Kibamia ni msemo maarufu unaomaanisha uume mdogo.Ni tatizo linalokuja kwa kasi sambamba na ukosefu wa nguvu za kiume kwenye mada moja kuna mtu akauliza mbona mwanzoni hakukuwa na vibamia? Ukweli ni kwamba tatizo la vibamia sio kubwa kama linavyokuzwa, tatizo lipo ila sio kihivyo na kuna jambo lingine kabisa linalosababisha vijana wengi waonekane vibamia.
Zamani kabla dunia haijavaa

bikini, kulikuwa kuna kuheshimiana kukubwa kwenye umri hasa linapokuja suala zima la mahusiano ilikuwa ni jambo lisilowezekana kabisa kukuta binti wa miaka 18 anadate na mwanaume wa miaka 40 lingine ni kwamba mabinti wengi walijitunza na kuja kuanza mahusiano ukubwani, na hawakuwa wanachojoa chupi zao hovyo hovyo WALIJITUNZA NA KUJIHESHIMU SANA.
Siku hizi binti hata maungo yake hayajakomaa, tayari ameshaharibiwa na anaaza mahusiano na mtu aliyemzidi umri kwa mbali sana mtoto wa kike kama huyu aliyeanza mahusiano kwenye umri wa miaka 16 akifikisha 23 anakuwa tayari ni mzoefu aliyebobea huku akiwa na maungo makubwa kuliko saizi yake usoni ni mdogo lakini huko ndani mmh mwanamke kama huyu akidate na kijana wa miaka 25-30+ ni majanga. Lazima jamaa aonekane kibamia kumbe wala hana hilo tatizo ila kakutana na oversize XXL.
Kingine ni matumizi ya dildos, mabinti ambao wanachungwa sana ama wale ambao hawataki kujihusisha na wanaume mapema huamua kutumia vinyagongono kujitosheleza huyu ukija kukutana naye hapo baadae lazima uonekane una upungufu wa nguvu za kiume au una kibamia., kwakuwa size na nguvu ya kinyagongono ni tofauti kabisa na nguvu ya binadamu.
Kwahiyo wapendwa mnapowalaumu wanaume kuwa wana vibamia mkumbuke na hayo ya kwenu pia.Najua kuna tatizo la punyeto ambalo nalo linawasumbua na kuwaathiri vijana wengi lakini kiuhalisia vibamia ni vichache shida ni size zinazofanya colabo.
NB: Mimi sina kibamia