Hakuna Nywinywi wala nywinywinywi

Hakuna Nywinywi wala nywinywinywi

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,930
Reaction score
14,506
Katika maeneo yangu hali ni shwari kabisa akina mama wananunua samaki wa kukaanga kwa ajili ya kwenda kula na familia zao kwa kweli ni amani kama ilivyozoeleka kwa Watanzania wanavyosifika hadi nje ya mipaka ya nchi

Swali vibaraka wa Mabeberu akina Maria Sarungi wanajisikiaje mda huu? Aibu wataona wao. Watanzania wamechagua Amani Na vyombo vya ulinzi na Usalama viko imara sana kukabiliana na uhalifu wowote.
 
Hivi wewe ubongo wako unasoma, hii ali iliyopo unaona ni sawa je ndo kawaida ,Gz umeshafanikiwa kwa kiasi kikubwa

Mmekaa mkiamini GEN Z waandamane kwa ajili yenu huku nyie na watoto mmejifungia ndani

Ukitaka mabadiliko toka hapo nyumbani na bango ingia barabaran very simple

Hizo story za GEN Z ni upumbavu sana.
 
Leo hapakuwa na ratiba yoyote ya maandamano, wahuni waliamua kuwalaza macho wazi, tunajua maviongozi ya tanzagiza ni mambumbumbu, yanapelekeshwa hadi na watoto wadogo wa primary school, na keshokutwa 88 laleni nje tena, samia naambiwa kakimbia nchi🙄
Kakimbia nchi gani jana alikua Agakhani akina na wenzake si aliwaona jana Hospital rais unamfananisha na shangazi yako? Kufikika si rahis hivyo
 
Mazee na mabusha yao humu yanataka vijana wadogo wakafe menyewe yameuweka tu ,, nyinyi wazee hamna cha kupoteza mshakula chimvi toeni hizo pua zenu.

Matako yenu.
 
mkiamini GEN Z waandamane kwa ajili yenu huku nyie na watoto mmejifungia ndani

Ukitaka mabadiliko toka hapo nyumbani na bango ingia barabaran very simple

Hizo story za GEN Z ni upumbavu sana.
Sahihi kabisa umeandika sense sana ki mtu kina scrow na kuperuzi tuu wale waliosematoka sijui wameenda wapi?
 
Katika maeneo yangu hali ni shwari kabisa akina mama wananunua samaki wa kukaanga kwa ajili ya kwenda kula na familia zao kwa kweli ni amani kama ilivyozoeleka kwa Watanzania wanavyosifika hadi nje ya mipaka ya nchi

Swali vibaraka wa Mabeberu akina Maria Sarungi wanajisikiaje mda huu? Aibu wataona wao. Watanzania wamechagua Amani Na vyombo vya ulinzi na Usalama viko imara sana kukabiliana na uhalifu wowote.
Maneno ya shombo ya bibiyo!
 
Kama ni maria ambaye yuko Kenya, he madege na maasikari wa nini dar. Serikali inajiahibisha sana. Ni aibu sana kusema mange na maria wameshindwa wakati serikali inatumia mabilioni kulipa posho maasikari na mafuta ya helikopita. Serikali Ina hofu ya nini juu ya maandamano? Keep inajijua si halali kwao Kutawala? Shida ni nini hasa. Sasa wananchi wanaigeuzia kibao serikali kwamba ndo inafanya promo ya maandamano. AIBU SANA
 
Leo hapakuwa na ratiba yoyote ya maandamano, wahuni waliamua kuwalaza macho wazi, tunajua maviongozi ya tanzagiza ni mambumbumbu, yanapelekeshwa hadi na watoto wadogo wa primary school, na keshokutwa 88 laleni nje tena, samia naambiwa kakimbia nchi🙄
Kuna mzee wangu leo akaniambia , akasema ili maandamano makubwa yaje na yenye mahamuzi magumu kwa viongozi wabadhilifu kufumlishwa , wala hayakua na tangazo ,ila akasema huwezi jua siku unapuuza ndo unawakuta mlangoni kwako.

Mzee anasema hawa askari hasa maskin wa ndio afande ,wengine watapata shida sana maana wanao toa order kwao wala hawapo hapo , anasema hii ni mitambo vijana wanajaribu kusoma frequency , ni lini rasmi inaweza chukuliwa kama mzaa
 
Kimyaaaa wanajipongeza eti maandamano yamefanikiwa😂😂
 
Hakuna cha kulembua macho vijana wa Gz wamesimamisha nchi , na sipendi ila ni wasiwasi wangu siku siku ikatokea kwa mazoea kwamba hamna kitu watafanya na mnawakuta milangoni kwenyu, G z naona wanatumia akili kubwa sana , wenda kwa maoni yangu wanatest mitambo , kiburi sio uhungwana , Katambi jitafakari , ipo siku utakua lofa , uzuri baba yako ni rafiki tu sana alikua Co ( clinical officer moja ya kazahanati ka mission hapo shinyanga , sio kwamba upo na ubavu sana katika wizara hii ,kaa na watangulizi wako wakupe shule ,

Kwa msaada tu
Anza na Chawene n.k utajua hujui ,njoo kwa Bashungwa hu mwepesi na mchanga sana katika wizara hii na hujui dunia .

Tafuta wakubwa zako walio kutangulia kwanza .

Hu ukija mdogo sana ,unafikiri pamoja na cheo chako unaweza muamurisha IGP au kataa ,kwanza
1. Kakuzidi kila kitu
2.ni kama baba yako
3.kuwa agent wa kitu flani haikufanyi kuwa juu na wenda ni wakati tu .
So pumguza shobo mkuu.

Mwisho upo hapo tu ,kama mdoli ila huna cha kuamua ,utaamuliwa na utatekeleza.

Nikutake kila la kheli
 
Mazee na mabusha yao humu yanataka vijana wadogo wakafe menyewe yameuweka tu ,, nyinyi wazee hamna cha kupoteza mshakula chimvi toeni hizo pua zenu.

Matako yenu.
Nani anaye ua hao vijana wadogo?
 
Back
Top Bottom