SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
- Thread starter
- #61
Asante kwa kutujuza, Mungu atusaidie tusiwe mateka wa ponografia
ameeen
Asante kwa kutujuza, Mungu atusaidie tusiwe mateka wa ponografia
huko ni US mi ntakubaliana nawe endapo utaweza za Tanzania
nilikuwa naangalia nilipokuwa chuoni, baada ya kuwa mtu mzima nikaacha. huwa napata aibu sana kutazama
sasa ndugu utafanya nini...??
If u cant beat it, join it..
hee unapata aibu wakati uko peke yako!? Sema tu huzipend kwasababu nyngne na co aibu
mkali wao am really happy for you,kwanza kwa kusoma hilo jarida na kuwaambia wengine umefanya jambo zuri sana endelea hivyo kwani kwa kkufanya hviyo hata MUNGU anafurahia bravoooo!!!!!!ila jambo zuri hata zaidi ambalo Mungu angefuurahia hata mara durfu ni kuyatumia yale mabo uliyoyasoma kwenye maisha yako ya kila siku yaani namaanisha kama ulikuwa na tabia hiyo labda uiache na ikiwa huna nivyema kujiepusha kabisa na picha hzo,be blessed mkali wao and i wish u the best in fighting for what is right and make God happy and running from what is bad to ashame satan,METHALI 27:11 "MWANANGU KUWA NA HEKIMA NIWEZE KUMJIBU YULE ANYENIDHIHAKI{SHETANI}MUNGU KASEMA.
hicho kitendo si vizuri kushuhudia mwenzako akiwa anakiperform live
mungu akubariki.