Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"

Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.

Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!

Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.

Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.

Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900

SASA TUKIACHA ERA HIYO:

Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)

Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-

1) KUJALI ELIMU

Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k

Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU

Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904

Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.

Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.

- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.

* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.

Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.

Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.

* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.

Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.

2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI

Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.

(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)

3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA

Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.

Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.

Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)

Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.

Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.

Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
Sisi Wasukuma hatupendi kabisa kusikia habari hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
************
Sina hakika kama unajua ulichoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwenye kodi ndo wanaongoza ukiondoa Dar.. ina maana volume of economic activities ipo kubwa sana na watu wanazalisha. Unaweza ukashangaa makusanyo ya kodi ya mkoa wa mwanza yanalingana na mkoa wa Kilimanjaro. Hiyo inakupa picha ni namna gani mkoa wa kilimanjaro ulivoendelea. Wasiojua tu ndo watapinga na kuzani Kilimanjaro ipo hoi imechoka.
 
Awamu hii kodi zote zinakusanywa zinapelekwa mfuko mkuu wa Taifa sasa hapo magufur Ndiyo starring hanazipeleka pesa hanapo papenda, ndiyo maana utamsikia anatoa billion kadhaa kwenye mradi bila kupitishwa bajet bungeni kwaiyo hizo pesa unazo msikia hanazito kwenye ujenz wa mahakama, daraja la mwanza nk, nipesa ambazo zimetokana na makusanyo ya Halmashaur za moshi, Arusha zilizo pelekwa Kwenye mfuko wa Taifa, ndiyo mahana kasema kaskazin msubili kwanza kituoni, na wengine waanza kusafiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Azarel pongezi kwako kwa kusema ukweli mtupu kuhusu sisi wakaskazi japo huwa wanaumia sana pale wanapo sikia kufanikiwa kwetu bila kulalia saaaana kwenye baadhi ya vitu (Nadhani wananielewa). Hii nadhani imechochea hasira kwa baadhi ya washika mipini kiasi cha kwamba hatuneemeshwi kama wengine, lakini hiyo haiturudishi nyuma. Naomba kuongeza mambo yanayo tufanya tuwe na spirit nzito:

+Sisi ni jasiri, tena jasiri haswa, angalia tangu enzi za mababu zote (Mangi Meli) ambao ni moja kati ya machifu wachache Afrika waliofanya resistance dhidi ya Wajerumani! Angalia mwanzilishi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, hakuogopa uwepo wa nani na nani bali alianzisha chama imara mbele ya macho yao bila kujilambalamba (Respect Mr Mtei) ambapo I am sure wengine wangekuwa wanahangaika kutengeneza image zao. Vijana wenzangu wanavuka boda na kuingia Nairobi kusaka mkwanja na kikubwa ambacho naomba kibaki kwetu milele ni spirit ya kurudi nyumbani ku share hata kile kidogo ulicho pata.

+Hatupendi anasa, haijalishi ni anasa ipi, hatufagilii ngono, ulafi, ulevi (Nasisitiza ulevi hatufagilii). Amin watu wanaondoka wanaacha wake zao zaidi ya mwaka wanaenda kutafuta. Wanawake wa kwingineko huenda wangetafuta alternative lkn wanawake wa kaskazini hubaki kwa mama wakwe zao na kufanya kazi za kimaendeleo au kazi za kuoperate 'mengele' kama kujali wanyama na kulima. 'wanawezaje kufanya hivi?'. Hawajatekwa na anasa!

Binafsi nina ndoto zangu and one day I hope they will become true...I swear...!

Hakika Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"

Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.

Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!

Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.

Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.

Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900

SASA TUKIACHA ERA HIYO:

Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)

Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-

1) KUJALI ELIMU

Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k

Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU

Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904

Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.

Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.

- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.

* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.

Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.

Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.

* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.

Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.

2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI

Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.

(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)

3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA

Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.

Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.

Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)

Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.

Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.

Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
Njia ya mwongo siku zote ni fupi. Kasome historia ya Tanganyika tena kabla hujaja na facts feki. Kuna mikoa ambayo watemi wake walijulikana na waliokuwa mashuhuri wakati wa enzi hizo. Tusiwe wepesi wa kuandika vitu vya kufikirika tuwe wakweli. Hata mambo ya mwaka sabini tu ni jasho kwako. Mengi yameandikwa na wachangiaji lakini hayana ukweli. Tuache ukabila ni sumu.
 
Raisi wa taifa hili.hatatoka kaskazini
Huo ni uongo. Kwani Nyerere hakutoka kaskazini? Kuna tofauti kati ya kanda ya kaskazini na kaskazini. Unapoongelea kaskazini ya Tanzania hata mkoa wa Mara upo kaskazini mwa nchi yetu. Kwa Hiyo kusema kwamba raisi wa nchi hii hatatoka kaskazini ni uongo labda ungesema hatatoka kanda ya kaskazini.
 
Njia ya mwongo siku zote ni fupi. Kasome historia ya Tanganyika tena kabla hujaja na facts feki. Kuna mikoa ambayo watemi wake walijulikana na waliokuwa mashuhuri wakati wa enzi hizo. Tusiwe wepesi wa kuandika vitu vya kufikirika tuwe wakweli. Hata mambo ya mwaka sabini tu ni jasho kwako. Mengi yameandikwa na wachangiaji lakini hayana ukweli. Tuache ukabila ni sumu.

..ukabila kweli ni SUMU.

..kila mahali ktk Tanganyika yetu hapakosekani mashujaa.

..hakuna jamii ambayo haina jambo jema la kupigiwa mfano iliyoifanyia nchi hii.

..kwa mfano, wakati wa vita vya Kagera mmoja wa makamanda aliyepata sifa kubwa kwa uongozi wake ni Maj.Gen.Silas Mayunga " mti mkavu." Huyu ametokea kanda ya ziwa.

..Pia Iddi Amin alipotuvamia na kuteka ardhi ya Tz, kamanda aliyeitwa Ikulu na Mwalimu Nyerere na kupewa jukumu la kupiganisha operation ya kurudisha ardhi yetu alikuwa Maj.Gen.Tumainieli Kiwelu. Huyu ametokea kanda ya kaskazini.

..kamanda mwingine aliyejizolea sifa nyingi ktk uwanja wa mapambano ni Maj.Gen.John Walden " black mamba. " Huyu alikuwa chotara wa Kiingereza na Kihehe.

..Nimetoa mifano hiyo michache ili kuthibitisha kuwa ushujaa siyo hati miliki ya kabila au kanda fulani hapa Tanzania.

..Watz tuwe WAMOJA.

..
 
Ikitokea nikaingia mimi,hakika mtalipa gharama kwa hujuma mliyoifanyia nchi.
Yaani ile mikakati ya kujikopesha kupitia crdb na kuweka mawakala wenu bank nyingine kama nmb ili mfaidi mikopo bila masharti makubwa tunaifahamu.

Kuna sehemu ni usukumani aliingia meneja mchaga nmb wachaga wote walionekana matajiri ijapo wengine walikuja hawana kitu.Wao wanakuambia eti wametumia fursa ambazo wenyeji hawazitumii!Ila ukweli ni kwamba vijana wa kichaga walikopeshwa pesa kwa kudhaminiana tu kama saccos ila mtu anaondoka na milioni 100 na ndo kwanza katoka migombani,hata frame hana.

Unakuta ofisi zote zenye ulaji wachaga wamejaa.Unaweza kushangaa kipindi hicho cha jk na mkapa,Halmashauri zenye pesa utakuta DT mchaga,wahasibu zaidi ya watano wachaga,ukienda TRA meneja mchaga na wapambe wengine wamo humo,DMO mchaga mapesa yote ya miradi ya afya yalipigwa bila huruma.
Afisa elimu wilaya mchaga,supplies officer mchaga,OCD mchaga,Takukuru mchaga..sasa jichanganye upeleke taarifa ya ubadhirifu wa Mali uone kitakachokutokea.

Hii nchi imetafunwa sana kimkakati na watu wa kaskazini.

Leo hii hata nje ya nchi wapo wengi sana.Walikuwa wakifaidi scholarship kwa wingi sana.Naamini hawa watu ni hatari sana kwa ustawi wa nchi.Maana mtu anakuibia,halafu kesho anakutukana huna akili ila yeye ndiye mwenye akili!
Ni sawa na mko uwanjani referee anatoa kadi kila timu moja tu inapofanya makosa hadi mnapungua uwanjani na timu ya pili hata wakifunga kwa mkono goli linahsabiwa!Mkitoka hapo kwa vile wana kombe wanaanza kashfa eti Hanna akili ni wajinga!
Hamjui huu ujinga wetu ndio umeleta amani nchi hii?
Miaka 10 itapita atakuja raisi asie na ubaguzi wa kikanda ataona kaskazini ilivyobaguliwa ataiangalia kwa macho yake matatu Inshallah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni na mawazo hayo hayo ya ukaskazini, angalia mwanza kutakueje baada ya miaka kumi, Moshi, Moshi , Haya jihadhari sasa hivi zitabaki mbege nawambia
 
Njia ya mwongo siku zote ni fupi. Kasome historia ya Tanganyika tena kabla hujaja na facts feki. Kuna mikoa ambayo watemi wake walijulikana na waliokuwa mashuhuri wakati wa enzi hizo. Tusiwe wepesi wa kuandika vitu vya kufikirika tuwe wakweli. Hata mambo ya mwaka sabini tu ni jasho kwako. Mengi yameandikwa na wachangiaji lakini hayana ukweli. Tuache ukabila ni sumu.
Hao watemi tumewasoma, Mirambo, Isike, Mkwawa na wengineo wa miaka hiyo

Wewe tupe facts kuwa walichangia nini katika maendeleo ya watu wao waliofuata?

Leo mnafanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom