Mkuu, sijui kama umefika US au Canada ila kama haujafika naomba tu linapokuja suala la boarders za hizi nchi usiwaze kama namanga au tunduma.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani uende USA kwa njia halali, tena upelekwe na taasisi rasmi kwenda kuhudhuria mkutano mkubwa wa kimataifa, halafu upotee zako pasipo mtu kujua, waliokupeleka (Tz) wasitoe taarifa ya kupotea kwako, wenyeji wako (USA) wasitoe taarifa ya kutafutwa na mwisho Canada wasizipate taarifa zinazohusiana na wewe!! Huo ni uongo wa kiwango cha chekechea.
Mleta mada ni muongo kwa 100%
Nani aishi kwenye nchi inayonunua ndege wakati dawa hospitali hakuna.Na mnatangaza elimu bure wakati Walimu hakuna watoto watajifundisha wenyewe.Usilazimishe nifikirie Kama unavyofikiria wewe.Tanzania hatuna Serikali tuna kikundi cha watu wachache kinachoamua nani atawale kwa maslahi yao.Njoo Canada uone Raia wenye Serikali yao Kiongozi anaheshimu maamuzi ya Wananchi na havunji Katiba.Watu wanakosa maji Safi na Salama pesa inanunuliwa ndege.Tufike Mahala Watanzania tujitoe Muhanga ili kuokoa Kizazi chetu kinachofata
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada tupeane basi michongo!Me Kwa Donald sipataki nataka Canada mzee au Kwa shida sana Australia
Asante mkuuMkuu nimependa udadavuzi wako wa mambo.
Sent using Unataka kujua ili iweje
Yaani uende USA kwa njia halali, tena upelekwe na taasisi rasmi kwenda kuhudhuria mkutano mkubwa wa kimataifa, halafu upotee zako pasipo mtu kujua, waliokupeleka (Tz) wasitoe taarifa ya kupotea kwako, wenyeji wako (USA) wasitoe taarifa ya kutafutwa na mwisho Canada wasizipate taarifa zinazohusiana na wewe!! Huo ni uongo wa kiwango cha chekechea.
Mleta mada ni muongo kwa 100%
Mimi nishamwambia mleta mada ni muongo ukiangalia stori yake ilivyokaa
Watu wanafikiri wazungu ni wajinga wa kukiubali kirais hivyo.ni bora akuweke mpajani miaka yote apate kujua ukweli
Walipokuuliza hati ya Tanzania uliipata wapi? Siuliwajibu?Nilichana kitabu maana nilishauriwa nichane na kitumbukize chooni maana wanaweza Kukudeport.Nilitishiwa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni jobless ni vyema ukafikiria kufanya mambo mengine tu ndugu.
Gharama ya kufika huko hautaweza kuimudu.
Acha kumkatisha tamaa mwenzako,A3M ameshauri kwa mwenye kazi na uhakika Wa kipato asiende huko,waende watu wasio na ajira,elimu na maisha magumu...umebahatika kupata m7 unajiripua Canada au US haahaahaaahaa!!!!
Huyu ni tapeli lipo humuhumu bongo linajifunza kuuzia watu chai! Ati kawaambia ni under age lakini ana mke na watoto 3. Daah! Kwanza mtu ambaye kampuni inaweza kumpeleka hadi US kwa ajili ya workshop au training ni mtu anayejielewa, composed na atleast senior kwa hiyo hawezi kuzamia hata kidogo. Afterall kama umesoma vizuri kwanini uzamie? Si ufuate utaratibu ukafanye kazi kama expert? Halafu linajisifu ati limepata kazi ya uhotelia. Terrible! Yaani mtu uzamie ughaibuni, uache familia Tanzania halafu unakuwa hotelia huku ukitegemea kutoboa maisha? Ujinga.Mimi toka mwanzo anavyoandika kuomba ushauri azamie au arudi nilimuambia kuwa aache ubinafsi na amechelewa sana kishakuwa na familia.
Unapokuwa na familia lazima uwafikirie wenzako.
Na kwa jinsi alivyojibu hayo maswali atarudishwa aje aungane na familia yake eti under age lakini ana mke na mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni jobless ni vyema ukafikiria kufanya mambo mengine tu ndugu.
Gharama ya kufika huko hautaweza kuimudu.
Daby na Mrs Bishanga nakuja
Hautaki Ulaya tena?Ukuje kieleweke
Hautaki Ulaya tena?
Shukrani mkuuNilitumia Kama dola 3000 ila mimi nililipiwa gharama na ofisi japo nilisaliti nikazamia.Kumbuka nilitumwa na ofisi yangu ila sina ujanja wowote wa kumsaidia mtu kupata visa au kuja huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daby Mrs Bishanga canada haina sheria ngumu za uhamiaji kama ilivyo USA Na Australia . pia ni nchi ambayo inahamasisha watu wenye ujuzi mbali mbali kuhamia huko kufanya kazi zipo nyingi watu wanahitajika kwa wingi ,hivyo wana program mbali mbali kwa ajili ya watu wanaopenda kwenda kuishi Canada ,hapa chini ni baadhi ya program ambazo unaweza ku apply na kupata kibali cha kuishi huko ,Ukuje kieleweke