Nakuunga mkono mkono ndugu Mshana. Sababu ulizotoa hapo ni kweli tupu na kuongezea kwenye ishu ya nguvu za kiume pia tatizo sio kubwa kama vyombo vya habar na mitandao inataka tuamini pamoja na mabango ya waganga wa kienyeji. Shida ni kwamba vijana wengi wa kiume kwanza hatujui maumbile yetu yanaukubwa gani na yanatakiwa kuwa na ukubwa gan hivyo kujikuta wengi hawajiamin kipnd wakikutana na mwanamke hivyo kupelekea uume kushindwa kusimama au kusimama kwa muda mchache.
Uume wa kawaida ni nchi 4 hadi 6 zaid ya 6 ni oversize na nchi 2 kuenda chin mdogo na 3 sio kawaida sio ndogo,hivyo basi size ya nchi 3,4,5 na 6 znauwezo wa kumridhisha mwanamke yoyote endapo i. uume huu utasimama kwa muda usiopungua dakika 20 had 45 ii. Mwanamke huyu ameandaliwa vya kutosha yaani aingiliwe akiwa tayari iii. Factors nyingine ziwe constant mfano usafi wa mwili wa mwanamke na mwanaume,mazingira tukio linapofanyika.
Hivyo kabla haujakubali na kujiona ww ni kubamia au mandingo kwanza pima urefu na mzunguko,upimaji ni rahisi na unafanyika kwa rula ya kawaida
2. Msongo wa mawazo kutoka na mchaka mchaka wa maisha,ugomvi wa kifamilia hasa wanandoa kwani msongo wa mawazo huchangia 30% hadi 50% ya magonjwa yasiyoambukizwa mfano kisukari,presha,upungufu wa nguvu za kiume,kukosa hamu ya tendao la ndoa.
3. Kula vibaya,kula vyakula kufurahisha mdomo na sio kwa kuzingatia virutubisho muhimu mwilin na mahitaji yake mwilni. Mfano kula sana chipsi,mayai,vyakula vya kusindikwa au vya kopo, kuto kula vyakula asil kama mihogo,ugal wa dona,asali,tangawizi,vitunguu swaumu.
4. Kuangalia sana picha za ngono bila kujua kwamba 80% had 90% ya unachokiona kwenye picha na video za ngono ni maigizo na uongo. Kuanzia maumbile,sauti na vingne vingi. Kazi kubwa inafanyiaka au inafanywa na editors so unaweza ona mtu anamashine ambayo kiuhalisia sio kweli na anapiga mzgo masaa matatu lakin ujue wanaungasha hivyo vipande ionekane ni shoo ya bila kupumzka. Hii pia inafanya na akina dada kuamin mwanaume wa kweli lazma awe na mguu kama wa mandingo.