Ukweli kuhusu kuzomewa kwa Kikwete

Ukweli kuhusu kuzomewa kwa Kikwete

Five PHD za Kikwete below:
  1. PHD yakusema uongo.
  2. PHD yakusafiri nje ya nchi.
  3. PHD yakutokujua kwanini wananchi wake ni masikini.
  4. PHD yakuchakachua matokeo ya uraisi.
  5. PHD yakupiga picha na wasanii.
 
Ndugu zangu, fikiria pia, Uchumi haukui kwa kumtegemea rais tu, Tujiulize mtu mmoja mmoja Tanzania anachangiaje pato la taifa?
Tupo katika wakati mgumu wakati watu wengi tunataka mabadiliko bila kujali faida na athali zake. Rais wetu si kilaza kama wengine wanavyotaka kutuaminisha ila yuko katikati ya dilemma. Afanye lipi aache lipi akiwa na very limited resources kuanzia watu wanaolalama bila kuchangia pato la taifa lakini wakihitaji huduma, muundo wa mfumo wa serikali ambao umekuwepo toka huko nyuma, wanasiasa walio na nia ya kupata mali kwenye siasa, wawekezaji wanojivunia mitaji yao na technologia tusioijua na pengine mapenzi ya mwenyezi Mungu

Ebana usirudie tena siku nyingine kutoa comment ya ajabu kiasi hiko!! Yani acha kabisa...
 
Ndugu zangu, fikiria pia, Uchumi haukui kwa kumtegemea rais tu, Tujiulize mtu mmoja mmoja Tanzania anachangiaje pato la taifa?
Tupo katika wakati mgumu wakati watu wengi tunataka mabadiliko bila kujali faida na athali zake. Rais wetu si kilaza kama wengine wanavyotaka kutuaminisha ila yuko katikati ya dilemma. Afanye lipi aache lipi akiwa na very limited resources kuanzia watu wanaolalama bila kuchangia pato la taifa lakini wakihitaji huduma, muundo wa mfumo wa serikali ambao umekuwepo toka huko nyuma, wanasiasa walio na nia ya kupata mali kwenye siasa, wawekezaji wanojivunia mitaji yao na technologia tusioijua na pengine mapenzi ya mwenyezi Mungu

Mkuu hauko serious, otherwise wewe ni mmojawapo kwenye cabinet ya Phd holder. Ni mchango gani huo unaosema? Wafanyakazi wote wanakatwa kodi kwenye mishahara yao kila mwezi, wafanyabiashara walipa kodi, mtu wa kawaida analipa VAT kwa huduma anazopa( hata wewe hapo ulipo kwenye hii JF umelipa VAT ya hiyo vocha uliyorecharge kwenye hiyo modem yako), sasa ni mchango gani unaosema. Limited resources zipi boss unamaanisha? Tanzanite? Dhahabu? Sangara wa Mwanza? Wanyama pori? Mchango gani unaosema, au labda wote twende pale ikulu tumsaidie kuongoza ili uonne mchango wetu?

Hebu tafakari.....
 
Back
Top Bottom