Ukweli kuhusu maadili ya Mwafrika

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,045
2,000
Leo nimeona kitu katika page ya dada Jay Dee Instagram nimeona bora nilete hapa kidogo kitambo bibi zetu walikuwa wanavaa kwa mtindo wa kuficha matiti na katikati tuu kwingine kukiwa wazi.

Alipofika Mzungu alichukia na kuwapatia nguo na kuwaambia uvaaji huu siyo mzuri tukabadilika lakini saivi Mwafrika kaamua kurudia tamaduni zake za mapaja wazi, makalio wazi na hata kitovu wazi kama wavaavyo dada zetu sasa utawasikia watu "huu siyo utamaduni wetu ni utamaduni wa kizungu wamesahau Mzungu katuiga sisi".

Sasa mnaposema JASIRI HAACHI ASILI MLIKUMBUKE NA HILI LA MWAFRIKA KUURUDIA UTAMADUNI WAKE WAKUKAA UCHI.
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,430
2,000
kuwa utamaduni si tatizo huenda zilikuwa enzi mtambuka.. swala la kujadili ni kuvaa nusu uchi na kuvaa kamili kupi kunastahili na ktk mazingira gani..?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom