Ukweli kuhusu maandamano jana Kigoma

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
558
250
Wadau jana katika vyombo vya habari ikiwemo itv walitangaza maandamano ya Kigoma kupinga ujio wa Katibu mkuu wa Chadema Dr. slaa a.k.a Rais wa mioyo ya Watanzania. Juzi usiku kulikuwa na Gari la ccm lilikuwa linatangaza maandamano hayo na mbaya zaidi walipeleka plopaganda misikitini na usiku huo huo kuna misikiti ilisikika ikitangaza kuwa kwa kuwa Dr. ni Mkrisrito basi Waisramu hawana haja ya kushiriki mkutano wa Dr Slaa. Mbali na hilo Makada uchwara wa Magamba ccm walienda crdb na kuchukua chenji za elfu kumi kumi na kuwagawia watu mbalimbali wakiwemo bodaboda wa maeneo kadhaa mjini na wa kina mama wanaotegemea maisha bora na kuwataka waandamane na kuwapa mabango. Nawaomba viongozi wa cdm na Watanzania kwa ujulma mjue kuwa hakuna Mwana cdm anae andamana Kigoma bali ni magamba. Watashindana lkn hawatashinda.
 
Fenento

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
320
225

Wafanye wafanyalo CDM itadumu na kuwa chama mbadala kwa watanzania
 
Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
558
250
Fenento Kuna Bw mdogo mmoja alikuwa ananiambia jana aliingiza elf 30 chap chap na anasema alienda tu kama boya wala hakuwa anajua cha kufanya yeye alikuwa anajua pesa tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom