wazungu unachobisha nini sasa? Kwani kuna mtu kasema wametengeneza wazungu? Kwani we ukisikia mtu kagundua chimbo la nguo kariakoo anakuwa nd mwenye hilo chimbo? Bila mzungu inaezekana hata huo mlima klm usingekuja kuusikia sasa mi nauona na sijawahi fika mkoa wa klm den mzungu kagundua ndiyo. Yani kauli yako inashangaza sana hata waliogundua kuwa kuna sayari ya mars haimaanishi wameumba wao au waliogundua simu ulizoshika haimaanishi material wameumba wao. Turudi kwenye dini hapo mababu zetu walikuwa wachawi Je sifa ya mchawi ni nini kama sio moja wapo kuua? Halafu na bible imeeleza wazi kuhusu hao mababu kuwa wataponywa kwa kuwa hawakuyajua maandiko ila sio sisi tuliooneshwa na ishara zote.Mawazo yako ndiyo matunda ya historia iliyochakachuliwa na maandiko ya kwenye vitabu vya imani.
Jiulize kabla ya imani za kigeni kuja kwetu, inamaana Babu zetu walikuwa wanaruhusu kuua, kuiba, kusema uongo na dhambi zingine zingine? Sio kweli, Babu zetu walikuwa well civilized sema wanaotaka kukutawala kifikra lazima waharibu historia yako nzuri na kukuhadaa na historia mbaya.
Nyie ndio bado mnaamini mlima kilimanjaro umegunduliwa na wazungu.