Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Tunaanza ziara UVCCM mwisho wa mwezi huu.stay tuned

hapo kama vile umeshikwa ugoni!!!!! teh tehe! kwa kifupi tunakuchora sisi ni maveterani wa huo UVCCM. tuneacha madaraka mwaka jana tu! acha kutulisha matango pori (uongo)Mods huu upuuzi ukiendelea kufanywa na hawa wapuuzi tutakuwa hatulitendee haki Jukwaa. Naomba adhabu zichukuliwe kwa huyu mpuuzi.
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

duuuh kweli kazi ipo..Huyu ni mwalimu!!!!!kazi ipo elimu ya TZ.
hicho kitengo kilikuepo au umepachikwa tu.?
Juliana yeye kapewa kitengo gani au bado anatafutiwa.?
Kwa kua siasa kwako ni kutafuta shibe binafsi nakupongeza. Wapo vijana wenzako ambao wanasukumwa na itikadi au imani ya kisiasa. Wanakerwa na umaskini wa watanzania, wanakerwa na kukosekana uadilifu na kukithiri kwa rushwa, wanataka uwepo wa utawala bora. Kama wewe unachotafuta kwenye siasa ni halali yako basi ccm umefika.Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.