Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Mmmh!! Hili suala bhana acha tuone mwisho wake tu.Linaumiza kichwa saana tu.
 
Wakubwa niwekeni sawa, nilikuwa nauliza Ziwa Nyasa ni Ziwa Nyasa au Ziwa Malawi? Na je, Kwanini Ziwa Victoria liendelee kuitwa Ziwa Victoria na si Ziwa Nyanza? Au ndio kuwaenzi watawala wetu wazungu? Lake Nyasa or Lake Malawi? The name of the lake itself is also disputed. Malawi claims the lake is named 'Lake Malawi' while international maps and other countries (most notably Tanzania) claim the name of the lake to be 'Lake Nyasa'. The origins of the dispute in the name have their background in geopolitical disputes that began prior to Malawi's independence in 1964, when it was previously known as Nyasaland. Further complications emerged for different political reasons in the 1960s, when the then President Banda (of Malawi) became the only African leader to establish diplomatic relations with white South Africa. This was fiercely repudiated by other African leaders, including the then President Nyerere (of Tanzania). The contrasting attitudes and policies gave further impetus to disputes between the two governments, on the name of the lake itself, and the boundary between the two countries. At present, the dispute between the two governments is largely dormant. Intergovernmental relations between Malawi and Tanzania are largely cordial. Tanzania-Malawi dispute The partition of the lake area between Malawi and Tanzania is disputed. Tanzania claims international borders through the lake along the lines of the borders between the German and British territories before 1914; Malawi, meanwhile, claims the whole non-Mozambican lake, including the waters next to the Tanzanian shore. The foundations of the dispute were set when the British colonial government, which had recently captured Tanganyika from Germany, put the water under the jurisdiction of Nyasaland without a separate administration for the Tanganyika portion. The dispute has led to conflicts in the past, though for several years Malawi has declined to enforce its claims to the disputed portion. Occasional flare-ups in in the 1990s and in recent times have impacted fishing rights, particularly of Tanzanian's who reside on the lake shore, who have occasionally been accused of fishing in Malawian waters.
said well but not wisely. we need to repeal this misnomer which beats the consciousness of the Malawians themselves. the statement by the minister to solve the problem amicably to me is positive stride towards working a permanent solution. definitely the amicability strength will not bewitch Tanzanians to accept the century imported Pandora's box .if malawians claim what colonial agreements set was right then they should think twice why tanzanians ca not accept this. the truth is neither Tanganyika nor Malawians were involved in thes stupid agreements. remember there are than 600,000 people along the lake shore from tanzania who depend on fishing activities entirely. so you if hold on saying lake Nyasa is for Malawians i can't quiet agree with you. we are even worried why you people try to believe that you deserve more than your neighbor.To me you are expressing greedy behavior upon your good neighbour who has and will alwys take care of especially during severe problems like prolonged hunger. please let us share what God has given us as a gift. if you continue with you will let us think of building dams on our side because we have so many big rivers going into lake nyasa for that matter. we canot cherish at this sabotage. may i ask you malawians what did you give the coloniast to write an agreement in favour of you even against the will of God
 
inasikitisha sana lakini hii ndio Tanzania YA LEO INSTEAD OF SOLVING THE PROBLEMS EARLYwanaacha mpaka imefika ktk peak yake ndo wanashtuka, hopeful litagawanywa
 
Kwa kauli ya Madam Joyce Banda na Maamuzi ya kutotaka kabisa mjadira juu ya ziwa Tanzania tumejipangaje? Isije ikawa sisi tunapiga tu kelele ktk vyama wakati wenzetu wanajidhatiti kivingine.

kwa kweli this is more political na sis watanzania kwel hatujui cha kufanya
 
Habari hiyo hata Mimi nimewahi kuisikia, hata ukiangalia Ramani ya ziwa hilo linaitwa Ziwa Malawi tofauti na hapo zamani tulipoliona kwenye ramani kama ziwa nyasa. Nashindwa kuelewa kwa dhati kama mpaka umegawanywa upya ama ndio yale yale ya kuambiwa kuwa Mlima Kilimanjaro upo Kenya.Inapaswa mipaka ya nchi yetu iwekwe wazi ili kutokuja kupoteza maeneo na Vivutio vyetu vya asili.

Mpaka wa Tanzania na Malawi una matatizo ya muda mrefu, nakumbuka mwaka 1978 kulikuwa na kurushiana risasi kati ya Majeshi ya Tanzania na Malawi, kwa siku mbili mfululizo kulikuwa na amri ya kutokuwasha Taa katika Mji wa kyela mkoani Mbeya, Kipindi hicho nilikuwa Mbeya, Mkuu wa Mkoa wa mbeya kwa Wakati Huo Mzee Richard Wambura alisema Mwl Nyerere ameamuru majeshi yetu yarudishe mapigo kama itaonekana Banda ataingiza majeshi Kyela. Serikali ya Banda ilikuwa inadai maeneo ya Matema Beach, Mto Songwe mpaka Ipinda yapo ndani ya Ardhi ya Malawi.

Sasa inawezekana kabisa tumelitoa kwa hiyari ziwa liwe upande wa Malawi nasi tumebakiwa na Bandari tupu ya Itungi,ambayo sasa nafikiri haina hata meli moja baada ya TACOSHILI kufa.
Kwa kumbukumbu zangu, mipaka yote ya AZANIA (Afrika Mashariki kwa wakati huo)iligawanywa upya mwaka 1902. Hakuna cha Heligoland Treaty wala nini. Naweza kuanza kuamini kama ziwa hili ni la Malawi baada ya kuiona ramani hiyo ya mwaka tajwa. Pili ramani ya mwaka 1890 haioneshi nchi ya Msumbiji, Rwanda, Burundi wala Malawi yenyewe.
Solution ya mgogoro huu ni ndogo sana, hofu ni lawama za mmoja kuanza kumvamia mwenzake.
Procedures za jeshi katika kutatua migogoro (hii ni baada ya kuzikagua ramani zote kwa usahihi, kwani jeshi ndio lenye ramani) ziko tatu

1. Shauri
2. Onya
3. Piga

Sasa sijui nini kinasubiriwa hapa.......hatua mbili za awali, yaani namba 1 na 2 zilishafuatwa.....Natamani Brig General DC Igoti angekabidhiwa jukumu la kusimamia zoezi hili mara moja.
 
Its so sad! That the malawians now considers their president weak- is it because the president is a woman- what an egoistics and patriachial attitude- but then what different would another president do- what the malawi president is doing is reasonable considering their position in a negotiations. Forgodness sake- the treaty that divided the lake was done during colonial era! and hence is not recognised by tanzanians as our interest were not considered- I think we should just fight them and teach them a lesson- This Pisses Me Off
 
viongozi wamehamishia akili zao zote kwenye madini,hamna mtu mwenye time na maji,hawajui hayo maji ndio uhai.

NO, I think Membe yuko serious sio kwa sababu za kitaifa bali ni personal kwa sababu mkewe anatoka pale mbambabay na amejenga nyumba kubwa ufukweni ambayo kama mpaka utakuwa ni lake shore basi he is going to be a looser lets wait and see!
 
Namwona membe anajitahidi kuplawy part yake lakini namwo mr misiba yuko bize na longolongo zake
 
Kwa kumbukumbu zangu, mipaka yote ya AZANIA (Afrika Mashariki kwa wakati huo)iligawanywa upya mwaka 1902. Hakuna cha Heligoland Treaty wala nini. Naweza kuanza kuamini kama ziwa hili ni la Malawi baada ya kuiona ramani hiyo ya mwaka tajwa. Pili ramani ya mwaka 1890 haioneshi nchi ya Msumbiji, Rwanda, Burundi wala Malawi yenyewe.
Solution ya mgogoro huu ni ndogo sana, hofu ni lawama za mmoja kuanza kumvamia mwenzake.
Procedures za jeshi katika kutatua migogoro (hii ni baada ya kuzikagua ramani zote kwa usahihi, kwani jeshi ndio lenye ramani) ziko tatu

1. Shauri
2. Onya
3. Piga

Sasa sijui nini kinasubiriwa hapa.......hatua mbili za awali, yaani namba 1 na 2 zilishafuatwa.....Natamani Brig General DC Igoti angekabidhiwa jukumu la kusimamia zoezi hili mara moja.

Katika Suala hili inabidi Hekima,Busara na Ushawishi utumike zaidi kuliko Ubabe na kauli za dharau ambazo zitawakwaza wenzetu.Kuna Mgogoro mkubwa tu,kuhusu mpaka wetu na Malawi,na suala hili halikuanza leo....Mwalimu aliulizwa mara kadhaa,lakini alikuwa anapuuzia.Imefika wakati sasa Watawala wetu wayamalize mambo haya mezani.Ili tuwaachie watoto na wajukuu wetu mipaka iliyowazi na inayotambulika Kimataifa.
 
Mkuu Mwawado sina haja ya kuandika mambo mengi sana. Kuhusu kauli za kuwakwaza wenzetu, wao ndio wa kwanza kutukwaza sisi....Ukisoma lile gazeti lao la uchochezi (Nyasa Times) utanielewa kwanini nimefika hapa nilipo...Na kauli yangu hii(ingawa si tamko la serikali)inachangiwa na viongozi wetu tulio nao..Nikukumbushe mambo mawili:

1.Uasi ndani ya jeshi letu(Army Mutiny)ilisababishwa na nini?[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Tanzania: remembering the 1964 army mutiny...
[/TD]
[TD="class: buttonheading, align: right"]Send to a friend
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Friday, 28 October 2011 21:37
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]By Karl Lyimo
BLACK MONDAY
I read an interesting rendition of the events as penned by William Shao surrounding the January 20, 1964 army mutiny (?) which took place in what was then Tanganyika Republic.
Tanganyika Territory became independent from British rule at midnight December 8/9, 1961. It remained a dominion within the (British) Commonwealth until December 8/9, 1962, when it became a republic within the Commonwealth.
That was when Tanganyikans (cynically referred to by disenchanted critics as 'Danganyikans:' the easily gullible ones) bid farewell to Richard Turnbull (1909-1998), the last (British) Governor of Tanganyika (1958-61) – and its first and only Governor-General (1961/62).
The mutiny was mounted by the nascent Tanganyika Rifles (TR) a little more than 13 months after the country became a republic - and should, therefore, have been free of all the shackles of colonialism. However, that wasn't the case… In fact, it has never been the case; Tanzania's still very much dependent upon extraneous ‘development' partners (read ‘dependency' partners) more than ever 50 years after Uhuru. But, that's another story…
The 1964 'mutiny' was basically twin-pronged. The native soldiers in TR wanted more pay. They also wanted their British officers out of their hair, out of the army - and out of their way!
Readers interested in the grisly details can read Shao in The Citizen of October 10, 2011. Here, I just wish to recall some of my personal experiences at the time, as a 22-year lad then, working for the exalted East African Common Services (EACSO) in Dar.
January 20, 1964 was a Monday, and I was already at work when news of the 'mutiny' broke out. Armed soldiers were patrolling the streets, saying nothing to anyone, intermittently firing short bursts into the air from their Lee-Enfield Mark-III rifles...
There was subdued resistance from a few (mostly) Arab shop-owners here and there, particularly in the Magomeni area of the city. The wilier Asiatics had sensed trouble early enough, and never opened their dukas (shops), staying indoors instead.
Us natives had nothing to worry about, and were out on the streets gawking at what was going on! Not many of us owned property worth dying for, nor deadly weapons. As such, we weren't a threat to the soldiers cockily cocking and brandishing their weapons.Looting did take place here and there, with soldiers filling up their vehicles at petrol stations without paying for the juice!
Ships in harbour were freed from their quayside moorings by their crews, ready to depart should real threat be manifest.
The mutiny was an oddity that seemed to work. British Officers - led by Sholto Douglas, I suppose - left for home. President Nyerere disbanded TR, renamed it the People's Defence Forces. Colito Barracks became Lugalo…
Oh, the happenings of January 20 reminded me of the November 22, 1963 assassination of US President JF Kennedy - and the death in a road accident of Premier Edward Sokoine on April 12, 1984. These happenings had Dar paralysed for hours on end: total anguish and confusion among denizens… Incidents one never ever wants to see repeated. Cheers!

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
2. Vita kati ya Uingereza na Spain 1739 ilisababishwa na nini?
QUOTE=Mwawado;5016312]Katika Suala hili inabidi Hekima,Busara na Ushawishi utumike zaidi kuliko Ubabe na kauli za dharau ambazo zitawakwaza wenzetu.Kuna Mgogoro mkubwa tu,kuhusu mpaka wetu na Malawi,na suala hili halikuanza leo....Mwalimu aliulizwa mara kadhaa,lakini alikuwa anapuuzia.Imefika wakati sasa Watawala wetu wayamalize mambo haya mezani.Ili tuwaachie watoto na wajukuu wetu mipaka iliyowazi na inayotambulika Kimataifa.[/QUOTE]Robert Jenkins (master mariner)



Robert Jenkins hands a dismissive Prime Minister Robert Walpole his severed ear, as his companions lift off his wig to show the scar; one of Walpole's associates displays total indifference, preferring to converse with a lady. Satirical Cartoon, 1738, British Museum


Robert Jenkins (born in Llanelli, Wales (fl. 1730s-40s) was a British master mariner, famous as the protagonist of the "Jenkins's ear" incident, which became a contributory cause of the War of Jenkins' Ear between Britain and Spain in 1739.
Returning home from the West Indies in command of the brig Rebecca in April 1731, Jenkins' ship was stopped and boarded by the Spanish guarda-costa La Isabela on suspicion of smuggling. Her commander, Captain Julio León Fandiño, had Jenkins bound to a mast, then sliced off one of his ears with his sword and told him to say to his King "same will happen to him (the king) if caught doing the same".
On arriving in England on 11 June, Jenkins addressed his grievances to the king, and gave a deposition which was passed to the Duke of Newcastle in his capacity as Secretary for the Southern Colonies. In his deposition of 18 June 1731, Jenkins stated that the Spanish captain, "took hold of his left Ear and with his Cutlass slit it down, and then another of the Spaniards took hold of it and tore it off, but gave him the Piece of his Ear again."[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] This report was then forwarded to the Commander-in-Chief in the West Indies, who then complained of Jenkins' treatment to the Governor of Havana.
At the time the incident received little attention, but it was reported in The Gentleman's Magazine in June 1731:[SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP]
The Rebecca, Capt. Jenkins, was taken in her passage from Jamaica, by a Spanish Guarde Costa, who put her people to the torture; part of which was, that they hang'd up the Capt. three times, once with the Cabin-boy at his feet; they then cut off one of his Ears, took away his candles and instruments, and detain'd him a whole day. Being then dismissed, the Captain bore away for the Havana, which the Spaniards perceiving stood after her, and declared, that if she did not immediately go for the Gulf, they would set the Ship on fire; to which they were forced to submit, and after many Hardships and Perils arrived in the River Thames, June 11. The Captain has since been at Court and laid his case before his Majesty.
​
In spring 1738, Jenkins repeated his story with dramatic details before a committee of the House of Commons, producing his severed ear (pickled in a jar.) As a result of this incident and petitions from West India merchants, the opposition in Parliament voted (257 "For" and 209 "Against") on 28 March to ask the King to seek redress from Spain.[SUP][5][/SUP] By summer of 1739, all diplomatic efforts having been exhausted, King George II agreed, on 10 July, to direct the Admiralty Board to initiate maritime reprisals against Spain. The Gentleman's Magazine reported that on 20 July 1739 Vice Admiral Edward Vernon and a squadron of warships departed England for the West Indies, and that on 21 July, "Notice was given by the Lords of the Admiralty, that in pursuance of his Majesty's Commission under the Great Seal, Letters of Marque or General Reprisals against the Ships, Goods and Subjects of the King of Spain, were ready to be issued." However, the formal declaration of war against Spain was withheld until Saturday 23 October 1739 [O.S.].[SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP]
Jenkins was subsequently given the command of a ship in the British East India Company's service. In 1741 he was sent from England to St. Helena to investigate charges of corruption brought against the acting governor, and from May 1741 until March 1742 he administered the affairs of the island. Thereafter he resumed his career at sea. He is said to have preserved his own vessel and three others under his care during an engagement with a pirate vessel.


Malawi nao wanaweza kukipata kile wanachokitafuta waachwe waendelee na huo udhalilishaji wao dhidi ya Watanzania.
 
Kuweni wangalifu! Huo ni mfupa uliomshinda Membe. Badala ya kuanza na Diplomasia kama navyotaka kuonekana sasa yeye alikurupuka na majeshi kwenda kuvamia nchi nje ya mipaka ya nchi yake.Wajanja wakasubiri Tanzania tuitwe wavamizi na Mama Joy akagomea meza!! Membe kwishaaaa!!! Zimebaki kelele tu, kama mkoloni alisahau kuweka mpaka katikati ya ziwa tungeni kiatabu cha sheria (tena ya kimataifa) inayosema: "Haya Maziwa yote katika mipaka ya nchi 2 yawekwe mpaka katikati". Hapo ndipo msuluhishi atakuwa na la kusema, sasa hivi ni mama Joy tu ndiyo mwenye kauli, nenda uendako!
 
mafuta na gas imekuwa laana Afrika, mwanzo wa sudan& south Sudan, and now MAlawi na Tanzania
 
"Naibu Waziri wa Maji, Shamsa Mwangunga akijibu swali la Mbunge Nyalandu alisema Tanzania ina uhusiano mzuri na Malawi kwa muda mrefu na kwamba haina mgogoro kuhusu ziwa hilo.

Hata hivyo, alikiri kuwa sheria za wakati wa wakoloni ndiyo chimbuko la Ziwa Nyasa na kwamba mkataba wa Anglo German ulibainisha kwamba ziwa hilo ni milki ya Malawi kinyume na taratibu za sasa za mipaka inayopita majini, inayotoa fursa sawa kwa nchi zinazotenganishwa kwa ziwa au bahari, kwamba mpaka upitie katikati ya ziwa au bahari husika."

Nimeanza kwa kunukuu jibu la Mwangunga, tena basi Bungeni. Mwangunga analaumu sheria za Mkoloni zilizogawa ziwa Nyasa lote kwa Malawi, tena anasema kabisa ""Sheria" za Mkoloni". Halafu anapigilia msumari kwa kusema "Taratibu za sasa zinagawa mito na maziwa kati ya nchi mbili katikati.

Kwa nini hatuwi wakweli kuwa majibu haya ni ya kuvutia ofisi pumzi ili kibarua kiendelee wakati hata tatizo lipo. Majibu ya Mwangunga na akili ya Idd Amini wapi na wapi? Idd Amini yeye alitaka mito (kama ipo) ndiyo igawanye nchi na nchi. Taratibu za kufikirika namna hii ndiyo zilimleta Amini Kagera na majeshi kulinda ardhi kaskazini mwa mto Kagera.Kosa hilo lilimgharimu Amini kautawala kake kote!

Halafu ""Sheria" ya Mkoloni" hiyo hiyo ndiyo ilipitisha mpaka wa Msumbiji na Malawi hiyo hiyo katikati ya Ziwa Nyasa hilo hilo.

Mwangunga hizo taratibu za sasa anazozungumzia (tena Bungeni) zimeandikwa wapi?

Ubabaishaji wa kusemasema lolote hata lisilokuwepo ndani ya Serikali ni kasoro inayotakiwa kuepukwa. Mwangunga arekebishe hili na kukubali kweli hatuna mgogoro na Malawi lakini tunashida ya kuwapa Raia wetu maji ya Ziwa Nyasa kisheria ili kesho wasije wakakamatwa na polisi wa Malawi wakioga ndani ya ziwa hilo. Kauli ya Mwangunga ni kujaribu kuilazimisha Malawi kutoa Ziwa lake. Kosa hili ndiyo alilolifanya Membe alipotuma majeshi kuzuia ndege za Malawi kuruga juu ya anga yake.

Mkizidi kumchokonoa Mama Joy hata hiyo ruzuku ya kibinadamu tunayoitaka tutaikosa kwa sababu ya uzembe wa watukutu wachache wasioona maana ya kuzingatia na kusema ukweli.
 
"Usipopata ulipopenda, penda ulipopata"

Nimemnukuu huyu kwa sababu ndiyo anawakilisha mawazo ya walio wengi Tz sasa hivi. Tanzania imejaa mafisadi ambao wanapigia kelele ufisadi wanapochafua wengine tu. Wao wanasema wanaishi kwa (siyo akili bali) "Akiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiili!". Eti wao ni wajanja, wakivuta hiyo iiiiiiiiiiiiii kabla ya li watajulikana kuwa wanaakili sana.

Fikiria, Mtu kavaa suti safi, nyumbani ana mapesa mengi tu. Halafu anachukua pesa nyumbani kwa akiiiiiiiiiiiiiili na kwenda kutumia ili wengine ndani ya familia wasijue, kwa sababu ni WAJINGA.

Janja hii si ndiyo ile Mhindi anaita JANJA YA NYANI?

Mfano Nyerere angekuwa na JANJA YA NYANI Tanzanite waTZ mngeikuta? Kawatawala miaka 30 yule, na yule Mzee alikuwa na kionambali na dhahabu hata ya Chunya aliijua kuwa ipo. Lakini akamfukuza hata Bosi wa GGM (alikuwepo kabla ya Uhuru) asichukue dhahabu yetu.

Nawashangaa leo kwenda kuvamia Malawi kwa sababu mmesikia kuna gesi. Kutumia lugha ya Laila Odinga "SASA WATANZANIA watoto wa wakulima MUMEAMUUUKA! Mnashindana na Hekima kwa akiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiili.

Wahenga waliposema Mkataa pema pabaya panamwita" hawakukosea. Kazeni kamba tu ya CHADEMA na CCM tufike huko tuendako, wenye vionamabali shauri yao.

LAKINI HILI LA MALAWI HALINA DAWA, LABDA CHADEMA WAKAMPIGIE MAGOTI MAMA JOY KWA SABABU CCM KISHAWAKATAA HATA WAKI(penda ulipopata). wAKATABAHU.........jogoolashamba
 
Tanzinian leaders have to tell the Tanzanian the reality on that issues so that to make them aware for their county
because truth make us free so there is a need to do so.
 
Mgogoro huu ni vema Tanzania tukapeleka jambo hili katika mahakama ya kitaifa ya usuluhishi {ICJ} ili tuweze kufikia utatuzi wa busara na kuondoa misuguano hii isiyo na tija kwa mataifa haya yenye mipaka ya karibu na urafiki wa mda mrefu.
 
Ninavyofahamu juu ya suala hili ni kwamba, kabla ya vita ya kwanza ya dunia Mwingereza na Mjerumani walikuwa wamekamilisha sehemu moja tu ya mkataba wa Helgoland, ya kusaini kwenye karatasi mkataba huo na sehemu ya pili ya mkataba huo ilikuwa haijakamilika ambapo ukiusoma ule mkataba utaona kwamba ande zote mbili zilikubaliana kwamba zitakutana kwenye field kuchora mipaka ambapo wangeweza kuweka mpaka hadi kwenye Ziwa Nyasa/Malawi.Kabla ya kuweka mipaka vita kuu ya kwanza ya dunia ikalipuka.Baada ya vita Mwingereza akajicholea mpaka peke yake akaweka pale alipopataka yeye kwani Ujerumani hakuwepo kujadiliana juu ya suala hilo.Kwakweli akalichukua Ziwa lote lakini upande wa koloni la Mreno wakakubaliana kuupitisha mpaka huo katikati ya ziwa.

Uingereza bila kutarajia akajikuta anapewa Tanganyika kwa hiyo akatawala bila matatizo ya mpaka ktk ziwa.Ni wazi mgogoro huu ungeanza mapema kabisa wakati wa ukoloni baina ya Uingereza na Ujerumani iwapo Ujerumani angerudi Afrika Mashariki.Na kwakweli suala hili lingeleta vita kabisa baina ya mabeberu hawa.

Sasa swali, je Malawi wanautumia mkataba wa Helgoland kudai ziwa lote ni la kwao?.Kama ndivyo basi ni wazi wanakosea kwani Mwingereza hakuruhusiwa na mkataba wenyewe kwamba atachora mipaka kadri ilivyokubaliwa ktk maandishi kwenye mkataba ule.Wamalawi hawezi kufaidika na makosa ya Uingereza ya kwenda kinyume na mkataba ambao hakulazimishwa kuusaini.

Lakini kuna hili la Umoja wa Mataifa juu ya kushirikiana na kufaidi raslimali zilizo katikati ya mipaka baina ya nchi mbili.Haiwezi kuingia akilini kwamba Wamalawi wamiliki Ziwa lote alafu wavuvi na wanaochota maji toka Tanzania wachote au wavue kwa vibali.Haiwezekani.

Nini kifanyike?.Malawi inaonekana haitaki kujadili, haina uwezo wa kwenda Mahakama ya Dunia, ICJ kwani Tanzania ni mwanachama wa mahakama hii lakini haijasaini mkataba wa kukubali kutambua na kufungwa na maamuzi ya mahakama hii ambayo Malawi ilisaini 1963(PROTOCOL ON THE ICJ JURISDICTION).Kwa maana nyingine hata Tanzania ishitakiwe pale, maamuzi ya ICJ hayatakuwa na maana yoyote kwa Tanziania kwani haiyatambui.

Usuluhishi wa mtu wa tatu sawa unaweza kuwa sawa kabisa.Lakini sidhani Malawi inapendelea option hiyo.Vita ni option ya mwisho lakini ni wazi lazima tujiulize nchi ambako makampuni yanyotafuta mafuta yametoka zitakaa kimya ziangalie tu?.Sidhani.
 
mgogoro huu ni vema tanzania tukapeleka jambo hili katika mahakama ya kitaifa ya usuluhishi {icj} ili tuweze kufikia utatuzi wa busara na kuondoa misuguano hii isiyo na tija kwa mataifa haya yenye mipaka ya karibu na urafiki wa mda mrefu.

"tanzania haijasaini kufungwa na maamuzi ya mahakama hii kwa hiyo malawi hata iende huko haitaambulia chochote, kwani maamuzi yoyote ya mahakama hii hayatakuwa na maana yoyote kwa tanzania.haitayatambua."
 
mgongano wa sheria tofauti limekuwa jambo ambalo linaleta mitafaruku mara kwa mara ktk fani ya sheria sana.katika suala hili naona sababu kuu kuwa hiyo ingawa kuna kusukumwa na maslahi mapya hapa.malawi inatumia sheria za ukoloni kuhalalisha madai yake.Tanzania inatumia sheria za kimataifa za sasa kuhalalisha madai yake.cha msingi hapa ni kujua kati ya sheria hizo ni ipi ambayo ni superior kwa nyingine.je,sheria za sasa za kimataifa zimefuta sheria za kikoloni?je,wakati tunapokea nchi zetu toka kwa wakoloni tuliamua kufuata taratibu zile zile za kisheria toka kwao au kuna baadhi tuliziacha?Je,sheria za ukoloni ni halali leo hii?je,nchi zetu hizi mbili zinafungwa na sheria za kimataifa zilizopo?ukitazama historia utaona hakuna siku tanzania na malawi zilikaa na kuamua juu ya mipaka yao baada ya ukoloni huku wenyeji wa eneo hilo wakiwa wamoja kiasili na kushirikiana mambo mengi ikiwa ni pamoja na matumizi ya ardhi zao lakini mkoloni alishawagawa watu hawa pande mbili na sasa hayupo,watu hao wameendelea kuishi kama wamoja bila kujali pande hizo kwa mazoea yao ya zamani.leo hii kuna maslahi mapya(mafuta)ambayo yamegunduliwa na sasa malawi wanadai kumiliki eneo lote pasipo kujali ukweli wa kihistoria wa muingiliano wa jamii ya eneo husika.Walikuwa wapi siku zote?Kwa nini Kamuzu alipokutana na msimamo wa Nyerere hakuendelea tena kusumbua?litakuwa suala gumu sana iwapo msimamo wa malawi utafuatwa.na roho hiyo ikifuatwa italeta mtafaruku maeneo mengi africa kwa kadri rasilimali zinavyogunduliwa kwani kiukweli huko nyuma waafrika hatukuwa na mipaka.ndio haya haya yanaendelea maeneo [SIZE=4]kama delta ya mto niger,majimbo yen[SIZE=4]ye mafuta nigeria,mali,congo na kwingineko.Waafrika ni lazima tukatae hali hii.for the moment mie nadhani njia nzuri iliyopo ni kushare hayo maeneo kwa pamoja kwani ndio ukweli wa kiasili wa historia yetu([SIZE=4]kuingiliana).[SIZE=4]Pia tuondoe utata huu wa kuwapo sheria tofauti zinazo[SIZE=4]amua jambo moja kwa namna tofauti na kuleta migongano hii ya maslahi.Ipo haja ya kuzungumzia upya hizi conflict kwa maslahi yetu kama waafrika na sio mpaka wamarekani waje na k[SIZE=4]utumia weakness hiyo kwa faida zao.tu[/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE]kiwa na uroho wa mali kila mtu ataanza kudai vilivyoko kwao.kuna siku wachagga nao watarevolt na kudai mlima kilimajaro wa kwao huku watz waliobaki wakisema wa kwetu.hatutafika.Malawi itambue hilo na ikae chini na Tz watafute muafaka wenye maslahi kwa wote kwani duniani sijawahi kuona mpaka wa nchi ukipita kwenye shore.Labda mnielimishe wenzangu humu jf.Pia iko haja ya kupitia upya taratibu na sheria tulizorithi na tunazochukua kutoka kwa wazungu kuona kama zina tija kwetu kulingana na maslahi yetu kiasili,kihistoria,kijamii,kiutamaduni na kisiasa.[/SIZE]
 
Back
Top Bottom