SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Ukweli kuhusu picha za Ponografia na video zake
1: kila sekunde Karibia watu 30,000 hutazama ponografia kwenye intaneti.
2: kila dakika Watumiaji wa intaneti hutuma zaidi ya barua pepe MILIONI 1.7 za ponografia
3: kila saa Angalau sinema MBILI za ponografia mbaya sana hutengenezwa nchini Marekani
4: kila siku Kwa wastani sinema MILIONI MBILI za ponografia hukodishwa nchini Marekani
5: kila mwezi Nchini marekani, karibu vijana wa kiume 9 kati ya 10 na wa kike 3 kati ya 10 hutazama ponografia
6: kila mwaka Ulimwenguni pote biashara ya ponografia hupata faida ya dola za Marekani bilioni 100
"Viueni viungo vya mwili wenu kwa habari ya uasherati, uchafu, hamu ya ngono, tamaa yenye madhara, na kutamani, ambako ni ibada ya sanamu" {Wakolosai 3:5}
Mungu anachukia ponografia. Hilo halimaanishi kwamba anachukia mambo ya ngono. Ndiye aliyeumba uwezo wetu wa kingono na
kukusudia mume na mke wautumie kufurahishana, kukaribiana kihisia, na kushirikiana kuzaa watoto {Yakobo 1:17}
Kwanini Mungu anachukia sana Ponografia?
Anajua ponografia inaweza kuharibu maisha ya watu {Waefeso 4:17:19}
Anatupenda anataka kutulinda tusipate madhara {Isaya 48:17:18}
Mungu anataka kulinda ndoa zetu na familia zetu {Mathayo 19:4:6}
Anataka tuheshimu uwezo wetu wa ngono na kuutumia kwa njia ya kueshimika {Waebrania 13:4}