Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,443
- 100,734
kama ni kweli basi mimi nilichangia kiasi kikubwa sana ........
machadema yanadhani kila mtu ni mvivu wa kufikiri kama wao. Huyu mleta mada amekurupuka usingizini baada ya kushiba sembe anakopi na ku paste uzushi anauleta kwa great thinkersKuna kitu hakiko sawa hapa:
- Hizo fedha zilitakiwa kwa ajili ya kujazia bajeti 2014/2015 kivipi? Mbona MPESA ilipotea hewani jioni siku ya jumamosi tarehe 14.06.2014 na kurejea hewani Jumanne tarehe 17.06.2014? Inamaana zilihitajika kwa siku moja tu?
- Bajeti ya serikali ilisomwa bungeni tarehe 12.06.2014, iweje M-PESA ikatike 14.06.2014?
Mkuu tpaul hebu tufafanulie vizuri.
Tanzania ni zaidi ya unavyoifamu.
Ukiwa na Raisi kama Kikwete unategemea nini kitokee nchi kuuzwa tu hatari kubwa sana na sisi wananchi hatufani kitu nchi nyingine kungezuuka maanadamano yasiyoyakawaida watu kudai fedha zao na huduma chini ya masaa mawili tu
machadema yanadhani kila mtu ni mvivu wa kufikiri kama wao. Huyu mleta mada amekurupuka usingizini baada ya kushiba sembe anakopi na ku paste uzushi anauleta kwa great thinkers
Nyie kusanyanane ukoo wenu wote uwezo wa jk hamtaufikia hata robo pole mtaungua na jua mpaka basi.
Na wewe umeamua kujitoa ufahamu na kujiaminisha kwa nguvu hizi porojo.
Kuna kitu hakiko sawa hapa:
- Hizo fedha zilitakiwa kwa ajili ya kujazia bajeti 2014/2015 kivipi? Mbona MPESA ilipotea hewani jioni siku ya jumamosi tarehe 14.06.2014 na kurejea hewani Jumanne tarehe 17.06.2014? Inamaana zilihitajika kwa siku moja tu?
- Bajeti ya serikali ilisomwa bungeni tarehe 12.06.2014, iweje M-PESA ikatike 14.06.2014?
Mkuu tpaul hebu tufafanulie vizuri.
Na wewe nawe,
Unahoji mbali kote huko?
Waziri wa fedha huwa anabeba hizo pesa pale taslim?
Walitaka kujazia wapi?