steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,092
- 1,433
Leo nimeona kitu katika page ya dada Jay Dee Instagram nimeona bora nilete hapa kidogo kitambo bibi zetu walikuwa wanavaa kwa mtindo wa kuficha matiti na katikati tuu kwingine kukiwa wazi.
Alipofika Mzungu alichukia na kuwapatia nguo na kuwaambia uvaaji huu siyo mzuri tukabadilika lakini saivi Mwafrika kaamua kurudia tamaduni zake za mapaja wazi, makalio wazi na hata kitovu wazi kama wavaavyo dada zetu sasa utawasikia watu "huu siyo utamaduni wetu ni utamaduni wa kizungu wamesahau Mzungu katuiga sisi".
Sasa mnaposema JASIRI HAACHI ASILI MLIKUMBUKE NA HILI LA MWAFRIKA KUURUDIA UTAMADUNI WAKE WAKUKAA UCHI.