Nina mengi ya kuzungumza hapa ila ngoja nijikaze kiume.....
Kwenye kutafuta saizi inayokufaa....unajaribu kutuambia nini hapa mkuu? Maana kama nitakuwa natafuta saizi yangu lazima kuna sehemu nitapwaya na nyingine nitatanua, hapo nitakuwa nazidi kuongeza tatizo ujue!
Ila katika kuunga mkono hoja, tatizo kubwa ni la wadada wenyewe, miaka 14 keshaanza balaa, ndo yupo kidato cha pili tu, sasa mpaka amalize chuo, nije kuoa akiwa na 28 unadhani kuna nini tena hapo?
Wangepunguza tu ile MIAKA 30 ili angalau na sisi tujionjee kama sio 0km basi angalau chini ya 100km. Maana siku hizi binti wa miaka 24 mileage inasoma 120000km.