Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Kumbe kazi zako zile zinakupatia wazungu wa kutosha..Hongera
 
Wazanzibar kweli ni mabingwa wa kujilipua, wao ikitokea janga kwao ni fulsa, waandishi wanakamatwa na kuuliwa wao wanaunda vyeti feki na kusepa, kina Lisu wanapigwa lisasi wao ni fulsa Asylum.
 
We unadhani wote ni waoga kama wewe,sie tunaishi popote kwani huko newyork wanaishi maraika hawaishi watu jombaaa,mbona unakuwa muoga dogo
 
We unadhani wote ni waoga kama wewe,sie tunaishi popote kwani huko newyork wanaishi maraika hawaishi watu jombaaa,mbona unakuwa muoga dogo
Sawa wacha niwe dogo lako... Na wala hakuna aliyesema huwezi ishi new York... Mm sio muoga sababu sijawahi ingia marekani kwa mbinu za kuzamia....Ungekuwa na akili ungeuliza watu waliyokwisha kukutangulia ili upate dira fulani ya maisha ya huko.... Unfortunately akili hiyo huna... Unaanza kuita watu wadogo zako....
Nenda kapambane, udhihirishe uanaume wako...
 
Kumbe njaa zenu ndizo zinaichafua nchi yetu,kisa tu mupate kibali cha kuishi Kanada.
 
Wazanzibar kweli ni mabingwa wa kujilipua, wao ikitokea janga kwao ni fulsa, waandishi wanakamatwa na kuuliwa wao wanaunda vyeti feki na kusepa, kina Lisu wanapigwa lisasi wao ni fulsa Asylum.
ila dada zao kwenye sekta ya kuuza nyama wapo nyuma sana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…