Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 598
Huyu pimbi ndiye aliyekuwa anatukana serikari !kwamba, haina hata ndege mojaJe, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
We ni jinga kabisa uliambiwa na nani au ni wapi huko kuwa atcl ipo kwa ajili ya huduma? taasisi za uma zinazotoa huduma ni mamlaka zote za maji, tanesco japokuwa zao hazina msaada kwa mwanchi wa kawaida.Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Pumbavu!Huyu pimbi ndiye aliyekuwa anatukana serikari !kwamba, haina hata ndege moja
Unapo angalia mapato ya ndege pekee nijisi gani anavyozihirisha hata risasi zilizo mkoswa koswa kumuua yawezekana zimemuasiri Afya ya hakiri anahitaji vipimo.
Kama cyo basi apimwe korona!!
Maana kama ATCL imeingiza 30Bilions basi angejiuliza watarii wangapi hizo ndege zimeleta na wameingiza pesa kiasi gani za kigeni kupitia utarii.
Lakini pia makampuni ya watarii na vijana wetu wameingiza pesa kiasi gani! Tumeuza bidhaa za shilingi ngapi kwa watarii waliokuja na ndege hizo.
Nikuombe tundu lisu! Km hujapima hakiri basi kapime! Maana kila cku unakuja na hoja za ajabu ajabu kiasi kwamba tunahisi huko mbereni utaheuka.
Huyu jamaa zile risasi ziliharibu mpaka ubongo cyo mda mrefu atakuwa kama Doctor shika wa 900 itapendeza!Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
haya ndo yamsingiWapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Kiswahili chenyewe ni matatizo- Hueleweki!!!!!Huyu pimbi ndiye aliyekuwa anatukana serikari !kwamba, haina hata ndege moja
Unapo angalia mapato ya ndege pekee nijisi gani anavyozihirisha hata risasi zilizo mkoswa koswa kumuua yawezekana zimemuasiri Afya ya hakiri anahitaji vipimo.
Kama cyo basi apimwe korona!!
Maana kama ATCL imeingiza 30Bilions basi angejiuliza watarii wangapi hizo ndege zimeleta na wameingiza pesa kiasi gani za kigeni kupitia utarii.
Lakini pia makampuni ya watarii na vijana wetu wameingiza pesa kiasi gani! Tumeuza bidhaa za shilingi ngapi kwa watarii waliokuja na ndege hizo.
Nikuombe tundu lisu! Km hujapima hakiri basi kapime! Maana kila cku unakuja na hoja za ajabu ajabu kiasi kwamba tunahisi huko mbereni utaheuka.
Mkuu hao mazombie kazi yao kubwa huwa ni kulainisha maneno, eti leo imekuwa serikali haina shida na faida kwamba ynyewe kazi yake ni kutoa huduma, sijui inampa huduma nani hasa ??, biashara ya ndege sio ya kufanyia usanii, siku moja niliona viongozi wa serikali wamesombana kwenda msumbiji eti kwenda kuzinddua kuanza kwa sasari za msumbiji - dar, sasa nikajiuliza hao viongozi wanaenda kuongeza nini kama sio kuingiza hasara kwa shirika ?, kwani hatuna balozi wetu huko ?, kwamba angekuwepo uwanja wa ndege akajionea ndege ya atcl ikitua pale kwa mara ya kwanza, ni kwamba walienda kuzurura tu, Shirika kubwa la ndege la SAA linahaha hivi sasa kjiokoa lisiwekwe muflisiDuuh kumbe ndege zetu azitengenezi faida...nilikua sijui kabisa
Nilifikiri unaandika kitu cha maana kumbe ujinga tu. Wewe na lissu wako hamjui lolote kuhusu transport economics. Kwa taarifa yenu kuweza tu kua na hizo ndege kama mali ya tanzania ni hatua kubwa sana na ukiweka pembeni kwamba zitachangia uchumi kwa kiasi kikubwa.Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
Hilo ni gonjwa la wengi humu.Pole sana mkuu, jifunze kupokea na kuyakubali maoni yasiyofanana na ya kwako.
Huo ndio ukomavu wa kifikra, vinginevyo huna tofauti na kina Maria Sarungi, wanakosoa kila siku lakini wakikosolewa wana-block watu.
Kama wana akili waanze mazungumzo ya cancellation ya hizo nyingine walizoagiza!!Na Corona hii, hiyo midege lazima ilete hasara sana.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Sijaongelea dunia nzima, nimeongelea Bongo.Dunia nzima kwa sasa ni mwendo wa hasara kwenye sekta nzima ya usafiri. Kuna meli pale bandarini inaitwa City of Beijing, wafanyakazi wanaogopa kuikaribia, wanasakiziana nenda wewe nenda wewe.
Shindwa kabisaKama wana akili waanze mazungumzo ya cancellation ya hizo nyingine walizoagiza!!
Tanzania haipo sayari nyingine, ni sehemu ya sayari hii. Hakuna uwezekano wa biashara ya sekta ya anga ya kwingine idorore halafu sisi tusidorore, ukiwa tayari kucheza muziki na kufurahia faida ujue zipo nyakati za huzuni na mdororo.Sijaongelea dunia nzima, nimeongelea Bongo.
Ya Bongo unakubali au unakataa?
Tukianza kuifananisha Tanzania na dunia nzima utaweza kuhimili mjadala wa hoja?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Lakini watu wanaoelewa dunia inavyoenda na biashara ya ndege ilivyo nyepesi kuanguka walishaonya kwamba Tanzania ime invest disproportionately, tena kwa kulipa cash kishamba, kwenye biashara ya ndege ambayo ina risk kubwa sana.Tanzania haipo sayari nyingine, ni sehemu ya sayari hii. Hakuna uwezekano wa biashara ya sekta ya anga ya kwingine idorore halafu sisi tusidorore, ukiwa tayari kucheza muziki na kufurahia faida ujue zipo nyakati za huzuni na mdororo.
Kuna midege mingi tu huko Marekani na Ulaya ambayo imekaa tu airports na hakuna kinachoingia, lakini ni upepo tu na utapita.
Nilifikiri unaandika kitu cha maana kumbe ujinga tu. Wewe na lissu wako hamjui lolote kuhusu transport economics. Kwa taarifa yenu kuweza tu kua na hizo ndege kama mali ya tanzania ni hatua kubwa sana na ukiweka pembeni kwamba zitachangia uchumi kwa kiasi kikubwa.
Unavyoongea ni kama unafurahia matatizo ya corona yanavyotokea ili uweze kuikejeli serikali!!. Hapa mkuu Kiranga umejishusha mno!!.Lakini watu wanaoelewa dunia inavyoenda na biashara ya ndege ilivyo nyepesi kuanguka walishaonya kwamba Tanzania ime invest disproportionately, tena kwa kulipa cash kishamba, kwenye biashara ya ndege ambayo ina risk kubwa sana.
Na hawakusikilizwa.
Matokeo yake ndiyo haya.
Serikali inetumia hela kibao katika investment inayoingiza hasara tu.
Sent from my typewriter using Tapatalk
..Prof.Lipumba naye amesema biashara ya ndege ni HASARA tupu.
..tafuta mahojiano yake na wahariri wa gazeti la mwananchi ametoa maelezo mazuri sana kama msomi wa uchumi.
Wabongo wanaanza majungu baada ya corona kuingia TZ, huyo Lipumba kabla ya hili janga mbona alikaa kimya!.Kwa hiyo biashara ya ndege haina faida?
Wabongo wanaanza majungu baada ya corona kuingia TZ, huyo Lipumba kabla ya hili janga mbona alikaa kimya!.
Ukiziamini sana fikra za “kibongo” unaweza kujikuta unaanza kujifunza kupaa na ungo usiku.