Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
- Thread starter
- #21
Kikwete ni Kilaza.
Jamaa amepewa Phd ya 5 jana na ndio anakuwa Rais wa kwanza Tanzania na Afrika kwa ujumla kupata Phd 5 kwa muda mfupi. Watanzania wanamtaka na hawajamchoka , labda wewe ambae uko ughaibuni na ni raia wa burundi . Jamaa ni kichwa !

mbona hujamalizia statement yako kua JAMAA NI KICHWA .....!tehe..tehe...teheJamaa amepewa Phd ya 5 jana na ndio anakuwa Rais wa kwanza Tanzania na Afrika kwa ujumla kupata Phd 5 kwa muda mfupi. Watanzania wanamtaka na hawajamchoka , labda wewe ambae uko ughaibuni na ni raia wa burundi . Jamaa ni kichwa !
Sasa Mkuu Chuo ambacho wanajumiya yake WAMEKUZOMEA halafu wanakupa PhD si DHIHAKA hiyo
Angekuwa kichwa naamini serikali ya Nyerere isingemwacha asote mikiani na ukatubu wa chama kwa miaka zaidi ya 15. Vichwa vilipewa uwaziri au ukuu wa mkoa. Sasa hao wanaompa PhD tano ndani ya miaka mitano hawakumuona mika yote kuwa ni kichwa mpaka alipoupta Urahisi!!
Jamaa amepewa Phd ya 5 jana na ndio anakuwa Rais wa kwanza Tanzania na Afrika kwa ujumla kupata Phd 5 kwa muda mfupi. Watanzania wanamtaka na hawajamchoka , labda wewe ambae uko ughaibuni na ni raia wa burundi . Jamaa ni kichwa !
Jamaa amepewa Phd ya 5 jana na ndio anakuwa Rais wa kwanza Tanzania na Afrika kwa ujumla kupata Phd 5 kwa muda mfupi. Watanzania wanamtaka na hawajamchoka , labda wewe ambae uko ughaibuni na ni raia wa burundi . Jamaa ni kichwa !
H.E. Dr. (5 Hons.) Al Haji .......................
Wewe unategemea Mangi atakuwa na mawazo gani zaidi ya Uchagga na CDM
Labda wewe na wenzio wenye akili kama zako ndio hamjamchoka na hizo Phd za kupewa zisizo na maana.