Ukweli kuhusu ndege za Serikali

Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Hakuna huduma isiyo na gharama. Kinachozungumziwa hapa ni mrejesho endelevu yanayogusa wananchi kutokana na uwekezaji wa kwenye ndege hizo.
Bahati nzuri tunaomjua Meko somo la vipaumbele limefunikwa na kujimwabafy.
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Aisse! kweli ilitakiwa iwe ELIMU, yaani kumbe ndege zinatoa huduma?????sasa mbona mnasema shirika limeingiza faida????! kalagabaho! kama nyie ndio washauri wake ana haki ya kuogopa moshi.
 
Mkulu alisema dereva akiwa anaendesha gari anatakiwa aangalie mbele sio kusikiliza abiria wakamponza aangushe gari
 
Wewe Bw.Mselewa unaamini kabisa investment kama hiyo inaweza kuwa na payback period ya miaka 3??Kama unakubaliana na huo ujumbe basi naanza kuwa na wasi wasi na wewe.Kuna investment zinachukua miaka 15 hadi 20 nk kubreak even.Acheni siasa hapa
Wapi nilipokubali? Nilichokataa ni kuwa ndege za ATCL si za huduma, ila ziko kibiashara. Usiniingizie maneno mdomoni Mkuu. Soma nilichoandika kama mchango wangu wa wazi. Hayo mambo ya uwekezaji na miaka yake ni maneno yako
 
Kwamba kujenga lami kilomita moja ni shilingi bilioni moja???unaifahamu kweli bilioni moja wewe???sidhani kama humo kichwani kwako kuna kilichobaki cha maana.
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?

Una elewa maana ya Neno Huduma ?
 
Wapi wananchi wanafurahia acha uongo ww
mimi ni cdm kwa hili tuwe wakweli nimepitia comment nyingi kwenye post ya tundu lisu nimeona wanaompinga niwengi vyombo vya habari vimechangia sana vimekuwa vinatoa tu habari za ccm na rais wao
 
Uelewa mdogo ndege ni tatizo,duniani kote ndege hazikuwahi kuwalipa,kama ilivo leo unapotaka kuanzisha biashara ya bus ni kichaa biashara ya bus haiwezi kukuacha salama isipo kua utapata sifa kubwa na jina.waache waendelee kusifia ujinga.
Kwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.
 
Its a national cariel hivi wakati wapinzani walisema watafufua airtanzania walikiwa sawa ama walikuwa wanakosea. Hivi kuja anye kuki akinya bata kachafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…