Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

ACHA KUDANGANYA WATU, HISTORIA , WANA ALKEOLOJIA, VINAONESHA HAPAKUWAHI KUWEPO MSIKITI HAPO,

Eti malaika alijenga msikiti, wakati msikiti wa kwanza umejengwa baada ya kuja Muhamad, tena awali alikuwa anasali na wayahudi kwenye HEKALU la suleman, Alipotokewa na shetan, na kupewa UTUME WA UONGO, ndio mzozo na wayahudi ukaanza...

Maandiko ya Qur-an yanaonesha wazi kuwa kabla ya hapo hata Muhammad mwenyewe alikuwa akifuata kawaida za ibada alizofundishwa na Wayahudi.
-Wayahudi walikuwa na desturi ya kusali kwa kuangalia Yerusalemu, kawaida hii ndiyo iliyotawala maisha ya Muhammad kwa takriban zaidi ya mwaka mmoja na nusu naye alikuwa akiabudu kwa kuangalia Yerusalemu.
(Qur-an 2:144 fafanuzi uk 34)

Tukio la mwaka 610 BK ndilo lililoleta mabadiliko makubwa kwa Muhammad, mwaka huo ndio ambao Muhammad
alipokea mafunuo yake mapya katika mapango ya Jabal hilaa tofauti za kimafundisho, mwenendo, n.k zilianza
kuonekana katika maisha ya
Muhammad mara tu baada ya kuanza kupokea mafunuo hayo. (maisha ya Muhamadi uk 16 shekhe Farsy).


-Hilo lilimfanya Muhammad
kuanza kupingwa na wayahudi hao, Haswa sababu kuu ni pale Muhammad alipoanza kupinga mafundisho waliyompa kama vile., Kutotia mkazo wa Kiibada katika jengo lenye asili ya upagani Al-Kaaba. Qur-an 22:29 [27:9], na Kuanza tabia ya kutangaza imani mpya ya uislam na kuwa na mafundisho yaliyo onekana
kutofautiana na yale ya kibiblia(TANAKH).
Kutokana na mafunuo hayo mapya hoja kuu ya Wayahudi ilikuwa ni juu ya mashaka waliyonayo, kuwa mafunuo haya ya Muhammadihayakuwa ya kweli, Aya ifuatayo ya Qur-an inonyesha hilo.

Qur-an Al-Baarah 2:97 Ufafanuzi uk 24 aya 97 hapa wayahudi wanampinga Malaika Jibril amhaye ndiye aliyeleta mafunuo hayo kwa Muhammad.
Na Ibada ya ijumaa inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.


-Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika, Fuatilia katika aya
zifuatazo:

Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi. ,walihitirafiana na Muhammad na kurushiana maneno.

Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na
ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa
Yathrib (madina),ili apingane na WAYAHUDI, kumbuka awali alifata mila zao na alisali nao siku ya sabato(JUMAMOSI).

KUANZIA HAPO MUHAMMAD AKAPANDIKIZA CHUKI KWA WAFUASI WAKE DHIDI YA MYAHUDI, Quran imejaa Aya lukuki za kuwachukia wayahudi hasa.

Mungu ibariki ISRAEL ,Mungu wabariki Wayahudi


BIBLIA TAKATIFU INASEMA SIKU ZA MWISHO,WAYAHUDI WATAUTAMBUA UKRISTO NA KUUFATA


NI KWELI WAYAHUDI WANAUTAMBUA UKRISTO NA KUUFUATA NAMNA HII

Tel Aviv Declared World's Best Gay Travel Destination

read more:https://www.haaretz.com/israel-news/travel/tel-aviv-declared-world-s-best-gay-travel-destination1.406699


15_14_51_32.jpg



GAY BEACH PARTY IN TEL AVIV

Pride in Tel Aviv
 
Jibu hoja acha kuanzisha topic ndani ya nyingine.Israel ni makabila 12 sawa hata baba yako akiwa na watoto kumi wakifa wote akabaki mmoja haifanyi huyo alobaki kuwa si mtoto wa babako.Hivyo limebaki kabila 1 au mchanganyiko hao ni Israel isikusumbue.Na kuhusu mtume wa Mungu kuzaa haramu nayo isikusumbue biblia haipo kuficha ukweli Bali imeweka wazi tujifunze kupitia huo.Hivi Mohammed kuoa mtoto wa miaka Tisa ilikuwa halali.Na vipi kutembea na house girl wa mkwewe mpaka agombane na mkewe nayo halali? Kumnyonya ulimi mgonjwa nayo ilikuwa sawa ?na bado unamwita mtume?Wewe jibu hoja.Tafuta historia uislam umeanza lini,mwanzilishi nani, tafakari jiulize ulofundishwa madrasa yana kubaliana na historia yenyewe?Hilo ndo LA msingi.
dogo hizo propoganda zenu mbona hazina dalili yoyote. Mimi nakuambia wazi uislam umeanza toka kwa Adam mpaa kwa Mtume Mohamed. Hata Yesu hakuwa mkristo lini alisema yeye ni mkristo? Nakuliza swali wacha kukwepa Ibrahim alikuwa na. Miungu mitatu? Yakoub alikuwa na Miungu mitatu? Au Yesu? Hao walikuwa na Mungu mmoja tu sa vipi uwaite wakristo? Mkristo ana Miungu mitatu sa aliye leta miungu mitatu ni nani? Yesu au Paulo? Dogo rudi kaisome hio hio bibilia uone Yesu anasema Kanisa ni kitu gani? Afu uje hapa kuongea na wakubwa. Anae tembea na mavi hawezi kuwa sawa na mwenye udhu
 
Tatizo unafikiri Ukristo umeanza hewani kama uislam.Labda nikujulishe kidogo tu japo ni somo refu ni hivi ukizungumzia Ukristo unazungumzia wanaofuata mafundisho ya Yesu Kristo.Yesu alizaliwa kama myahudi na Wayahudi katika historia yao walipitia vipindi na nyakati tofauti.Na katika nyakati hizo walikuwa na wafalme,manabii na waamuzi mbalimbali ambao walikuwa wakiwaelekeza na kuwafundisha mapenzi ya Mungu aghalabu walitoa unabii kuhusu nyakati ambazo zingefuata.Sasa basi kila mmoja kwa nyakati zake walikuwa akiendeleza pale mwenzie alipoishia.Na walitoa unabii kuhusu kuzaliwa kwa Yesu ambae angetimiliza yote.Yaani baada ya Yesu wote wanatakiwa kumsikiliza na kufanya maagizo yake maana ndo utimilifu wa yote.Sasa basi hata leo akiwepo nabii au yeyote yule lazima tumpime na mafundisho ya Yesu.Hii ndo maana biblia INA mafundisho ya hao manabii na mwisho imehitimisha na mafundisho ya Yesu na mitume wake.Huu ndo Ukristo.Tunapokataa uislam tunamaanisha Mohammed angekuwa ametumwa na Mungu angefundisha mambo yasiyopingana na mafundisho ya Kristo.
Naona unazunguka wee unashindwa nipa jibu dogo sana Yesu lini alisema.ukristo ndio dini yake. Afu Yesu lini alisema kuna miungu mitatu sa anaye enda nyuma namafunzo ya Yesu ni Mtume Muhammad au wakristo? Wapi Yesu alisema bada yake hakuna tena Nabii au Mtume baada yake. Usilete story za.kutungwa leta alio ongea Yesu kwenye.kinywa chake.
 
Dogo wacheni kelele Masjid AL Quds ulijengwa na Malaika na badae Mwenyezi Mungu akamuamrisha Nabii Ibrahim ahame kutoka Iraq kwenda ardhi ya Kinaani na ardhi ya Kinaani ni ardhi ya kiarabu ambao ni wa Palastna. Mke wa Nabii Ibrahim alipokufa Sara. Nabii Ibrahim ilibidi anune ardhi ya kumzika mke wake. Kuhama kwa Nabii Ibrahim kutoka Iraq kunaonyesha wazi kabisa si kila anaye hama akienda kwingine anapewa haki ya kuwa mwenyeji wa pale. Kila Ardhi au nchi inawatu wake. Ingekuwa vile basi Nabii Ibrahim asinge nunua ardhi ya kumzika mke wake Sara, kasomeni history mjue kwanza sio mnapurukuta tu na kuongea kama walevi. Nabia Suleiman alikuja ujenga msikiti baada ya kuwa umebolewa kama alivyo ujenga Nabii Ibrahim bada ya Malaika wa Mungu kujenga na kubomolewa. Lazima mfahamu wazi Qibla ya kwanza ya waislam ilikuwa pale Jeruselam ambayo tunaita Al Qudis.Msilete za kuleta hapa eti wamasai warudi Ethopia na Wagoni warudi South Africa. Wapeni bas Warabu Zanzbar kama ni vile
malaika? how and who?
masjid ilijengwa baada ya ottoman kuvamia jerusalem hebu kasome vizuri
 
malaika? how and who?
masjid ilijengwa baada ya ottoman kuvamia jerusalem hebu kasome vizuri
Hao ma turky othman walivamia lini? Na Ibrahim alienda lini Kinaan we ndio kasome vizuri history kwanza. Nikiwaeleza watu wanao sema kuna miungu mitatu haziwatoshi, hizi ndio dalili wazi kabisa.
Nabii Ibrahim wapi na wapi wakati wake na hao ma Turky Othman. We unaleta story wakati kulikuwa na story kabla yake.
 
Mjadala wa huu nimeupenda mno ila sjaelewa kwaiyo Palestine inadai Jerusalem ni mji wao?
 
Heshima kwako...
Kwanza niseme kuwa wayahudi sio wakristo (baadhi ni wakristo) pili Uyahudi ni dini kongwe kuliko ukristo. Ukristo umeletwa na Yesu Kristo (wafuasi wa Kristo)

Ila wakristo na Wayahudi huamini katika Mungu mmoja, zaidi Biblia takatifu kimewahasa wakristo na watu wote "ATAKAYE IBARIKI ISRAELI NA YEYE NITAMBARIKI, ATAKAYEMLAANI ISRAELI NA MIMI NITAMLAANI" hayo ni maneno ya Mungu aliye hai.

Sasa basi kwa mkristo anayelijua neno ni lazima aibariki /kuitakia mema/kuiombea mema Taifa la Israeli.

Nawe kwako heshima,

Sasa unasema kama wanaamini Mungu Mmoja , si wangekuwa na dini moja ama vipi hapo mkuu ? Au ndo ile nadharia ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu wanaamini huyó huyó ? Kwani kuna baadhi ya Mitume ni wale wale kwenye hizo dini.
 
Mi mbona nilishaacha kubishana na hawa vilaza..hujui dini yako imeanzishwa lini, Nani kaanzsha dini na bado unajifanya kujua..af unakuja na kalenda yako..Lakin hujui imeanza kuhesabu lini..Anzeni na elimu dunia kwanza nadhan itawasaidia kuelewa elimu akhera..tatzo waislam wengi hamjaenda shule.
Lugha unayotumia ya kiswahili,imeanzishwa na waislamu,watu wa Pwani,kupitia waarabu,namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,zinaitwa namba za kiarabu,waarabu waislamu ndio wamezisambaza duniani.Chuo Kikuyu cha kwanza duniani kimeanzishwa na mwanamke wa kiislamu,Morocco,halafu wajidanganya,waislamu hawakwenda shule.
 
Kwanza tuanze na mwaka wa 1948 ambao Israel ilitanganzwa kuwa taifa. Ukiangalia haraka haraka utagundua kuwa tamko la Rais Trump kuwa Yerusalem ni Mjii mkuu wa Israel laweza kuwa la kinabii, maana limetamkwa siku chache kabla ya kuingia 2018. Ikimaanisa 2017 kutoa 1948 ni miaka 70.

Je, miaka 70 maana yake nini Kibilia?

UNABII WA KWANZA:
“Kwa sababu [Waisraeli] hamkuyatii maneno yangu [Mungu], tazama, ninatuma . . . Nebukadreza mfalme wa Babiloni, . . . , nami nitawaleta wao [Wababiloni] juu ya nchi hii na juu ya wakaaji wake . . . Na nchi hii yote itakuwa mahali palipoharibiwa, kitu cha kushangaza, na mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babiloni miaka 70.”—Yeremia 25:8-11.

UTIMIZO:
Baada ya kulizingira jiji hilo kwa muda mrefu, Nebukadneza alilipora na kuliharibu Yerusalemu katika mwaka 607 K.W.K. Pia aliyashinda majiji mengine ya Yudea, kutia ndani Lakishi na Azeka. (Yeremia 34:6, 7) Aliwahamisha waokokaji wengi na kuwapeleka Babiloni ambako walikaa wakiwa mateka kwa miaka 70.

Historia inafunua nini?
● Biblia inaonyesha kwamba Nebukadneza ndiye aliyekuwa mfalme wa Babiloni karibu na wakati ambapo Yerusalemu liliharibiwa. Vitu vya kale vilivyochimbuliwa vinaunga mkono kile ambacho Biblia inasema kuhusu kuwapo kwake. Jiwe fulani la shohamu lililo na mchongo limewekwa huko Florence, Italia. Sehemu fulani ya maandishi yaliyo juu ya jiwe hilo yanasema hivi: “Kwa heshima ya Merodaki, bwana wake, Nebukadneza, mfalme wa Babiloni, alipokuwa hai aliagiza hili lijengwe.” Nebukadneza alitawala kuanzia mwaka wa 624 hadi 582 K.W.K.
● Kitabu The Bible and Archaeology kinasema kwamba mambo yafuatayo yamethibitishwa baada ya eneo la Lakishi kuchimbuliwa na kufanyiwa uchunguzi: “Uharibifu wa mwisho ulikuwa wenye jeuri, na moto ulioharibu jiji [Lakishi] ulikuwa mkali sana hivi kwamba mawe ya chokaa yaligeuzwa kuwa ungaunga wa chokaa.”

UNABII WA PILI:
“Kupatana na kutimia kwa miaka 70 katika Babiloni [mimi Mungu] nitawakazia ninyi fikira [Wayahudi walio uhamishoni], nami nitawatimizia neno langu jema kwa kuwarudisha tena mahali hapa [nchi ya Yuda].”—Yeremia 29:10.

UTIMIZO:
Baada ya miaka 70 ya uhamisho, kuanzia 607 hadi 537 K.W.K., Mfalme Koreshi wa Uajemi aliwaachilia Wayahudi waliokuwa utekwani na kuwaruhusu warudi nyumbani kwao ili wakajenge upya hekalu huko Yerusalemu.—Ezra 1:2-4.
Historia inafunua nini?

● Je, Waisraeli waliendelea kuwa mateka Babiloni kwa miaka 70 kama Biblia ilivyotabiri? Hebu ona maelezo ya Ephraim Stern, ambaye ni mmoja wa wataalamu wakuu wa wachimbuaji wa vitu vya kale nchini Israel. “Kuanzia mwaka wa 604 K.W.K. hadi 538 K.W.K.—hakuna uthibitisho unaoonyesha kuwa kuna mtu aliyeishi nchini Israeli. Wakati huo, hakuna hata mji mmoja ulioharibiwa na Wababiloni unaoonekana kuwa ulikuwa na watu.” Kipindi hicho ambacho hakukuwa na mtu katika eneo lililoshindwa kinapatana sana na uhamisho wa Waisraeli kupelekwa Babiloni kuanzia 607 hadi 537 K.W.K.—2 Mambo ya Nyakati 36:20, 21.

Baada ya utawala wa Sulemani, taifa la Israeli likagawanyika sehemu mbili. Makabila kumi ya kaskazini waliitwa "Israel," na wao walidumu miaka 200 kabla ya hukumu ya Mungu kwa ajili ya ibada yao. Asiria ikatwaa Israeli kama watumwa karibu 721 BC. Makabila mawili katika kusini yaliitwa "Yuda," na wao walidumu muda mrefu kidogo, lakini hatimaye, pia, wakageuka kutoka kwa Mungu. Babeli aliwachukua mateka 600 BC

Miaka 70 baadaye, Mungu kwa neema aliwaleta mabaki ya wafungwa nyumbani kwa nchi yao wenyewe. Yerusalemu, mji mkuu, ulijengwa upya karibu 444 BC, na Israeli kwa mara nyingine tena ikawa na urahia wa taifa.

Kubomolewa kwa hekalu: Yesu alisema katika Mathayo 24:2, "...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa". Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.Hekalu lilikuja kubomolewa miaka 70 AD.
329e13217ed2cf8ac84087ee7a39418d.jpg


Na sasa eneo hilo lilipokuwepo hekalu limejengwa msikiti wa alqsa. ,Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,

Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,

Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.

MUNGU kupitia Nabii isaya miaka 2700 iliyopita alinena haya juu ya Taifa la wayahudi(ISRAELI)

ISAYA 14

"1 Maana Bwana atamhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye atawaweka katika nchi yao wenyewe; na mgeni atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.

2 Na hao mataifa watawatwaa na kuwaleta mpaka mahali pao wenyewe, na nyumba ya Israeli watawamiliki, na kuwafanya watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana; nao watawachukua hali ya kufungwa watu wale waliowafunga wao, nao watawamiliki watu wale waliowaonea"

KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU, biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo ,AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.
Muhammad hakuleta uislamu kijana naomba usome vitabu vizuri alichokuja kufanya yy ni kuuendeleza na kuusambaza zaidi kwa walimwengu wote kwani yy ndo mtume wa mwisho.
 
Wapi katika maandika matakatifu ya Quran inasema neno Palestine
Kuwa ndio aridhi yao
Kwa taarifa yako Quran yote haijataja atasemehumu mmoja neno Palestine
Pia angalia manabii na mitume wakubwa wale 24
Wengi ni waisraeli
Inaonyesha jinsi gan ume crame manabii 24 hivi unajua tofauti ya mtume na nabii
 
Mi nafikiri ungeleta ushahidi kuwa uislam haukuletwa na Mohammad maana ukweli tunaojua ni mwanzilishi wa uislam ni Mohammed hata historia inaonesha.
Kama uislamu ungeanzishwa na Mtume Muhammad,asingewaunga mkono mitume waliyopita,kuanzia Adam mpaka Yesu, na vilvile asingesema Ibrahimu ndio baba WA Imani wa uislamu.Angewapinga au asingewataja Mitume iliyopita.Angalia mifumo ifuatayo:
1:Ubudha,hawataji habari za mitume iliyopita,hata Yesu hawamtaji wala hawamtambui.
2:Hinduism,hawa hawataji mitume iliyopita,wala Yesu,hawamtamhui.
3:Sikhism ,hawawatambui mitume iliyopita na hata Yesu hawamtambui nk
 
Back
Top Bottom