Ukweli kuhusu picha za ponografia na video zake!

Ukweli kuhusu picha za ponografia na video zake!

huko ni US mi ntakubaliana nawe endapo utaweza za Tanzania
 
sasa ndugu utafanya nini...??
If u cant beat it, join it..
 
Boarding. Boys kama hyo kitu hamna basi maisha hayaendi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

umenikumbusha mbali mkuu nakumbuka boda kila tukifunga town ndo mpango mzima kucheki blue maana cm au pc hazikuwa common, kuna jamaa alikua mlokole sana cku moja nae akaenda. Mkanda ukawekwa pause raia wakamchachamali atoke akasepa akiwa na kichupa chake.
 
nilikuwa naangalia nilipokuwa chuoni, baada ya kuwa mtu mzima nikaacha. Huwa napata aibu sana kutazama

mimi sijawahi ona za kitanzania,au hazipo au kama zipo nitazipata vipi????? Nia yangu ni kulinganisha machejo-nataka kuona kama wabongo wanalipa au blah blaa tu
 
Na ina majina mengi.....chuoni tulikuwa tuiita....madude, mizigo, kazi, picha za usiku, hiden files, kazi kubwa, live big brother nk....pilau, wali mweusi
 
na hizo ni roho zimeachiliwa kwa ajili ya kuangamiza vijana!
Shetani yupo kazini, 'he don mis opportunity'
...acheni kuangalia,maana huo ndo mmwanzowa kujichua! Mungu awasaidie
 
Asante kwa kutujuza, Mungu atusaidie tusiwe mateka wa ponografia
 
Back
Top Bottom