Habari wanajukwaa,
Ninapenda kufahamu endapo kipengere kinachompa haki mtumishi mpya kupata pesa ya kusafiria katika utumishi wa umma kimeondolewa? i.e transport allowance on first appointment.
Mana hapa ofisini kwetu watumishi wapya (Assistant Lecturers) tunazungushwa kwamba hiyo standing order ilifutwa, japo katika stending order ya 2009 hio haki ipo na maofisi mengine ya umma wanalipa.
Naomba anayejua kuhusu hili anisaidie.
Asante.