Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 583
- 1,266
Natumaini kuna wenzangu wengi hatujawahi kufika Dodoma, wengine tunapita tu kama highway ya kwenda kwengine.
Tumesikia hype kubwa juu ya huu mji tangu Hayati JPM aupe kipao mbele.
Je, ni kweli idadi ya watu imeongezeka maradufu kupelekea ujenzi mkubwa wa makazi na uhitaji wa budhaa na huduma?
Je, ni kweli kwa sasa mji umechangamka kibishiara maradufu na kuongezeka kwa fursa mbali mbali ?
Je, miundombinu imeiamarika (au inamarishwa) kwa namna ya kusaidia ukuaji wa mji na shughuli za uchumi?