Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba


Duh hicho kitengo ulikua nacho tokea ukiwa BAVICHAA au kilikua wazi kukusubiri? Ina maana UVCCM hawakua na mtu makini wa kuweza kushika hiyo nafasi...??? Hongera sana, inaonesha ni namna gani BAVICHA ilivyo na vijana makini ambao wakitoka tu hawakosi nafasi UVCCM.
 
Mtela Mwampamba wa CCM, UMEMALIZA!

Hawa pro CHADEMA walidhani upo CCM kwa kutanga tanga?, you're in CCM to stay, we're all in CCM to stay. Period.
 

Mkuu Mark...huyu jamaa ni debe tupu.....BAVICHA walimwona hafai ndo maana wakamtimua...Afu kule Mbozi 2015 Tunamweka CHENZA kaka
 
Mtela Mwampamba wa CCM, UMEMALIZA!

Hawa pro CHADEMA walidhani upo CCM kwa kutanga tanga?, you're in CCM to stay, we're all in CCM to stay. Period.

Hahahah...Na wewe nawe...Joblesss......kukalia JF tu......Ni aibu kuwa na vijana au wazee kama wewe katika taifa hili.....Hivi kwa mtu anaemwona Mwampamba ana akili....duh...huyo atakuwa ndo hamnazo.....huyu Stella ni makapi ya Bavicha alitimuliwa....Na hata nyie CCM amewasaidia nini hadi sasa?
 

pole ila acha uhuni utapa ban ya milele.
 
Nani kampongeza huyu jamaa kuleta bandiko bila kumtaja Slaa au CDM? naomba siku nyingine usitoe pongezi mapema mpk ujiridhishe ,hao sasa kawataja naomba ufute pongezi zako.
 

Haya 'oil chafu' tunashukuru kwa kutujuza kuwa umepewa kitengo baada ya kuasi harakati za kuikomboa nchi na sasa umeamua kuungana na walaji kwa kuwa lengo lako lilikuwa kuchumia tumbo. Kila la heri kwa usaliti wa taifa
 
Hivi kabla yako ni nani alikuwa mkuu wa hicho kitengo na kama alikuwepo aliondoka kwa sababu gani? Na kama hakikiwa na mtu ni kwa nini?
 

Mbona sjaelewa alichoandika huyu kada wa kufikia Wa CCM,au ndio ashakunywa juisi ya kijani inayotokana na bendera ya CCM?.
 
vipi mkuu siku ile pale nam hotel wakati mkiwakamua vijana wa chadema ili wawataje mbowe na slaa kuwa ni magaidi ndiyo ulikuwa unapewa maelekezo ya hicho kitengo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…