Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
Wadau jana katika vyombo vya habari ikiwemo itv walitangaza maandamano ya Kigoma kupinga ujio wa Katibu mkuu wa Chadema Dr. slaa a.k.a Rais wa mioyo ya Watanzania. Juzi usiku kulikuwa na Gari la ccm lilikuwa linatangaza maandamano hayo na mbaya zaidi walipeleka plopaganda misikitini na usiku huo huo kuna misikiti ilisikika ikitangaza kuwa kwa kuwa Dr. ni Mkrisrito basi Waisramu hawana haja ya kushiriki mkutano wa Dr Slaa. Mbali na hilo Makada uchwara wa Magamba ccm walienda crdb na kuchukua chenji za elfu kumi kumi na kuwagawia watu mbalimbali wakiwemo bodaboda wa maeneo kadhaa mjini na wa kina mama wanaotegemea maisha bora na kuwataka waandamane na kuwapa mabango. Nawaomba viongozi wa cdm na Watanzania kwa ujulma mjue kuwa hakuna Mwana cdm anae andamana Kigoma bali ni magamba. Watashindana lkn hawatashinda.