Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,850
- 40,228
Sio mkuu, Tigo walikua wanaiuza kama 430K hivi. Pia ni simu nzuri ya kawaida, camera pia ni Ya kawaida ila ukiweka Gcam quality inakua nzuri kidogo.Chief, Redmi note 12 kwa 550K ni value for money? Vp camera yake kwa ubora wa picha? Na workability yake