"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

Police jamii kutembea na silaha za moto!!!Hapana,hili la mke wa mtu lina uzito na kufikilika zaid
 

-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni

1.Polisi jamii tangu lini wanakuwa na bunduki?
2.Tangu lini polisi jamii wakagombana na kamanda? Je, kuvaa mkanda ni sababu tosha ya kuanzisha vurugu kiasi cha kupigana risasi?
3. Huyo mama kama unamfahamu, unafahamu kuwa huwa anapelekwa hapo na kamanda mara kwa mara na unafahamu kuwa anaisaidia polisi, kwanini usitaje jina lake?

My take: "ukweli" ulioutoa una mapungufu mengi, hasahasa kwenye kuelezea kina nani waliohusika kumuua kamanda.
 
inawezekana walitumia silaha yake kummaliza, kwani walijua vinakuja "vitu vyenye ncha kali virukavyo" wakachukua hatua ya kuvidhibiti.

Funzo kwa polisi:
Nao wana miili ya nyama!!
!

Nimependa hilo funzo kwa polisi.
 
Ndiyo maana nimesema "the so called polisi jamii". Kuna maswali mengi kuhusu polisi jamii hasa wanapoonekana wakiwa na silaha za moto. Wakati mwingine polisi jamii ni polisi wenyewe ila hawa inaonekana walikuwa polisi jamii raia na ndiyo maana marehemu akawahoji kwa nini wanafaa mikanda ya polisi. Nasikia walichukua ile radio call, cell phone na bastola yake.
 
haha tehe damu ya ulimboka, muuza magazeti moro, mwangosi sasa ina backfire polis mtapukutika km vumbi bd kamuhanda na andengenye
 
Hv huyu IGP aliyepokea hbr hii bila ya kufanya uchunguzi si mmeona hasara yake?

Bado ni dhahiri bado serikali ni legelege haswa!
 
je huyo mama anaporudi saa nane je mume huwa wapi?

Je huyo mume alisha muonya rpc, na mke wake?
Je rpc hakuogopa kufika eneo jirani na mwenye mke?

Je alikuwa amelewa hivyo kudharau hatari iliyompata?
 
Ndio maana toka asubuhi nimeuliza ni dada yake kweli ona sasa,jamani why si wangelala 2 walikokuwa hadi asubuhi
 
je huyo mama anaporudi saa nane je mume huwa wapi?

Je huyo mume alisha muonya rpc, na mke wake?
Je rpc hakuogopa kufika eneo jirani na mwenye mke?

Je alikuwa amelewa hivyo kudharau hatari iliyompata?

Dhambi hupofusha mkuu.
 
Back
Top Bottom