Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

KWA KUBWA WAMEFUZU

pope-benedict-georg-ganswein-gay-lovers.jpg

Wazee wa Kanisa Katoliki wamefuzu katika kufundisha akina Yayo Agassi

https://nypost.com/2014/02/05/un-vatican-allowed-rape-molestation-of-children/
huyu
d2f67b5953eac6cc485d9fb3cfb28af5.jpg
hana sifa ya kuwa mtume wa Mwenyezi ilaha
al.jpg
hapo amejaa wala sina neno onadalili
pmm-necrophilia.jpg
 
wacha kupotezea wapi Mungu kamtuma Muhammad mtoto wa abd allah

Nani kamtuma Pope Francis kumbadilisha masomo ya filosofia kijana Yayo Agassi na kumfundisha ushoga
 
kwani kakutangazia yeye mtume wee vipi acha ulozi wewe
 
Hii mada imajaa wafuatao

1÷ WAISLAM WALIOKUBUHU KATIKA MASOMO YA KIKRISTO KULIKO YA KIISLAM

2÷ WAKRISTO WALIOKUBUHU KATIKA ELIMU YA KIISLAM NA QURAN KULIKO UKRISTO NA BIBLIA YENYEWE.

Wenzangu na mie tubaki kiwa washabiki na washangiliaji

MPAMBANO HUU HAUTOKAA UISHE MPAKA YESU ARUDI KWA WAKRISTO NA SIKU YA KIAMA IWAFIKIE WAISLAM.
 
Unajifanya hujui kuwa yeye mumemfanya kuwa zaidi ya mtume??
nimekuuliza wapi Pope amejitangaza yeye ni mtume wa umma huu kama alivyo jitangaza muhammad mtoto waabd allah toka kilingeni uje ujibu
 
Kwanza tuanze na mwaka wa 1948 ambao Israel ilitanganzwa kuwa taifa. Ukiangalia haraka haraka utagundua kuwa tamko la Rais Trump kuwa Yerusalem ni Mjii mkuu wa Israel laweza kuwa la kinabii, maana limetamkwa siku chache kabla ya kuingia 2018. Ikimaanisa 2017 kutoa 1948 ni miaka 70.

Je, miaka 70 maana yake nini Kibilia?

UNABII WA KWANZA:
“Kwa sababu [Waisraeli] hamkuyatii maneno yangu [Mungu], tazama, ninatuma . . . Nebukadreza mfalme wa Babiloni, . . . , nami nitawaleta wao [Wababiloni] juu ya nchi hii na juu ya wakaaji wake . . . Na nchi hii yote itakuwa mahali palipoharibiwa, kitu cha kushangaza, na mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babiloni miaka 70.”—Yeremia 25:8-11.

UTIMIZO:
Baada ya kulizingira jiji hilo kwa muda mrefu, Nebukadneza alilipora na kuliharibu Yerusalemu katika mwaka 607 K.W.K. Pia aliyashinda majiji mengine ya Yudea, kutia ndani Lakishi na Azeka. (Yeremia 34:6, 7) Aliwahamisha waokokaji wengi na kuwapeleka Babiloni ambako walikaa wakiwa mateka kwa miaka 70.

Historia inafunua nini?
● Biblia inaonyesha kwamba Nebukadneza ndiye aliyekuwa mfalme wa Babiloni karibu na wakati ambapo Yerusalemu liliharibiwa. Vitu vya kale vilivyochimbuliwa vinaunga mkono kile ambacho Biblia inasema kuhusu kuwapo kwake. Jiwe fulani la shohamu lililo na mchongo limewekwa huko Florence, Italia. Sehemu fulani ya maandishi yaliyo juu ya jiwe hilo yanasema hivi: “Kwa heshima ya Merodaki, bwana wake, Nebukadneza, mfalme wa Babiloni, alipokuwa hai aliagiza hili lijengwe.” Nebukadneza alitawala kuanzia mwaka wa 624 hadi 582 K.W.K.
● Kitabu The Bible and Archaeology kinasema kwamba mambo yafuatayo yamethibitishwa baada ya eneo la Lakishi kuchimbuliwa na kufanyiwa uchunguzi: “Uharibifu wa mwisho ulikuwa wenye jeuri, na moto ulioharibu jiji [Lakishi] ulikuwa mkali sana hivi kwamba mawe ya chokaa yaligeuzwa kuwa ungaunga wa chokaa.”

UNABII WA PILI:
“Kupatana na kutimia kwa miaka 70 katika Babiloni [mimi Mungu] nitawakazia ninyi fikira [Wayahudi walio uhamishoni], nami nitawatimizia neno langu jema kwa kuwarudisha tena mahali hapa [nchi ya Yuda].”—Yeremia 29:10.

UTIMIZO:
Baada ya miaka 70 ya uhamisho, kuanzia 607 hadi 537 K.W.K., Mfalme Koreshi wa Uajemi aliwaachilia Wayahudi waliokuwa utekwani na kuwaruhusu warudi nyumbani kwao ili wakajenge upya hekalu huko Yerusalemu.—Ezra 1:2-4.
Historia inafunua nini?

● Je, Waisraeli waliendelea kuwa mateka Babiloni kwa miaka 70 kama Biblia ilivyotabiri? Hebu ona maelezo ya Ephraim Stern, ambaye ni mmoja wa wataalamu wakuu wa wachimbuaji wa vitu vya kale nchini Israel. “Kuanzia mwaka wa 604 K.W.K. hadi 538 K.W.K.—hakuna uthibitisho unaoonyesha kuwa kuna mtu aliyeishi nchini Israeli. Wakati huo, hakuna hata mji mmoja ulioharibiwa na Wababiloni unaoonekana kuwa ulikuwa na watu.” Kipindi hicho ambacho hakukuwa na mtu katika eneo lililoshindwa kinapatana sana na uhamisho wa Waisraeli kupelekwa Babiloni kuanzia 607 hadi 537 K.W.K.—2 Mambo ya Nyakati 36:20, 21.

Baada ya utawala wa Sulemani, taifa la Israeli likagawanyika sehemu mbili. Makabila kumi ya kaskazini waliitwa "Israel," na wao walidumu miaka 200 kabla ya hukumu ya Mungu kwa ajili ya ibada yao. Asiria ikatwaa Israeli kama watumwa karibu 721 BC. Makabila mawili katika kusini yaliitwa "Yuda," na wao walidumu muda mrefu kidogo, lakini hatimaye, pia, wakageuka kutoka kwa Mungu. Babeli aliwachukua mateka 600 BC

Miaka 70 baadaye, Mungu kwa neema aliwaleta mabaki ya wafungwa nyumbani kwa nchi yao wenyewe. Yerusalemu, mji mkuu, ulijengwa upya karibu 444 BC, na Israeli kwa mara nyingine tena ikawa na urahia wa taifa.

Kubomolewa kwa hekalu: Yesu alisema katika Mathayo 24:2, "...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa". Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.Hekalu lilikuja kubomolewa miaka 70 AD.
329e13217ed2cf8ac84087ee7a39418d.jpg

Na sasa eneo hilo lilipokuwepo hekalu limejengwa msikiti wa alqsa. ,Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,

Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,

Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.

MUNGU kupitia Nabii isaya miaka 2700 iliyopita alinena haya juu ya Taifa la wayahudi(ISRAELI)

ISAYA 14

"1 Maana Bwana atamhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye atawaweka katika nchi yao wenyewe; na mgeni atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.

2 Na hao mataifa watawatwaa na kuwaleta mpaka mahali pao wenyewe, na nyumba ya Israeli watawamiliki, na kuwafanya watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana; nao watawachukua hali ya kufungwa watu wale waliowafunga wao, nao watawamiliki watu wale waliowaonea"

KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU, biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo ,AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.
uko kweli ila unachanganya Ya kaisari na Mungu,,, Kiroho na kimwili
 
Yohana 16:2-3 'Saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anatolea Mungu sadaka. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala Mimi'. Dini inayoua wengine kwa imani kuwa ni ibada haitokani na Baba.
 
Sa ibada inatoka kwa nani? Kama si Baba. Ujinga wa bibilua ndo huo
 
kijana una maradhi gani upewe dawa sawia allah amekuagiza uiamini Biblia
IMG_20171213_175428_373.jpg
kweli wazimu ni fani ndio sababu allah amesha wahukumia wafuasi wa muhammad woote jehannam
19-surah-maryam-mary-72-728.jpg
muhammad-the-false-prophet-1.jpg
 
nimekuuliza wapi Pope amejitangaza yeye ni mtume wa umma huu kama alivyo jitangaza muhammad mtoto waabd allah toka kilingeni uje ujibu

Pope mumempa cheo zaidi ya mtume kataa

Sasa tuambie nani alimpa amri pope Francis ya kumbadilisha masomo shoga Yayo Agassi kutoka filosofia kwenda ushoga??
 
Yohana 16:2-3 'Saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anatolea Mungu sadaka. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala Mimi'. Dini inayoua wengine kwa imani kuwa ni ibada haitokani na Baba.

Kumbe kuna Baba mbali na Yesu mbali ??
 
Huwezi kuielewa biblia kama unaona imejaa ujinga. Utaielewa siku ya kiama.

Unaongelea biblia ipi??? Queen James version ?? King James version?? NIV,RSV??????Douay?? Au maelfu ya Bibilia tofauti???
 
hili swali lako unarudia rudia ukijiona mjuzi kumbe hujui kwamba hujui nilikujibu tuwekee toleo moja tu linalo pingana na Amri.10.za Mwenyezi kama koloani inavyo zipinga..
 
Back
Top Bottom