Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Heshima kwako...
Kwanza niseme kuwa wayahudi sio wakristo (baadhi ni wakristo) pili Uyahudi ni dini kongwe kuliko ukristo. Ukristo umeletwa na Yesu Kristo (wafuasi wa Kristo)

Ila wakristo na Wayahudi huamini katika Mungu mmoja, zaidi Biblia takatifu kimewahasa wakristo na watu wote "ATAKAYE IBARIKI ISRAELI NA YEYE NITAMBARIKI, ATAKAYEMLAANI ISRAELI NA MIMI NITAMLAANI" hayo ni maneno ya Mungu aliye hai.

Sasa basi kwa mkristo anayelijua neno ni lazima aibariki /kuitakia mema/kuiombea mema Taifa la Israeli.

Israel anayesemwa hapa ni YAKOBO mwenyewe na siyo mwanae wala mjukuu wake wala kitukuu chake achilia mbali wale wenye kufanya udhalimu hapo middle east leo hii.

Hiyo verse unayoileta haina tofauti na Andiko linalosema atakayembariki Abraham nami nitambariki, Hii inaishia kwa Abraham mwenyewe haimaanishi eti kuvibariki vitukuu na vilembwe vyake pia ni kumbariki Abraham
 
kuna uwezekano mwenye aliandika Qur'an aliandika kinyume na biblia kabsaa.....
 
Dogo wacheni kelele Masjid AL Quds ulijengwa na Malaika na badae Mwenyezi Mungu akamuamrisha Nabii Ibrahim ahame kutoka Iraq kwenda ardhi ya Kinaani na ardhi ya Kinaani ni ardhi ya kiarabu ambao ni wa Palastna. Mke wa Nabii Ibrahim alipokufa Sara. Nabii Ibrahim ilibidi anune ardhi ya kumzika mke wake. Kuhama kwa Nabii Ibrahim kutoka Iraq kunaonyesha wazi kabisa si kila anaye hama akienda kwingine anapewa haki ya kuwa mwenyeji wa pale. Kila Ardhi au nchi inawatu wake. Ingekuwa vile basi Nabii Ibrahim asinge nunua ardhi ya kumzika mke wake Sara, kasomeni history mjue kwanza sio mnapurukuta tu na kuongea kama walevi. Nabia Suleiman alikuja ujenga msikiti baada ya kuwa umebolewa kama alivyo ujenga Nabii Ibrahim bada ya Malaika wa Mungu kujenga na kubomolewa. Lazima mfahamu wazi Qibla ya kwanza ya waislam ilikuwa pale Jeruselam ambayo tunaita Al Qudis.Msilete za kuleta hapa eti wamasai warudi Ethopia na Wagoni warudi South Africa. Wapeni bas Warabu Zanzbar kama ni vile
Waarabu wamekudanganya mkuu
 
Israel anayesemwa hapa ni YAKOBO mwenyewe na siyo mwanae wala mjukuu wake wala kitukuu chake achilia mbali wale wenye kufanya udhalimu hapo middle east leo hii.

Hiyo verse unayoileta haina tofauti na Andiko linalosema atakayembariki Abraham nami nitambariki, Hii inaishia kwa Abraham mwenyewe haimaanishi eti kuvibariki vitukuu na vilembwe vyake pia ni kumbariki Abraham
uislam unapotosha wengi na ujue Jerusalem inayoongelewa katika new testament sio ile tunayoiona mashariki ya kati
 
Lete ushahidi kuwa waisrael wa leo ni vizazi halisi vya Yakobo!

Tunajua vizazi vya Yakobo ni wana kumi na wawili, Je Waisrael wa leo ni kabila gani katika zile 12 za wana wa Israel?, lete ushahidi
Kabla ya kuulizia ushahidi wa kuthibitisha hilo, maana unaamini kuwa Yakobo yupo, basi anza kutoa ushahidi juu ya kupotea kizazi cha Yakobo na kuthibitisha kuwa hawa wanaoitwa waisrael siyo ukitoa asili na uongo wap wa kujipachika uisrael.

Je, wewe sasa hivi unaweza kututhibitishia babu yako kizazi cha 10, kwa kututajia ata jina tuu. Be careful usiulize maswali yakijinga.
 
kubwabwaja kunasaidia kutangaza ujinga wako..nani anamiliki uislam?..unaweza kuleta ushahidi kwamba uislam uliletwa na Muhammad?
Mi nafikiri ungeleta ushahidi kuwa uislam haukuletwa na Mohammad maana ukweli tunaojua ni mwanzilishi wa uislam ni Mohammed hata historia inaonesha.
 
Hivi dogo hujui kuwa bani Israel ni makibila 12 sa si bani Israel wote ni Wayahudi. Afu nyie mnasema Yakoub ndio Israel alipigana na Malaika wa Mungu hivi kitabu chenu ni cha mlevi au mvuta bangi? Mtume wa Mungu apigane na Malaika wa Mungu afu amshinde vita, afu abadilishwe jina hahaha. Kweli wakristo mnakazi kufahamu. Huwezi kujuwa kama uislam ni dini walio kuja nao Mitume wote. Sababu bibilia inasema Malaika wa Mungu kapigwa na Mtume wa Mungu. Kweli wafuasi wa shetani ni mashetani tu. Hata Mtume Ibrahim mlisema kazaa haramu. Yani kitabu cha Mungu kiseme Nabii wa Mungu kazini basi hicho kitakuwa si kitabu cha Mungu sababu Manabii Hawazini wala Hawawezi kupigana na Malaika
Jibu hoja acha kuanzisha topic ndani ya nyingine.Israel ni makabila 12 sawa hata baba yako akiwa na watoto kumi wakifa wote akabaki mmoja haifanyi huyo alobaki kuwa si mtoto wa babako.Hivyo limebaki kabila 1 au mchanganyiko hao ni Israel isikusumbue.Na kuhusu mtume wa Mungu kuzaa haramu nayo isikusumbue biblia haipo kuficha ukweli Bali imeweka wazi tujifunze kupitia huo.Hivi Mohammed kuoa mtoto wa miaka Tisa ilikuwa halali.Na vipi kutembea na house girl wa mkwewe mpaka agombane na mkewe nayo halali? Kumnyonya ulimi mgonjwa nayo ilikuwa sawa ?na bado unamwita mtume?Wewe jibu hoja.Tafuta historia uislam umeanza lini,mwanzilishi nani, tafakari jiulize ulofundishwa madrasa yana kubaliana na historia yenyewe?Hilo ndo LA msingi.
 
Mimi nakuliza swali moja wewe na wakristo wote wakusaidie. Nani aliye leta dini ya ukristo? Je ni Nabii Ibrahim? Je ni Nabii Musa? Je ni Nabii Yakoub au Yesu? Nipe dalili zako wapi hao walisema dini yao ni ukristo na mfate ukristo. Kama huna kubali tu ukristo ni dini ya yule shetani wenu Paulo full stopped.
Tatizo unafikiri Ukristo umeanza hewani kama uislam.Labda nikujulishe kidogo tu japo ni somo refu ni hivi ukizungumzia Ukristo unazungumzia wanaofuata mafundisho ya Yesu Kristo.Yesu alizaliwa kama myahudi na Wayahudi katika historia yao walipitia vipindi na nyakati tofauti.Na katika nyakati hizo walikuwa na wafalme,manabii na waamuzi mbalimbali ambao walikuwa wakiwaelekeza na kuwafundisha mapenzi ya Mungu aghalabu walitoa unabii kuhusu nyakati ambazo zingefuata.Sasa basi kila mmoja kwa nyakati zake walikuwa akiendeleza pale mwenzie alipoishia.Na walitoa unabii kuhusu kuzaliwa kwa Yesu ambae angetimiliza yote.Yaani baada ya Yesu wote wanatakiwa kumsikiliza na kufanya maagizo yake maana ndo utimilifu wa yote.Sasa basi hata leo akiwepo nabii au yeyote yule lazima tumpime na mafundisho ya Yesu.Hii ndo maana biblia INA mafundisho ya hao manabii na mwisho imehitimisha na mafundisho ya Yesu na mitume wake.Huu ndo Ukristo.Tunapokataa uislam tunamaanisha Mohammed angekuwa ametumwa na Mungu angefundisha mambo yasiyopingana na mafundisho ya Kristo.
 
Mi nafikiri ungeleta ushahidi kuwa uislam haukuletwa na Mohammad maana ukweli tunaojua ni mwanzilishi wa uislam ni Mohammed hata historia inaonesha.
historia inayosema binaadam alikua nyani kanyumbulika had Leo kuwa bishoo na daktari wa nyani!?..uislam ni imani juu ya mungu mmoja asie na ushirika katika uungu wake na yeyote,muumba wa kila kitu,kuamini maisha baada ya kifo,kuamini alituma wajumbe/mitume...
 
angalia WAYAHUDI "Weusi wanachofanywa Israel

Israel Deports African Jew With Valid Visa Hours After Landing at Ben-Gurion Airport

The Ministry of Interior cites concerns that 31-year-old convert 'would stay here.' Conservative movement leader: Deportation 'is act of racism'
3322555308.png

An African convert to Judaism, who had obtained permission to study at a yeshiva run by the Conservative movement in Jerusalem, was deported on Monday morning after being detained at Ben-Gurion International Airport overnight.

Francis Kimani (“Yehuda”) Njogu, a 31-year-old citizen of Kenya, was turned away even though he had a valid three-month tourist visa to Israel, signed by Israel’s ambassador in Nairobi Noah Gal Gendler.

Njogu's conversion to Judaism, about 10 years ago, was overseen by the rabbi of the Abayudaya community in Uganda. The Abayudaya community split from Christianity in the early 20th century when its members began identifying as Jews and observing Jewish laws and customs. Last year, the Jewish Agency ruled that the Abayudaya are a recognized Jewish community.

After he converted, Njogu spent a year living among the Abayudaya. Currently a student in Nairobi, he spent a semester several years ago at the Brandeis Summer Institute in Los Angeles studying Judaism.

Earlier this year, Njogo put in a request for a three-month tourist visa to Israel, indicating in his application that he intended to study and travel in the country. His application was denied by the Ministry of Interior.

Last month, he reapplied, this time directly through the Israeli Embassy in Nairobi, where he explained that he had been accepted to a study program at the Conservative yeshiva. An embassy official contacted the yeshiva to confirm that he had, indeed, been accepted. About 10 days ago, Njogo was informed that his visa had been approved and that he should come to the embassy to pick up his passport. The visa, which contains the stamp of the Israeli ambassador to Kenya, states that the purpose of his visit is to study at the Conservative yeshiva.

A prominent member of the Conservative movement in Israel had agreed to pay for this flight, accommodations and tuition, and put up bond money guaranteeing that Njogu would return when his visa expired.

After he was detained late Sunday night, Njogo was denied contact with his sponsors in Israel.

Rabbi Andy Sacks, director of the Conservative movement’s Rabbinical Assembly in Israel, described the deportation as “an act of outright racism.”

“Let’s be honest,” he said. “He was not let into the country because he was black, and this is not the first time our converts from Africa have been given the run-around.”

Asked for comment, a spokeswoman for the Ministry of Interior said that Njogo didn’t bother informing the Israeli embassy, when he requested the visa a second time, that he had already been denied a visa. She said he was not allowed into Israel “both because of that initial refusal and because of concerns that he would stay here.”

Sacks responded that the embassy had to have known about the initial refusal because he himself had called to complain about it.

“What the Ministry of Interior says is completely and totally false," said Sacks, "and even if it were true, it’s no reason to keep him out of the country.”

source:

Israel deports African Jew with valid visa hours after landing at Ben-Gurion airport
 
ukisikia waislam wanampiga mawe shetani kule Makkah fahamu kua wanaadhimisha Ibrahim alivokua akimfukuza shetani aliekua akimshawishi asimtoe kafara mwanae kama alivoagizwa na m/mungu
Hivi shetani hupigwa kwa mawe?
 
Utambua kwenye huo msikiti wapalestina wanacheza Mpira,wanafanya ndio sehemu ya picnic,pia hapo ndipo fujo huazia
Umeyaona mawe,wanayoyarundika ndani ya msikiti,nawanavyouaribu ndani
Sasa ingekuwa nyumbani inayoheshimiwa ya Mwenyenzi Mungu mkuu kwanini wanafanya hivyo

NI KWELI KWANI WAYAHUDI WANAFANYA IBADA HII AMBAYO PIA HUFANYWA NA WAKRISTO HATA MAKANISANI

  • Participants march in Jerusalem’s 16th Gay Pride Parade August 3, 2017.
5984d1251400001f00ecf488.jpeg

  • 5984d11f1400001f00ecf485.jpeg
 
mnalishwa matango pori weweeee, na nyie mnakubali tu. aliyewalaani aliwaharibu kwelikweli. Mmekomaa tu tu Ibrahi Muisalmu. Uilslam umeletwa na Mohammad wenu miaka mingi sana hata baada ya Ukristo, huo uislam Ibrahimu aliupatae! Huko kwa waassi wenu wa Uislam hamna manabii? Kwani mmng'ang'anie Akina Musa, Daudi, Suleman, Zakaria ambao wote ni Wayahudi na wakati huo huo Wayahudi mnawalaani? Hakika mnaangamia kwa kukosa maarifa. Sasa mwenye Uislam wake amesema anaanzisha uhusiano rasmi na Israel wakati nyie mambwa mkotoana macho humu bi
Kwani na wewe Nabii wako Nani?
 
ACHA KUDANGANYA WATU, HISTORIA , WANA ALKEOLOJIA, VINAONESHA HAPAKUWAHI KUWEPO MSIKITI HAPO,

Eti malaika alijenga msikiti, wakati msikiti wa kwanza umejengwa baada ya kuja Muhamad, tena awali alikuwa anasali na wayahudi kwenye HEKALU la suleman, Alipotokewa na shetan, na kupewa UTUME WA UONGO, ndio mzozo na wayahudi ukaanza...

Maandiko ya Qur-an yanaonesha wazi kuwa kabla ya hapo hata Muhammad mwenyewe alikuwa akifuata kawaida za ibada alizofundishwa na Wayahudi.
-Wayahudi walikuwa na desturi ya kusali kwa kuangalia Yerusalemu, kawaida hii ndiyo iliyotawala maisha ya Muhammad kwa takriban zaidi ya mwaka mmoja na nusu naye alikuwa akiabudu kwa kuangalia Yerusalemu.
(Qur-an 2:144 fafanuzi uk 34)

Tukio la mwaka 610 BK ndilo lililoleta mabadiliko makubwa kwa Muhammad, mwaka huo ndio ambao Muhammad
alipokea mafunuo yake mapya katika mapango ya Jabal hilaa tofauti za kimafundisho, mwenendo, n.k zilianza
kuonekana katika maisha ya
Muhammad mara tu baada ya kuanza kupokea mafunuo hayo. (maisha ya Muhamadi uk 16 shekhe Farsy).

-Hilo lilimfanya Muhammad
kuanza kupingwa na wayahudi hao, Haswa sababu kuu ni pale Muhammad alipoanza kupinga mafundisho waliyompa kama vile., Kutotia mkazo wa Kiibada katika jengo lenye asili ya upagani Al-Kaaba. Qur-an 22:29 [27:9], na Kuanza tabia ya kutangaza imani mpya ya uislam na kuwa na mafundisho yaliyo onekana
kutofautiana na yale ya kibiblia(TANAKH).
Kutokana na mafunuo hayo mapya hoja kuu ya Wayahudi ilikuwa ni juu ya mashaka waliyonayo, kuwa mafunuo haya ya Muhammadihayakuwa ya kweli, Aya ifuatayo ya Qur-an inonyesha hilo.

Qur-an Al-Baarah 2:97 Ufafanuzi uk 24 aya 97 hapa wayahudi wanampinga Malaika Jibril amhaye ndiye aliyeleta mafunuo hayo kwa Muhammad.
Na Ibada ya ijumaa inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.

-Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika, Fuatilia katika aya
zifuatazo:

Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi. ,walihitirafiana na Muhammad na kurushiana maneno.

Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na
ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa
Yathrib (madina),ili apingane na WAYAHUDI, kumbuka awali alifata mila zao na alisali nao siku ya sabato(JUMAMOSI).

KUANZIA HAPO MUHAMMAD AKAPANDIKIZA CHUKI KWA WAFUASI WAKE DHIDI YA MYAHUDI, Quran imejaa Aya lukuki za kuwachukia wayahudi hasa.

Mungu ibariki ISRAEL ,Mungu wabariki Wayahudi

BIBLIA TAKATIFU INASEMA SIKU ZA MWISHO,WAYAHUDI WATAUTAMBUA UKRISTO NA KUUFATA
Pumba tupu
 
Hata wewe hiii ulilishwa siyo!
 
Back
Top Bottom