Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Mtazamo wako kwenye maisha ndio Silaha yako kubwa big up sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema na pwaya siwezi kukubali.
Nimeongelea na experience niliyo nayo kutokana na watu wakaribu yangu.

Nikirudi kwa upande wa pili wa magraduate hapo nakubaliana na wewe.

Sasa turudi kwa mwenye uzi. Alikuwa muajiliwa na nadhani alikuwa na nafasi kubwa kazini kwake mpaka akatumwa na kampuni kwenda USA. Sasa mtu kama huyu akiniambia amezamia siwezi kumwelewa. Ana tatizo sehemu. Na kama alishindwa kuendelea hapa hata huko hawezi kuendelea

God save us
 
Huwa mnafikiri Canada maisha ni Ubwete,siku ukifika ndio utajua Canada ikoje pia watu waliotangulia huwa hawasemi ukweli kwa wenzao wanaotamani kwenda huko,maisha ni expensive labda unaishi miji midogo,
Nitoke Tanzania niingie Canada nikaishi bush. Noway.
 
Kama mtoa mada anasema kama alivyoandika, lazima atarejeshwa nyumbani au atarejeshwa Kwenye mpaka alotokea. TRUST ME. Au Kama anachangamsha barza sawa.
Nimekuelewa Sana Mkuu. Maisha ya wazungu sio kama haya ya kizoba zoba. Wazungu sio wapuuzi hata kidogo.

Kanada ni miongoni mwa nchi miji yake inakamera. Unaonekana ukiwa hujielewi. Lkn kama unafanikiwa kazi na ukawa huzubaizubai. Unapeta.
 
Hivyo ndo ulitakiwa useme sio unawatisha watu kana kwamba Marekani hawaishi watu
 
Fursakibao, Umemaliza mkuu kila kitu opened....
Tatizo wengi tunasikia stor tu na kujilipua , unatumia gharama kubwa alafu ukifika kule jau tu bora kukomaaa tu hapa bongo nina uzoefu na nchi za magharibi kutoboa siyo kazi ndogo na kule ndo hamna uhuru kabisaaa kutengwa sana kama mfungwa tu kwa wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swet-R,
Nchi Kama marekani kiwango Cha chini kulipwa kwa saa ni dola 10. Ndio kiwango kilichopitishwa na serikali yaani hizo ndio zile kazi mbaya mbaya Kama kufagia barababara au kurudisha vile vitorori vya supermarket ndani ..Sasa ukipiga masaa 14..manake unadola 140.ni sawa na 300000tsh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…