Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

si tuwaachie tu,kuna umuhimu gan kuwa na eneo kubwa halaf budget yenyewe uchwala........


Mkuu Yaser, ukifikiri katika past tense mawazo yako yanaweza kuwa sawa. Lakini ukiamua ulitazame kwa future tense, unaweza ukute umekosea kwa namna fulani
 
Wawape tu kwani ushawahi kufaidika na ziwa hilo, hata hayo mafuta yatakuwa laana tu kwetu so wawapatie ziwa hilo hata leo
 
Wawape tu kwani ushawahi kufaidika na ziwa hilo, hata hayo mafuta yatakuwa laana tu kwetu so wawapatie ziwa hilo hata leo

Mkuu mawazo ya namna hii inaonesha kweli watanzania wamechoka na utawala wao.
 
Kwa kauli ya Madam Joyce Banda na Maamuzi ya kutotaka kabisa mjadira juu ya ziwa Tanzania tumejipangaje? Isije ikawa sisi tunapiga tu kelele ktk vyama wakati wenzetu wanajidhatiti kivingine.
 
watanzania naona tumekua watu waoga na goigoi sana kisa misaada ya kizungu? na ipotelee mbali kama vita iwe vita tu, huu ni ujinga mpaka kuwa ufukweni mwa Tanzania tugawane au tuchukue wote ama tuukose kabsa maana majirani zetu wanatuona wachovu kiasi ambacho wamalawi wameona watunyanganye ardhi yetu,kama ndio hivyo sitashangaa wamalawi wakifanikiwa kwenye hizi njama kenya nao waaianza kudai mlima kilimanjaro,uganda wakianza kudai kagera,burundi wakiichukua kigoma na zanzibar wakijitenga pamoja na maili 10 za pembezon mwa bahari yote ya hindi .taifa halijengwi kwa kumeguka bali kwa kuongeza ardhi na rasilimali.kama noma na iwe noma

uhuru na umoja upo wapi?
251px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
 
Wapeni tu wamalawi ziwa pia hata mikoa yote ya kusini, kwani kwa jinsi watu wa mbeya wanavyonyanyasika na matukio ya siasa chafu labda kuna unafuu wa kutambulika kama wa-Malawi kabisa!
 
Wakubwa niwekeni sawa, nilikuwa nauliza Ziwa Nyasa ni Ziwa Nyasa au Ziwa Malawi? Na je, Kwanini Ziwa Victoria liendelee kuitwa Ziwa Victoria na si Ziwa Nyanza? Au ndio kuwaenzi watawala wetu wazungu?

Lake Nyasa or Lake Malawi?
The name of the lake itself is also disputed. Malawi claims the lake is named 'Lake Malawi' while international maps and other countries (most notably Tanzania) claim the name of the lake to be 'Lake Nyasa'. The origins of the dispute in the name have their background in geopolitical disputes that began prior to Malawi's independence in 1964, when it was previously known as Nyasaland.

Further complications emerged for different political reasons in the 1960s, when the then President Banda (of Malawi) became the only African leader to establish diplomatic relations with white South Africa. This was fiercely repudiated by other African leaders, including the then President Nyerere (of Tanzania). The contrasting attitudes and policies gave further impetus to disputes between the two governments, on the name of the lake itself, and the boundary between the two countries.

At present, the dispute between the two governments is largely dormant. Intergovernmental relations between Malawi and Tanzania are largely cordial.


Tanzania-Malawi dispute
The partition of the lake area between Malawi and Tanzania is disputed. Tanzania claims international borders through the lake along the lines of the borders between the German and British territories before 1914; Malawi, meanwhile, claims the whole non-Mozambican lake, including the waters next to the Tanzanian shore. The foundations of the dispute were set when the British colonial government, which had recently captured Tanganyika from Germany, put the water under the jurisdiction of Nyasaland without a separate administration for the Tanganyika portion. The dispute has led to conflicts in the past, though for several years Malawi has declined to enforce its claims to the disputed portion.

Occasional flare-ups in in the 1990s and in recent times have impacted fishing rights, particularly of Tanzanian's who reside on the lake shore, who have occasionally been accused of fishing in Malawian waters.

KAMA NOMA BORA NA IWE NOMA..
Ni hivi labda tuelewane jamani mpaka kati ya tanzania na malawi upo kati ya ziwa na uo ndio mpaka wa asili wa wakoloni wetu wajerumani waliouweka kitendo cha waingereza kubadilisha mpaka hakikubaliki kisheria kwa sababu waingereza hawakuwa wakoloni kwetu bali ni waangalizi mpaka pale tutakapokuwa tayari kujitawala wenyewe,hivyo hata umoja wa mataifa uingereza ilishinikizwa kutupa uhuru na umoja wa mataifa pale ulipoona sasa tupo tayari kujitawala wenyewe,na uhuru wetu ulitoka umoja wa mataifa kwa sababu nchi yetu ilikuwa chini ya umoja wa mataifa na umoja huo ukaikabidhi nchi yetu chini ya uangalizi wa waingereza watuandae kujitawala wenyewe hivyo hao waingereza hawakuruhusiwa kubadili kitu chochote bila ya ridhaa ya wananchi wenyewe,hata huo mpaka wamalawi wanajidanganya tu hautambuliki mpaka unaotambulika ni ule uliowachwa na wajerumani tu.

Huu uongozi wa huyu dada Banda naona unachemsha sasa mana unataka kujishughulisha na masuala ya foreign policy mno na kusahau wananchi wao wanaoweza kukumbwa na njaa wakati wowote ule,nchi yake yenyewe kwa mwaka huu ina akiba ya chakula tani 800,000 tu hapo ndugu zangu ni sawa na kuwa na semi trela 24 za tani 30 kila moja na fuso 8 za tani kumi za mahindi kila moja jumla unapata tani 800,000 za mahindi ndugu zangu ndio akiba pekee hako kanchi kanacho niambieni ni tani ngapi kwa siku zinatoka kibaigwa au rukwa kipindi cha msimu kwa wiki,ni wazi malawi itapatwa na njaa wakati wowote na sisi inabidi tuwawekee ngumu hakuna kwenda chakula kwao kwa sababu wema wetu ndio unaotuponza.
Serikali inabidi iweke kambi ya jeshi kule pembeni ya ziwa na tuweke na meli zetu za usafiri kule sababu hii serikali imelisahau sana lile ziwa,tuweke uwepo wetu kule kama tulivyofanya ziwa tanganyika na victoria,kama wanataka vita na wanajiunga na waingereza sisi tuwaite rafiki zetu wa china watatusaidia katika vita.
 
Ziwa Nyasa haliwezi kuwa ni mali ya malawi hata kidogo.Kama ndivyo kwa nini meli zetu zinasafiri ktk ziwa hilo?Itawezekanaje mkoloni atwae eneo letu na kuligawa kwa nchi nyingine.Haya yanayoandikwa ktk jf si ya ukweli na yamekosa uzalendo.Ni nchi ipi ilyopewa eneo lote la ziwa au bahari na wakoloni?eneo la maji huwa linagawanywa sawa kwa nchi zinazopakana na eneo hilo.wanaoshabikia ziwa nyasa kuwa ni la malawi ni ufinyu wao ktk kufikiri na kuelewa uhalisia wa mambo.ni kweli migogoro ilikuwapo tangu awali na hiyo migogoro ilikuwa ni jitihada za malawi kutaka kupanua maeneo kama ilvyokuwa kwa idd amini dada.mimi natokea eneo hilo hata huo mwaka 1978 ambao unarejewa nadhani mwandishi anapotosha baadhi ya mambo ya msingi.yeye kasoma vitabu na kuleta rejea zake humo jf na sidhani kama alikuwa amezaliwa wakati huo na kama ndivyo basi alikuwa bado mdogo na hakuelewa chochote.
 
Upande wa malawi linaitwa ziwa malawi(Malavi) na upande wa tanzania linaitwa ziwa nyasa na majina hayo yana maana yake kwa pande zote mbili ijapokuwa yanafanana kidogo kutokana na mwingiliano wa makabila yanayoishi ktk sehemu hizo.
 
Upande wa malawi linaitwa ziwa malawi(Malavi) na upande wa tanzania linaitwa ziwa nyasa na majina hayo yana maana yake kwa pande zote mbili ijapokuwa yanafanana kidogo kutokana na mwingiliano wa makabila yanayoishi ktk sehemu hizo.

Sisi hatuna ziwa kwa mujibu wa mkataba Heligoland Treaty 1890, July 1st Article Volume 5. Wilhelmine Germany and the First World War, 1890-1918
Anglo-German Treaty [Heligoland-Zanzibar Treaty] (July 1, 1890) 2. To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma. From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River. It then continues up that river to its intersection point with the 33rd degree of east longitude. The line continues along the river until its closest point with the border of the geographical Congo Basin as described in Article I of the Berlin Conference and marked on the map appended to its ninth protocol. From here the line runs directly to the previously described border, follows this to the point of intersection with the 32nd degree of east longitude, turns and continues directly to the meeting point of the northern and southern branches of the Kilambo River. It follows that river until it enters Lake Tanganyika. The course of the planned border has been specified in accordance with the map of the Nyasa Tanganyika Plateau that was officially drawn up for the British government in 1889.
 
Upande wa malawi linaitwa ziwa malawi(Malavi) na upande wa tanzania linaitwa ziwa nyasa na majina hayo yana maana yake kwa pande zote mbili ijapokuwa yanafanana kidogo kutokana na mwingiliano wa makabila yanayoishi ktk sehemu hizo.

Sisi hatuna ziwa kwa mujibu wa mkataba Article 2, Volume 5. Wilhelmine Germany and the First World War, 1890-1918
Anglo-German Treaty [Heligoland-Zanzibar Treaty] (July 1, 1890). MIPAKA YA TANGANYIKA NA NYASALAND NI KAMA HIVI: To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma. From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River. It then continues up that river to its intersection point with the 33rd degree of east longitude. The line continues along the river until its closest point with the border of the geographical Congo Basin as described in Article I of the Berlin Conference and marked on the map appended to its ninth protocol. From here the line runs directly to the previously described border, follows this to the point of intersection with the 32nd degree of east longitude, turns and continues directly to the meeting point of the northern and southern branches of the Kilambo River. It follows that river until it enters Lake Tanganyika. The course of the planned border has been specified in accordance with the map of the Nyasa Tanganyika Plateau that was officially drawn up for the British government in 1889.
 
hii inachanganya lakini inatakiwa busara katika kulishughulikia hii mana hyo mikataba hatima yake ni nn labda wanasheria mtusaidie
 
Hata mimi nakubaliana na hoja kwamba Ziwa Malawi au ziwa Nyasa kama sisi watanzania tunavyoliita, ni mali ya Malawi.
Kwamujibu wa mkataba (Anglo- German agreement); ambao ndio mkataba/sheria mama juu ya mipaka yetu,Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi, mpaka hapo mazungumzo ya ujirani yatakopofanyika!
 
Habari hiyo hata Mimi nimewahi kuisikia, hata ukiangalia Ramani ya ziwa hilo linaitwa Ziwa Malawi tofauti na hapo zamani tulipoliona kwenye ramani kama ziwa nyasa. Nashindwa kuelewa kwa dhati kama mpaka umegawanywa upya ama ndio yale yale ya kuambiwa kuwa Mlima Kilimanjaro upo Kenya.Inapaswa mipaka ya nchi yetu iwekwe wazi ili kutokuja kupoteza maeneo na Vivutio vyetu vya asili.

Mpaka wa Tanzania na Malawi una matatizo ya muda mrefu, nakumbuka mwaka 1978 kulikuwa na kurushiana risasi kati ya Majeshi ya Tanzania na Malawi, kwa siku mbili mfululizo kulikuwa na amri ya kutokuwasha Taa katika Mji wa kyela mkoani Mbeya, Kipindi hicho nilikuwa Mbeya, Mkuu wa Mkoa wa mbeya kwa Wakati Huo Mzee Richard Wambura alisema Mwl Nyerere ameamuru majeshi yetu yarudishe mapigo kama itaonekana Banda ataingiza majeshi Kyela. Serikali ya Banda ilikuwa inadai maeneo ya Matema Beach, Mto Songwe mpaka Ipinda yapo ndani ya Ardhi ya Malawi.

Sasa inawezekana kabisa tumelitoa kwa hiyari ziwa liwe upande wa Malawi nasi tumebakiwa na Bandari tupu ya Itungi,ambayo sasa nafikiri haina hata meli moja baada ya TACOSHILI kufa.
nyerere alikuw ana guts sana-hakuwa muoga-viongozi wa ssa waneno meng vitendo F-
BTW tukifwata sheria-ziwa ni la malawi-labda zitumike njia kujitetea
 
Mkuu Edward Teller Sijui umeitoa wapi thread hii muhimu ambayo tuliijadili hapa miaka mitano iliyopita,lakini leo imekuwa muhimu kuliko wakati tulipokuwa tunaijadili mwanzo.Suala hili nyeti la mpaka wa Tanzania na Malawi litatusumbua sana,kwa sababu tu,Viongozi wetu wanashindwa kulizungumza kwa undani wakalimaliza.Ukirejea Mkataba wa Heligoland wa mwaka 1890 hatuna haki yoyote na Ziwa Nyasa (Malawi) Ziwa hilo ni mali ya Malawi.

Katika Kikao cha Bunge cha July/2007 nakumbuka wakati huo Mbunge Mgeni Lazaro Nyalandu (Singida) alimuuliza Waziri anayehusika na mambo ya Utalii (Mwangunga (sp)) kwamba kwanini tusilitangaze Ziwa Nyasa kwa nguvu zote ili tuvutie Watalii Tanzania?...Inaonekana, Waziri alikuwa anajua ukweli wa kiihistoria kwa sababu alijibu kuwa, "tunalitangaza Ziwa kwa uwezo wetu,lakini pia eneo kubwa ya ziwa hilo lipo upande wa Malawi,aliendelea kusema,tuna makubaliano na Malawi ya kugawana mipaka nusu kwa nusu".Suala hili ni nyeti sana,na kama tusipolimaliza kisheria kutakuja kutokea ugomvi mkubwa kuhusu mpaka huu Muhimu.

Ukitembelea Wilaya ya Kyela (Naifahamu vizuri) Wazee wa Wilaya hiyo wanakwambia mpaka wa Tanzania na Malawi si Ziwa Nyasa bali ni Mto Songwe.Na mto huo upo ndani kabisa ya ardhi ya Tanzania.Miaka kadhaa ya nyuma wanavijiji waliokuwepo katika kingo za mto huo walikuwa wanalazimika kubadili uraia kutokana na kubadilika kwa njia ya mto kutokana na misimu ya mvua.Ni lini mpaka huu ulihama kutoka mto Songwe na kuwa katikati ya Ziwa Nyasa? Au wanavijiji wale wa Songwe walikuwa hawafahamu wapi umepita mpaka wao?Kama wanavijiji walio mpakani hawafahamu wapi unapita mpaka wao,nani atafahamu?

Hivi sasa Malawi ktk Utawala huu mpya wa Mama Joyce Banda wanataka kujua haswa ziwa Nyasa ni mali ya nani? baada ya kugundua hifadhi kubwa ya mafuta ndani ya ziwa hilo.Tumekuwa tunalalamika na wakati mwingine kuwa wababe kuhusu wapi upo mpaka.Malalamishi na Ubabe hautotufikisha popote,inapaswa suala hili lifuatiliwe mpaka mwisho wake,ili tujue kwa dhati wapi ipo mipaka yetu kisheria? Na isiwe kwa Lake Nyasa tu,tuiweke mipaka yetu wazi (Katika ramani za kijiografia) na kuweka katika rekodi za kiserikali kwa minajili ya kumbukumbu/ushahidi.

Nchi ya Botswana na Namibia nazo zilikuwa katika mgogoro mkubwa wa Visiwa vya Kesikili/sedudu,ambavyo vipo katika mto Kamuhende,Mgogoro wa visiwa hivi ulikuwepo toka mwishoni mwa miaka ya 1960,na Namibia walikuwa wanavimiliki visiwa hivi pamoja na kwamba Botswana walikuwa wanadai kuwa ni vya kwao.Botswana walipeleka shauri lao katika Mahakama ya usuluhishi ya UN (ICJ) na matokeo yake baada ya kuupitia mkataba wa Heligoland wa mwaka 1890 Visiwa hivyo mwaka 2000 viliamuliwa kuwa ni ardhi halali ya Botswana.Tanzania tumeshtakiwa The Hague,makao makuu ya ICJ na kutokana na mkataba ule wa Heligoland 1890,ni wazi kwamba tutalipoteza Ziwa Nyasa.Zifanywe juhudi za Makusudi kuzungumza na Malawi nje ya mahakama hizo,Ni wazi tukiweka nguvu ni rahisi kuwashauri/kuwashawishi Wamalawi ambao kwa miaka mingi walikuwa hawana matumizi makubwa na Ziwa hilo upande wa Tanzania.Tuendelee kuelimishana!
 
Katika angalia angalia yangu katika ramani zilizomwagwa hapa nimekuja kupata ufahamu kuwa ziwa hili lilikuwa na jina Lake Nyasa tangu enzi hizo, kisha kwa awamu tofauti tofauti nadhani ili kufanikisha dispute yenyewe likabadilishwa jina na kuitwa Lake Malawi. Nakumbuka hata ramani zililetwa hapa nchini ili ziweze kutumika mashuleni kusidi Wamalawi wajiridhishe uhalali wa kumiliki ziwa hili. Baada ya hapo sampo za kugawa rasmi ziwa ambayo hapo awali sisi inaonyesha tulimiliki ziwa lote kulingana na ramani mbili za mwisho inavyoonyeshwa zilifutwa. Nikirudi katika historia Nyerere alichukiwa sana na Waingereza ni dhahiri ufisadi ulifanyika
 
Sasa nashindwa hata kuelewa how things are anymore,revelation everyday so how many things we young have been kept in dark....so worried about the future of this country!!!
 
Wakubwa niwekeni sawa, nilikuwa nauliza Ziwa Nyasa ni Ziwa Nyasa au Ziwa Malawi? Na je, Kwanini Ziwa Victoria liendelee kuitwa Ziwa Victoria na si Ziwa Nyanza? Au ndio kuwaenzi watawala wetu wazungu?

Lake Nyasa or Lake Malawi?
The name of the lake itself is also disputed. Malawi claims the lake is named 'Lake Malawi' while international maps and other countries (most notably Tanzania) claim the name of the lake to be 'Lake Nyasa'. The origins of the dispute in the name have their background in geopolitical disputes that began prior to Malawi's independence in 1964, when it was previously known as Nyasaland.

Further complications emerged for different political reasons in the 1960s, when the then President Banda (of Malawi) became the only African leader to establish diplomatic relations with white South Africa. This was fiercely repudiated by other African leaders, including the then President Nyerere (of Tanzania). The contrasting attitudes and policies gave further impetus to disputes between the two governments, on the name of the lake itself, and the boundary between the two countries.

At present, the dispute between the two governments is largely dormant. Intergovernmental relations between Malawi and Tanzania are largely cordial.


Tanzania-Malawi dispute
The partition of the lake area between Malawi and Tanzania is disputed. Tanzania claims international borders through the lake along the lines of the borders between the German and British territories before 1914; Malawi, meanwhile, claims the whole non-Mozambican lake, including the waters next to the Tanzanian shore. The foundations of the dispute were set when the British colonial government, which had recently captured Tanganyika from Germany, put the water under the jurisdiction of Nyasaland without a separate administration for the Tanganyika portion. The dispute has led to conflicts in the past, though for several years Malawi has declined to enforce its claims to the disputed portion.

Occasional flare-ups in in the 1990s and in recent times have impacted fishing rights, particularly of Tanzanian's who reside on the lake shore, who have occasionally been accused of fishing in Malawian waters.
[h=1]Tanzania na Malawi zazozania nini?[/h]
Imebadilishwa: 22 Oktoba, 2012 - Saa 09:39 GMT



121022075317_lake_malawi_304x171_bbc_nocredit.jpg
Ziwa Malawi


Hali ya wasiwasi inatanda kati ya Malawi na Tanzania kuhusu mzozo wa mpakani ambao umekuwa ukitokota kwa miaka mingi lakini sasa umefika daraja ya juu katika wiki chache zilizopita.
Mzozo unahusu umiliki wa ziwa Malawi ambalo ni la tatu kwa ukubwa barani Afrika na ambalo linapakana na Malawi, Tanzania na Msumbiji.

[h=2]Taarifa zinazohusiana[/h]



Tangu miaka ya sitini, Tanzania na malawi zimekuwa zikizozana kuhusu umiliki wa ziwa hilo, lakini mzozo huu wa sasa umekuwa mbaya zaidi hasa ikizingatiwa ripoti za kupatikana gesi na mafuta katika ziwa hilo.
Msumbiji haijahusika kivyovyote na mzozo huu.
Nini hasa kinazozaniwa?
Fahari ya nchi na maswala ya kujiendeleza kiuchumi kwa Malawi na Tanzania kila mmoja akisimama kidete kusisitiza msimamo wake.
Kwa Tanzania, ziwa hilo linajulikana kama Nyasa, wakati nchini Msumbiji inajulikana kama Lago Niassa.
Malawi na Tanzania ni koloni za zamani za Uingereza wakati Msumbiji ilikuwa chini ya ukoloni wa Ureno. Uingereza iliichukua Tanzania kutoka kwa Wajerumani baada ya wao kushindwa katika vita vya kwanza vya dunia.
Kando na ripoti za kuwepo mafuta na gesi katika ziwa hilo, ziwa lenyewe ni kivutio kikubwa cha watalii.
Malawi inasema inashauriana na Msumbiji kuhusiana na uchimbaji wa mafuta katika siku za baadaye ili kuzuia mzozo wa kidiplomasia .
Je hii ni mara ya kwanza kwa mzozo huu wa ziwa Malawi kutokea?
Hapana. Mapema miaka ya sitini, Malawi ilidai umiliki wa ziwa hilo kwa kuambatana na makubaliano ya mwaka 1890 Heligoland kati ya Uingereza na Ujerumani ambayo yalisema kuwa mpaka kati ya nchi hizo uko upande wa Tanzania.
Makubaliano hayo yaliafikiwa na Muungano wa Afrika na Tanzania ikaitikia ingawa shingo upande. Mzozo mpya kati ya nchi hizo ukaripotiwa tena kati ya mwaka 1967 na 1968.
120409131529_jp_malawi304x171_nocredit.jpg
Rais Joyce Banda anataka Muungano wa Afrika kutatua mzozo wa ziwa Malawi


Nini chanzo cha mzozo huu wa hivi sasa?
Mwezi Septemba mwaka 2011, Malawi ilitoa leseni ya kuchimba mafuta kwa kampuni ya British Surestream Petroleum Limited. Sehemu iliyotolewa kwa uchimbaji wa mafuta ni sehemu yenye mraba wa kilomita 20,000 sehemu ambayo Tanzania inasema ni yake.
Vyombo va habari viliripoti mwezi Julai kuwa , mitumbwi ya wavuvi na ya watalii kutoka Malawi inavuka na kuingia upande wa Tanzania
Tanzania nayo ikasema kuwa itatafuta ushauri kutoka jamii ya kimataifa ikiwa nchi hizo hazitaweza kusuluhisha mzozo huo zenyewe.
Nchi hizo mbili zilifanya mkutano mwezi Julai mjini Dar es Salaam kuhusu mzozo wa mpaka
Tarehe 30 mwezi Julai, Tanzania, iliitaka Malawi kusitisha shughuli za kutafuta mafuta kwenye ziwa hilo hadi mzozo kati yao utakaposuluhishwa lakini maafisa wa Malawi wakasisitiza kuwa ziwa hilo lote ni la Malawi na kwamba hakuna sababu ya kusitisha shughuli zake za kutafuta mafuta
Tanzania ilisema kuwa ikiwa Malawi itaendelea na shughuli zake kutafuta mafuta itaathiri mazungumzo yanayoendelea kati ya nchi hizo mbili.
Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Bernard Membe alisema kuwa ikiwa Malawi haitafuata maagizo hayo, Tanzania itaiona hatua yake kama kitendo cha uvamizi.
Nini kimesababisha hofu ya hatua za kijeshi?
Hofu ya mzozo kutokota na kuwa mbaya zaidi ilijitokeza wakati Tanzania iliposema kuwa italinda mipaka yake na kuzingatia sheria za kimataifa.
121022075428_likoma_island_on_lake_malawi_304x171_bbc_nocredit.jpg
Kisiwa cha Likoma kwenye ziwa Malawi


Maafisa kutoka pande zote walikutana tena mjini Dar es tarehe 4 na 5 mwezi Agosti, lakini Malawi ilisisitiza kuwa haitasitisha shughuli zake za kutafuta mafuta
Waziri wa mambo ya kigeni wa Tanzania Membe alinukuliwa akisema katika taarifa yake kali kuwa watapambana na Malawi kijeshi.
Matamshi yake aliyatoa bungeni kulingana na taarifa kwenye mtandao wa The Guardian.
Mtandao wa Nyasa Times ulitoa taarifa kuonyesha kuwa kuna taharuki kati ya nchi hizo mbili kuhusu mpaka wa Ziwa , lakini waziri wa usalama wa ndani wa Malawi Uladi Mussa akasisitiza utulivu.
"Tunashauriana na serikali ya Tanzania na mambo yatakuwa sawa. Ikiwa hali itakuwa mbaya kesi hii tutaiwasilisha kwa mahakama ya kimataifa ya haki" alisema waziri huyo.
Mnamo tarehe 11 mwezi Agosti, Rais wa Malawi Joyce Banda alisema kuwa yuko tayari kufanya kila hali ikiwemo kujitolea maisha yake kwa sababu ya watu wa Malawi.
Watanzania wanaoishi karibu na ziwa hilo wakaanza kutoroka wakihofia vita.
Je kumekuwa na juhudi za kidiplomasia kumaliza mzozo huu?
Maafisa wa chi hizi mbili walikutana kati ya tarahe 20 na 25 mwezi Agosti, mjini Mzuzu,Kaskazini mwa Malawi, lakini Rais Banda akarejelea msimamo wake kuwa ni wazi kuwa Ziwa hilo ni la Malawi.
Wakati wa mkutano wa chi za ukanda wa Afrika Kusini (SADC),nchini Msumbiji, Rais Banda alikutana na mwenzake wa Tanzania Jakaya Kikwete, aliyekana kuwa nchi yake inajiandaa kwenda vitani na Malawi. Kikwete alisema kuwa matamshi kuhusu vita yalitolewa na wanasiasa wa upinzani ambao wana jazba.
Mjini Mzuzu mkutano uliisha bila maafikano. Siku chache baadye Rais Banda alisema kuwa mzozo huo utasuluhishwa katika mahakama ya kimataifa ya ICJ.
Malawi baadaye ilikosa kufika kwenye mkutano kati yake na Tanzania kati ya tarehe 10 na 15 Oktoba kulingana na mtandao wa The Citizen
121005174323_kikwete_gari_farasi_304x171_b_nocredit.jpg
Rais Jakaya Kikwete anataka mahakama ya kimataifa kuhuzu mizozo kutatua mzozo kati ya nchi yake na Malawi


Je Juhudi za kidipmomasia zimefanikiwa?
Hapana. Mwanzo Tanzania imepandisha mzozo huo kwenye daraja ya juu zaidi kwa kutoa ramani mpya inayoonyesha mpaka ulio katikati mwa ziwa Nyasa.
Afisaa mmoja kutoka wizara ya nyumba wa Tanzania amesema kuwa ramani hiyo inaondoa hali ya kutoelewana kwa kuonyesha mpaka unaozozaniwa.
Tarehe tatu mwezi Oktoba Rais Joyce Banda aliakhirisha mkutano kati ya nchi hizo mbili hadi Tanzania itakapojieleza kuhusu ramani hiyo.
Alimtuhumu Rais Kikwete kwa kumhadaa na kwamba anapanga kulipua mitumbwi ya Malawi katika ziwa hilo.
Kikwete alitangaza siku hiyo hiyo kuwa Tanzania itawasilisha kesi yake katika mahakama ya kimataifa ya mizozo.
Kwa upande wake Rais Banda ameutaka muungano wa Afrika kuingilia kati mozo huo.
Je mzozo huu ni kuhusu mpaka tu au kuna jengine?
 
Back
Top Bottom