Ukweli kuhusu picha za ponografia na video zake!

Ukweli kuhusu picha za ponografia na video zake!

hujakosea haswaaaaaaaa ndivyo ilivyo gazeti la AMKENI walionaje lakini weye my mdog umelisoma kwa kina?

nisome kwa kina wapi dada angu,ila nililihifadhi sehem nadhani itabidi nilipitie........
 
mkali wao am really happy for you,kwanza kwa kusoma hilo jarida na kuwaambia wengine umefanya jambo zuri sana endelea hivyo kwani kwa kkufanya hviyo hata MUNGU anafurahia bravoooo!!!!!!ila jambo zuri hata zaidi ambalo Mungu angefuurahia hata mara durfu ni kuyatumia yale mabo uliyoyasoma kwenye maisha yako ya kila siku yaani namaanisha kama ulikuwa na tabia hiyo labda uiache na ikiwa huna nivyema kujiepusha kabisa na picha hzo,be blessed mkali wao and i wish u the best in fighting for what is right and make God happy and running from what is bad to ashame satan,METHALI 27:11 "MWANANGU KUWA NA HEKIMA NIWEZE KUMJIBU YULE ANYENIDHIHAKI{SHETANI}MUNGU KASEMA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom