Huu jamaa muongo kwa vigezo vifuatavyo kama alivyosema
Canada hakuna kambi ya wakimbizi ambayo yeye anadai kuwa anaishi kwenye kambi hyo.
Hakuna mkimbizi yeyote kutokea marekani nchini canada na sheria hzo hazipo.
Alidaih kuwa alienda canada kwa kutumia gari alafu jamaa wakamwambia aende pale ndo police wa canada walipo na awaambie yeye ni mkimbizi.policr wa nchi ya marekani hawawezi kukuruhusu kuingia canada ikiwa huna vitambulisho vyovyote
Na ikiwa umeshikwa kwenye mpaka lazima wakurudishe marekani.
Vile marekani inatuka leseni yabudereva au ID kutoka state moja kwenda yngine alivuka vipi mikapa ya NY hakuna njia za vichchoro kutumia gari na nikinyume cha sheria kutembea mpakani kwa mguu
We king Nigga ni kilaza kabisa na sidhani kama kweli upo huko Marekani kama wewe unavyojinadi,
Canada hakuna kambi ya wakimbizi!! hivi upo serious kweli wewe? Au umekuja kupiga zogo tu humu jamii forum, au unadhani kambi ya wakimbizi ni lazima viwe vijumba vya maturubali vichafu vichafu vidogo?
Hakuna mkimbizi yoyote kutoka Merekani kwenda Canada, kweli? wewe huna exposure kabisa na sidhani hata ushawahi kutoka jijinini kwenu kwenda kijiji cha pili. Asilimia 99.9 ya wakimbizi nchizi Canada lazma wapitie Marekani kwa maji, anga au angani kutokana na location Canada iliopo.
Hakuna polisi waliomwambia pale ndio Canada hivyo aende, aliowalipa dollar3000 au unaweza waita smugglers ndio walimpitiza hizo njia kufika hicho kituo Note kwamba Canada kuna vituo maalum ambavyo vipo mpakani na Marekani hivyo mkifika hao ndio wanakupokea na kupiga simu polisi kuja chukua maelezo yako na mara nyingi unakuta polisi wapo hapo hapo kwenye vituo hivyo
Ukishikwa ndani ya mipaka ya Canada huwezi rudishwa Marekani bali nchi yako mama uliko tokea, case itakayokufanya urudishwe Marekani labda uwe na case na Marekani na wenyewe watake urudi kwenye mahakama zao au uwe na documents zinazoonesha unatakiwa urudi nchi hiyo
Kinyume na sheria kwa Mmarekani kwenda region nyingine hukohuko Marekani, kweli? Sasa hiyo ingekuwa ni nchi kweli? Freedom of movement wenzetu waliishughulikia kisheria na maandishi tangia karne ya 19 katika state zao zote
Conclusion; watu walioendelea wanajua thamani ya binadamu ndio maana wanaweka sheria kulianda utu na dhamani ya binadamu bila kujali rangi wala taifa alilotokea na wewe jamaa haupo Marekani labda ile USA river ya Arusha
Sent using
Jamii Forums mobile app