Nani mtoto? Wewe ni mtu mzima hovyo,hujui lolote, umebakia kushabikia mtu mbumbumbu anayelizamisha taifa, nenda Darasani kasome principles za Uchumi ,kazi ya Serikali ni Kukusanya kodi tu na siyo kufanya Biashara.Kuwa na heshima wewe,usidhani upo na watoto wenzako tu humu
Mungu ndio alisema serkali isifanye biashara?
Nani huyo huyo aliyeshiriki kutengeneza ilani ya uchaguzi yao ya 2015 sasa hapo ndio utakuja kujua kuwa ni vinyonga hawa akasome ukurasa wa 53 wa Ilani ya uchaguzi ya 2015, tumuonee huruma nadhni kichwa chake kina shida .Hivi wanasiasa wetu ni watu wa namna gani?
Kwenye manifest ya CDM kuelekea uchaguzi 2015 walizungumzia azma ya serikali itakayoundwa na CDM kufufua shirika la ATC kwa kununua ndege mpya.
Leo hii wakubwa hao hao wanabeza utekelezaji wa suala hilo hilo na JPM. Halafu ni hao hao pia walipinga sana serikali kuzuia makenikia na wakitahadharisha kuwa TZ inawekushtakiwa na mashirika hayo ya kimataifa na mwishowe itabidi mlipa kodi ndiyo abebe mzigo huo. Leo matokeo yake wote tumeyaona. Sasa tumuamini nani?? Wale ambao kila kitu wanaponda au wale ambao hutekeleza kwa vitendo.?
Nadhani ifike wakati wanasiasa watafakari hayo wanayotuambia kwani inafika wakati wanajidhalilisha ni bora watafute mada nyingine za kutudanganya..
Vyombo vya habari haviko huru ku report ukweliTuanzie na hilo la akina mama wajawaziyo kulala chini ni hospitali gani hapa tanzania with vivid example?
2026 kuna watu watakwenda segerea tu pindi CAG akiingia kwenye ununuzi wa Ndege kwa cashKuna kitu watu hamjui ni kua magu anapiga cha juu kwenye madili karibia yote ya serikali siku hizi, ni ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia maana mnamuona ndugu yenu kama malaika kua hawezi fanya kitu kama hicho.
Hakukua na haja ya kununua ndege hizi kwa cash, tena kwa fujo ndege 11. Kafunga mashirika ya ndege mengine kama fastjet siku hizi kila mtu anapanda ATCL, ila cha kushangaza pamoja na yote hayo kuingiza 30Bil peke yake miaka yote hiyo inamaanisha hadi hiyo hela ije kurudi ni miaka zaidi ya 70. Hapo ni vizazi vingi vimepita.
Sasa tuacheni kugombana na kutukanana tujaribu kufikiria, kitu ambacho return yake ni 70 years (assuming tutaendelea hivi) hiyo hela si bora ingewekwa kwenye elimu na vitu vingine vya muhimu kama healthcare? Au kama tuna shida sana na ndege basi tungenunua angalau haat 5 mwisho, kuagiza ndege 11 kwa cash huku nchi yenyewe maskini na sehemu nyingine zote hazijadevelop ni kitu cha ajabu. Huo utalii mnaosema tunakuza tusijidanganye hata watanzania tu wataruka na Emirates, Qatar au mashirika mengine ambayo yana competitive prices, hakuna mtu atapanda ATCL bei za kijinga kwa sababu tu ya uzalendo, the market always win.
Ukweli hizo hela kwenye ndege zimetupwa tu, hizo ndege subiri ziange kupata matatizo tuinvest hela nyingine tena kuzifix. Wakati mashirika mengine duniani yanapunguza ndege sisi ndo tunaongeza tena kwa cash. Lol
Mkuu kwenye vikao mbali mbali vya ccm ndivyo wanavyoaminishwa!
Na pengine kuna asilimia kadhaa za ukweli...
Ujue hizi ndege tangu zimenunuliwa zinazurura tu humu nchini!
Ila kwa jinsi nijuavyo hizo 30 bilions ni makusanyo ghafi wala si faida!
wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
unasoma ulichoandika?wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
akikujibu unitagNani alikuwa na shida ya huduma ya ndege hapo kabla? Unapotoa mchango shirikisha basi akili
Nani kasema shirika la ndege liko kwa ajili ya kutoa huduma? Kama nikutoa huduma magufuli angesema tumepata faida? Unapotoa huduma unatafuta faida? Una akili kweli wewe?wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
CHADEMA mnajidhalilisha sana kwenye Ilani yenu ya uchaguzi 2015 mliandika kuhusu ndege ukurasa wa 53 hivi mnadhani watu hatusomi au hatukumbuki mliyokuwa mkiyanadi sasa yamefanywa na CCM mnaona mabay au mnadhani watanzania ni wote mazuzu.unavoongea upumbavuu wako uwe unatoa hiyo picha ya faza nelly,unachafua jina lake kwa ufinyu wa akili ulio nao
Hivi rais huwa anakuwa na akili kuliko watu wote kwenye nchi!!Kwa upeo wako wa mtindio wa ubongo unajiona unaakili saana kuliko rais wa nchi? Usafiri ni usafiri tu kwa nchi kubwa kama Tanzania lazima tuwe na usafiri wa anga kwa kukidhi angalau soko la ndani tu inatosha hata tusipofanya international flight. Kwa akili zako za kipimbi tutegemee barabara tu kusafiri? Usafiri wa anga lazima ukidhi vigezo vya kimataifa kwahiyo ubora na hadhi ya ndege zetu ni sawasawa na ubora na hadhi za ndege zoote za kimataifa. Hatukununua ndege kwa kuangalia faida ya moja kwa moja bali kuboresha mazingira rafiki ya uwekezaji, utalii n.k. Ulishawahi kujiuliza gharama za kujenga mtandao wa barabara za lami nchini gharama yake kiasi gani? Gharama ya kilometa moja ya barabara ni bilioni moja kwa wastani zidisha mara kilometers za Barbara zoote utapata matrilion ya hela mbona hamhoji hizo gharama ambazo in zaidi mara ngapi ya gharama za kununua ndege? Mleta uzi na Tundu Lissu ni vibaraka wa Mabeberu! Kwahayo ndo yanakutosha kulingana na akili zako ndogo maana nikichambua zaidi hutanielewa!
2026 kuna watu watakwenda segerea tu pindi CAG akiingia kwenye ununuzi wa Ndege kwa cash
Kitu kama hukijui ukae kimya tu, unaweza kuleta ushahidi kwamba bunge halina taarifa za manunuzi ya hizi ndege!.pumbavuuu tunaongelea kununuliwa kwa ndege saba ambazo bunge halijapitisha bajeti,ma****i kabisa wewe
Halafu mtu huyo ana uelewa finyu wa mambo. Anapokosea kidogo athari ni kubwa sana mfano ni maamuzi yake kwenye korosho.
Hela za matanuzi ya Dubai na kule bondeni za kwenye masemina na warsha ndizo hizi zinazonunua ndege.Mlishindwa kukusanya kodi miaka nenda rudi - Leo hii hela zinapatikana kwa wingi basi kila mtu amekuwa fundi wa kupanga matumizi.
Wewe ndiyo zuzu na unajidhalilisha mwenyewe usiwashirikishe watanzania, watu wanasoma wanajua kuwa chadema waliahidi Ndege lakini siyo kwa Mbinu hii ya kununua kwa cash huku wajanja wachache wakifaidi 10% pasipo CAG kukagua hesabu za manunuzi yake, Tambua kuwa chadema wanajua Ndege hununuliwa kwa idhini ya bunge na kwa mkopo siyo kwa cash za 10% za wajanja wachache, watanzania siyo wajinga hata magufuli alikiri watanzania siyo wajinga ingawa kaamua kuwaburuza kibabe tu.CHADEMA mnajidhalilisha sana kwenye Ilani yenu ya uchaguzi 2015 mliandika kuhusu ndege ukurasa wa 53 hivi mnadhani watu hatusomi au hatukumbuki mliyokuwa mkiyanadi sasa yamefanywa na CCM mnaona mabay au mnadhani watanzania ni wote mazuzu.
Waheshimiwa wazee, hizo gharama zote mnazozizungumzia ni 'list price' tu gharama halisi za ndege ni chini ya hapo.Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571